Over confidence ya wanaume wa kikurya inanivutia

Kitu Usichokijuwa ni bora ukae kimya wasiotahiri ni wajaluo, Wakurya wanatawaliwa tena bila ganzi na kwa wale wanaoishi ufukweni mwa Ziwa Victoria kama hujatahiriwa huruhusiwi kuoga upande wa wanaume na hata kama ulipotahiriwa ulilia pia marufuku kuoga upande wa wanaume.

Mkuu umenikumbusha mbali sana enzi za utoto, kuna wajamaa walikuwa wanatukataza magovi tusioge eti tunanyonya maji ya mto.
 
siwapendi wakurya maana1.sura hawana
2.hela hawana
3.mapenzi hawajui
4.WAO MIKWARA TU dammmmnnnnn

Gachuma hana hela? Au hela hadi ziwe ngapi?
1 na 3 siisemei.

La Kairo Hotel Mwanza ni mali ya mkurya mbunge Airo.

Matajili wa Mwanza ukiacha wenyewe Wasukuma ni Wakurya kama hao kina Chambiri na Gachuma.

Dili za mkoa wa Mwanza kwa kiasi kikubwa zimeshikwa na Wakurya na ndio maana hata Mbunge wa Nyamagana Ezekiel Wenje ni mkurya.

Mkoa wowote wenye border huwezi kusema watu hawana pesa, nenda Tarime au Shirati leo ukashuhudie bila kuwa na kalenda huwezi kujuwa leo ni jumangapi wala tarehe ngapi watu wanakula good time muda wote.

Mwisho Wakurya na mkoa mzima wa Mara kiujumla ni watu wamekwenda shule kiuhakika.

Si sahihi kwa mtu ambaye hajafika Moshi wala haijui Moshi aseme wachaga ni majambazi na Wamachame hawafai kuolewa wana tabia za kuuwa waume zao. Hizi ni kauli zinazoweza kutolewa na mtu mjinga tu na ambaye amekimbia shule.

Wakhatabahu.
 
Inasemekana hizo tabia inatokana na sherehe zao kipind cha kufanyiwa tohara (kwa wanaume) inakua bila ganzi tena inamhtaji kijana awe ana tabasamu. Wakat wakifanyiwa hivo kuna dawa ya asili ambayo wao wenyewe hawawezi kuitolea ufafanuzi labda wazee wa kimila, hyo dawa inapakwa ktk jeraha mara baada kukatwa go.vi.

Hii habari niliipata kwa rafik yangu mkurya ambaye alizaliwa mjini na kutahiriwa hosptalin lakin alipoenda kuwasalimia babu na bb yake kjjn aliamriwa kurudia upya zoezi ili mrad atokwe damu na awekwe dawa ile ye alikwsha tahiriwa hosptalini. Alipo hoji aliambia inamuongezea ujasiri na kujiamini kwani itamfanya awe mwanaume kamili.
 
Kitu Usichokijuwa ni bora ukae kimya wasiotahiri ni wajaluo, Wakurya wanatawaliwa tena bila ganzi na kwa wale wanaoishi ufukweni mwa Ziwa Victoria kama hujatahiriwa huruhusiwi kuoga upande wa wanaume na hata kama ulipotahiriwa ulilia pia marufuku kuoga upande wa wanaume.

Tata umenikumbusha mbali sana siku nilioamka saa tisa usiku kwenda kutahiriwa umbali wa kilomita 15 kwenda na kurudi kwa miguu kilomita 30, na hapo hapo nilitahiriwa na kisu alafu unamwagiwa spirit kikombe kizima!! Achana na hao wanaokunjwa magovi kwa ganzi. Hakuna mkurya mwanaume ambaye hajatahiriwa labda huyo kakulia mkoa mwingine!!
 
Wapo peace sana hao jamaa tatizo lao tu ni hilo tu la kupiga lakini mpaka akukung'ute ni mmemwonyesha dharau za hali ya juu sana na amevumilia yamemfika, jamaa yanajua kujali familia zao ikiwa kuhakikisha zinaishi maisha mazuri achana hawa wa mjini wanapenda kutisha watu kila mkimchokoza anakuambia "mie Mkurya shauri yako lakini wenyewe huwa hawana story ndefu". Alafu sio wanafiki akisema hapana maana yake hapana na akisema ndiyo ni ndiyo kutoka moyoni sio kama wenzangu na mie unakuta unachekacheka kumbe moyoni unalako jambo. Ukifanikiwa kutembelea Tarime utajionea mwenyewe japokuwa jamii ya Watz wengi wanawatambua kama ni wakorofi lakini si kweli kwamba ni wakorofi kivile mpaka uingie kwenye 18 zake

My next vacation spot is Tarime!:cool2:
 
Inasemekana hizo tabia inatokana na sherehe zao kipind cha kufanyiwa tohara (kwa wanaume) inakua bila ganzi tena inamhtaji kijana awe ana tabasamu. Wakat wakifanyiwa hivo kuna dawa ya asili ambayo wao wenyewe hawawezi kuitolea ufafanuzi labda wazee wa kimila, hyo dawa inapakwa ktk jeraha mara baada kukatwa go.vi.

Hii habari niliipata kwa rafik yangu mkurya ambaye alizaliwa mjini na kutahiriwa hosptalin lakin alipoenda kuwasalimia babu na bb yake kjjn aliamriwa kurudia upya zoezi ili mrad atokwe damu na awekwe dawa ile ye alikwsha tahiriwa hosptalini. Alipo hoji aliambia inamuongezea ujasiri na kujiamini kwani itamfanya awe mwanaume kamili.

Yo!, are U guyz serious?!,...jamani naipenda nchi yangu!,...lol!, so ina maana ametahiriwa 2 times?
By the way is your friend still single...lol?!!
 
La Kairo Hotel Mwanza ni mali ya mkurya mbunge Airo.

Matajili wa Mwanza ukiacha wenyewe Wasukuma ni Wakurya kama hao kina Chambiri na Gachuma.

Dili za mkoa wa Mwanza kwa kiasi kikubwa zimeshikwa na Wakurya na ndio maana hata Mbunge wa Nyamagana Ezekiel Wenje ni mkurya.

Mkoa wowote wenye border huwezi kusema watu hawana pesa, nenda Tarime au Shirati leo ukashuhudie bila kuwa na kalenda huwezi kujuwa leo ni jumangapi wala tarehe ngapi watu wanakula good time muda wote.

Mwisho Wakurya na mkoa mzima wa Mara kiujumla ni watu wamekwenda shule kiuhakika.

Si sahihi kwa mtu ambaye hajafika Moshi wala haijui Moshi aseme wachaga ni majambazi na Wamachame hawafai kuolewa wana tabia za kuuwa waume zao. Hizi ni kauli zinazoweza kutolewa na mtu mjinga tu na ambaye amekimbia shule.

Wakhatabahu.

Umenena vyema mkuu na ndio maana maeneo hayo kama Shirati na Tarime ni rahisi kufikika na gari zinazokwenda huko hasa Tarime kwa mtu anaepasikia atashangaa kwanza akiingia kwenye gari kwa jinsi zilivyo za kiwango cha juu tofauti hata na zile zinazofanya safari za makao makuu ya mkoa kwenda makao makuu ya mkoa (lets say Dar - Dom). Kila nusu saa gari zinachomoka kwenda Mwanza na kurudi vivyo hivyo na hii inaonyesha kwamba jamaa ni wapambanaji na wana mzunguuko mzuri wa fedha

Ila hapo bold jamaa ni wajaluo hao mkuu kama huyo La Kairo ni wa Utegi na Wenje sina uhakika wa wapi ila ni mjaluo
 
Back
Top Bottom