Out of nowhere, you receive this msg from your bae

Out of nowhere, you receive this msg from your bae

Mimi natoa solution sasa kwa yule ambaye amemtumia mpenzi wake sms kama hiyo na ilitakiwa iende kwingine.

Hakikisha muda wote unang'ang'ania kua yeye ndiye kaanza na hilo ni jibu lako.

Download fake sms app, na install.

Ifungue nenda hadi sehemu ya kuandika sms utaandika 'I love you' kisha utaseti muda ili ionekane hiyo sms imeingia kabla ya kwako kwenda.

Utaenda eneo la contacts, utachagua jina lake na kulijaza.

Kisha send.

Fake sms itakuprompt uichague as default, kubali. Sms itaingia, kisha itakuprompt uirudishe sms as default.

Sms uliyoiedit itakua ya kwanza na ya kwako ya 'I love you too honey' itaonekana ni jibu la ile uliyoedit.

Screenshot mtumie. Halafu anza wewe kua mkali kwamba alikua anamtumia nani hadi ashangae wewe kujibu.
Duh.. As simple as that.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe kauzu mpaka nimekuogopaa duuh..unajua na mpangilio vizuri
Km unauhakika, meseji yako ya I love you'.... Alikujibu on Time......

MADEMU WANAITANAGA MAJINA HAYO HONEY, SWEET, DEAR.....what if kama alijibu meseji ya demu mwenzake ????

Anyway, nikikazia Hisia zako then iwe ivi ;-

Kaa kimya .,, Leo, kesho, kesho kutwa ,kesho yake tena ..

Kaa kimya !!!........Tu mpaka akuanze !!! .

Alafu nn, mambo km HAYA huwa yanabadilisha moyo. Toka udhat mpaka uchezeaji.

Binafsi nimchunguzi sana, nikishaconfirm kua haikua yangu,,,

Sitomuacha ghafla, naanza kumuonyesha nampenda sanaaaa yaan sana, fulu mazaga mazaga ,indoors and outdoors funny , naendelea kula mzigo ,WAKAT HUO NATAFUTA KADEMU KENGINE ,,baadae nikikata ninakata kama umeme .... Akiuliza, ndo namwambia ' nmeamua kuachana naww sababu umetupanga folen ,ushahidi ni ile meseji. Sikusamehee wala sikusahau ila nilikua nautumia huo muda, kumtafuta tunaeendana na nilipompata mwanamke mzuri wa umbo nasura na akili. Na heshima mwenye kujitambua na nidhamu ya juu. Nikaona nkuache !!!.

Trust me, Madem huwa hawapendi kulinganishwa ..iyo meseji kuna mawili
1-imuumize sanaa ikiwa kwako ndo kunaunafuu.
2/imuumize sababu atajiona kumbe sio mzuri lkn sio mbaya ataendelea najamaa yake .
 
Mimi natoa solution sasa kwa yule ambaye amemtumia mpenzi wake sms kama hiyo na ilitakiwa iende kwingine.

Hakikisha muda wote unang'ang'ania kua yeye ndiye kaanza na hilo ni jibu lako.

Download fake sms app, na install.

Ifungue nenda hadi sehemu ya kuandika sms utaandika 'I love you' kisha utaseti muda ili ionekane hiyo sms imeingia kabla ya kwako kwenda.

Utaenda eneo la contacts, utachagua jina lake na kulijaza.

Kisha send.

Fake sms itakuprompt uichague as default, kubali. Sms itaingia, kisha itakuprompt uirudishe sms as default.

Sms uliyoiedit itakua ya kwanza na ya kwako ya 'I love you too honey' itaonekana ni jibu la ile uliyoedit.

Screenshot mtumie. Halafu anza wewe kua mkali kwamba alikua anamtumia nani hadi ashangae wewe kujibu.
[emoji53][emoji53][emoji53]

You only live Once.
 
Saa nyengine sio kwamba nimuendelezo wa convo. Ila anakuonesha nini anategemea kwako ambacho anakikosa.

Kwa mfano;

Mtu A: Hujambo?
Mtu B: sijambo
Baada ya dakika kadhaa
Mtu A: Na mimi sijambo
 
Umeonaeeeh...exactly yeye mwenyewe nafsi itamsuta alafu kuujua ukweli kunauma bhana. .on my side huwa spend kufatilia mambo ikitokea kama hvo najibu kama hyo kaka hapo juu...simple and clear...huku na ww unachanganua akili maana hamna anayependwa kupangwa...😊
Namwambia tu atume palipo stahili aachage usumbufu pia awe makini anapotuma text

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Saa nyengine sio kwamba nimuendelezo wa convo. Ila anakuonesha nini anategemea kwako ambacho anakikosa.

Kwa mfano;

Mtu A: Hujambo?
Mtu B: sijambo
Baada ya dakika kadhaa
Mtu A: Na mimi sijambo
[emoji28] [emoji28] [emoji28] I got it mkuu. Your way of thinking is quite different.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo namba 2 sijakuelewa mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Maana yake ni kwamba . Kuna mtu alijaribu kupindua lakin kutokana ya yeye kukupenda akakataa.
So wewe kwake yeye ni kimbilio na hamna mfano. So ili kujikumbusha upendo wake kwako hana budi kusema .
Ni sawa na shule kusoma soma somo unalolipenda na kulifahamu kuliko mengine haunabudi kurudi mara kwa mara ili uwe unalijua na kulifaulu vizuri na zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom