Out of nowhere, you receive this msg from your bae

Out of nowhere, you receive this msg from your bae

I love you three
Akiuliza: what for?
Unajibu: what five?
Akisema: are you sick?
Unamalizia: are you seven?.

Hapo itakuwa ngoma drooo!!!
Fikiria yamepita zaidi ya masaa 6 toka uwasiliane na mpenzi wako. Kila mtu yuko busy na utafutaji.

Ila ghafla inaingia msg toka kwa mpenzi wako "I LOVE YOU TOO HONEY"

It's obvious hiyo msg ni mwendelezo wa convo but sio na ww. Utaipokeaje? Utajibu vipi?

Analyse

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni mimi ndio nimeituma kimakosa nitakavyokomaa kuwa ni yako hutaamini majicho yako.

Nikitumiwa mimi najua tu sio yangu hivyo walaa siijibu na simuulizi chochote. Bali najipanga kutembea 'mbere'.
 
Maana yake ni kwamba . Kuna mtu alijaribu kupindua lakin kutokana ya yeye kukupenda akakataa.
So wewe kwake yeye ni kimbilio na hamna mfano. So ili kujikumbusha upendo wake kwako hana budi kusema .
Ni sawa na shule kusoma soma somo unalolipenda na kulifahamu kuliko mengine haunabudi kurudi mara kwa mara ili uwe unalijua na kulifaulu vizuri na zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekupata, japo ni ngumu kuaminika ukitoa hayo maelezo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fikiria yamepita zaidi ya masaa 6 toka uwasiliane na mpenzi wako. Kila mtu yuko busy na utafutaji.

Ila ghafla inaingia msg toka kwa mpenzi wako "I LOVE YOU TOO HONEY"

It's obvious hiyo msg ni mwendelezo wa convo but sio na ww. Utaipokeaje? Utajibu vipi?

Analyse

Sent using Jamii Forums mobile app

Ha haaaaa kashaliwa mtu hapo bora angesema tu "I love you" . Hiyo I love you too kuna mahali ilikuwa inaenda ikakosea njia ni mtu anajibiwa alichotuma muda huo
 
Ha haaaaa kashaliwa mtu hapo bora angesema tu "I love you" . Hiyo I love you too kuna mahali ilikuwa inaenda ikakosea njia ni mtu anajibiwa alichotuma muda huo
[emoji28] [emoji28] [emoji28] Now the question is, how will you respond to it?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninzur, ila hii km demu anampenda uyo mwingine kuliko mtoa mada.

Demu anaweza MPA JIBU LAKIBABE MTOA MADA ,,tukasikia MTU kajinyonga.
Eg ( Ndio nilikua namtumia Mwanaume wa maisha yangu , amua lolote unalotaka) 🙂 🙂 🙂 utajiona worthless

TUSISAHAU, HAWA VIUMBE WANA UWEZO MKUBWA WAKUKUFANYA UJIONE HUFAI BILA HATA KUKUGUSA .
Kama huwajui ndio wanauwezo huo, kinyume na hapo ni wepesi sana,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nitatuliza akili nimalize mishe zangu kwanza then baadae NITASHUKA NAE JUMLA JUMLA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom