Out of nowhere, you receive this msg from your bae

Out of nowhere, you receive this msg from your bae

Wanawake akili zao wanajijua wenyewe ..
Unaweza ukapanick kumbe dem wako kakumiss tu alaf kaamua kukurusha rohomna i love you too akuone utasemaje...
 
Niliwahi kuwa natumiwa texts nisizozielewa na ex wangu mmoja hivi zenye mlengo wa mahusiano, mara ya kwanza nilimrudishia akastuka akanambia sorry sio yako. Nikajikalia kimya. Zikawa zinakuja nyingine, nikiziona nakaa kimya hapo alikuwa wakichat na old child friend of mine. Nikawasha tu yellow lights, siku akaja kunitamkia wazi kuwa wana mahusiano. Niliumia sana, nikajikalia kimya yakaisha nikawa sawa.
 
Hahaha ilishawahi nitokeaga kwa mwanamke mmoja hivi wa kichaga sitomsahau yule dada japo nilishamsamehe na kumove on na maisha yangu
Ninzur, ila hii km demu anampenda uyo mwingine kuliko mtoa mada.

Demu anaweza MPA JIBU LAKIBABE MTOA MADA ,,tukasikia MTU kajinyonga.
Eg ( Ndio nilikua namtumia Mwanaume wa maisha yangu , amua lolote unalotaka) 🙂 🙂 🙂 utajiona worthless

TUSISAHAU, HAWA VIUMBE WANA UWEZO MKUBWA WAKUKUFANYA UJIONE HUFAI BILA HATA KUKUGUSA .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni mimi ndio nimeituma kimakosa nitakavyokomaa kuwa ni yako hutaamini majicho yako.

Nikitumiwa mimi najua tu sio yangu hivyo walaa siijibu na simuulizi chochote. Bali najipanga kutembea 'mbere'.
Hahaha kumbe ndivyo mlivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom