Out of nowhere, you receive this msg from your bae

Km unauhakika, meseji yako ya I love you'.... Alikujibu on Time......

MADEMU WANAITANAGA MAJINA HAYO HONEY, SWEET, DEAR.....what if kama alijibu meseji ya demu mwenzake ????

Anyway, nikikazia Hisia zako then iwe ivi ;-

Kaa kimya .,, Leo, kesho, kesho kutwa ,kesho yake tena ..

Kaa kimya !!!........Tu mpaka akuanze !!! .

Alafu nn, mambo km HAYA huwa yanabadilisha moyo. Toka udhat mpaka uchezeaji.

Binafsi nimchunguzi sana, nikishaconfirm kua haikua yangu,,,

Sitomuacha ghafla, naanza kumuonyesha nampenda sanaaaa yaan sana, fulu mazaga mazaga ,indoors and outdoors funny , naendelea kula mzigo ,WAKAT HUO NATAFUTA KADEMU KENGINE ,,baadae nikikata ninakata kama umeme .... Akiuliza, ndo namwambia ' nmeamua kuachana naww sababu umetupanga folen ,ushahidi ni ile meseji. Sikusamehee wala sikusahau ila nilikua nautumia huo muda, kumtafuta tunaeendana na nilipompata mwanamke mzuri wa umbo nasura na akili. Na heshima mwenye kujitambua na nidhamu ya juu. Nikaona nkuache !!!.

Trust me, Madem huwa hawapendi kulinganishwa ..iyo meseji kuna mawili
1-imuumize sanaa ikiwa kwako ndo kunaunafuu.
2/imuumize sababu atajiona kumbe sio mzuri lkn sio mbaya ataendelea najamaa yake .
 
Km unauhakika, meseji yako ya I love you'.... Alikujibu on Time......

MADEMU WANAITANAGA MAJINA HAYO HONEY, SWEET, DEAR.....what if kama alijibu meseji ya demu mwenzake ????

Anyway, nikikazia Hisia zako then iwe ivi ;-

Kaa kimya .,, Leo, kesho, kesho kutwa ,kesho yake tena ..

Kaa kimya !!!........Tu mpaka akuanze !!! .

Alafu nn, mambo km HAYA huwa yanabadilisha moyo. Toka udhat mpaka uchezeaji.

Binafsi nimchunguzi sana, nikishaconfirm kua haikua yangu,,,

Sitomuacha ghafla, naanza kumuonyesha nampenda sanaaaa yaan sana, fulu mazaga mazaga ,indoors and outdoors funny , naendelea kula mzigo ,WAKAT HUO NATAFUTA KADEMU KENGINE ,,baadae nikikata ninakata kama umeme .... Akiuliza, ndo namwambia ' nmeamua kuachana naww sababu umetupanga folen ,ushahidi ni ile meseji. Sikusamehee wala sikusahau ila nilikua nautumia huo muda, kumtafuta tunaeendana !!!.
Hapo njia rahisi ya kuconfirm kama alikuwa anachat na girl mwenzake ni kuona mtiririko wa chats zao na muda.

Ila kwa upande wa wanawake, hiyo msg ikiingia out of nowhere kutoka kwa bae, yani sijui uje na utetezi gani uelewe as for men hatuna mtindo wa kuitana hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninzur, ila hii km demu anampenda uyo mwingine kuliko mtoa mada.

Demu anaweza MPA JIBU LAKIBABE MTOA MADA ,,tukasikia MTU kajinyonga.
Eg ( Ndio nilikua namtumia Mwanaume wa maisha yangu , amua lolote unalotaka) :) :) :) utajiona worthless

TUSISAHAU, HAWA VIUMBE WANA UWEZO MKUBWA WAKUKUFANYA UJIONE HUFAI BILA HATA KUKUGUSA .
 
Kwa style hiyo siutaogopa hata kumuuliza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
:) :) wanajitiaga wenyewe ndo watu wasoelewa .

Ungekua wewe aiseee nomaa sana !!

Nahapo kujua km ni mdada mwenzake ndio kazi sana unless uibebe kiume kua ni ya like kwendaa Kwa kike..

Ila daaaaahh uanaume wa ivo sometime ni Uboya.

KAMA HUWEZI KUPIGA KIMYA......

ZUGA ,zugaaa, mkutane jioni, kaaa naye chemba, Ongea kiume, kaza saut, kunja sura, mtishie vibao, ATAKUAMBIA UKWELI.
 
Sitoweza kunyanyua mkono wangu kupiga mwanamke. Kwanza case kama hii bila hata kupigana ukweli utaujua tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom