Out of nowhere, you receive this msg from your bae

acheni kucomplicate mambo wanawake tunambianaga i love you darling/sweetheart....sasa kazi kwako kama mpenzi wako kauzu kwa shost zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli unachosema. But how your boyfriend will know that? Alaf hiyo msg iko open to all parts, even you girls u can assume umepokea msg ya hivyo toka kwa mpenzi wako. How will you respond to it?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi kuwa natumiwa texts nisizozielewa na ex wangu mmoja hivi zenye mlengo wa mahusiano, mara ya kwanza nilimrudishia akastuka akanambia sorry sio yako. Nikajikalia kimya. Zikawa zinakuja nyingine, nikiziona nakaa kimya hapo alikuwa wakichat na old child friend of mine. Nikawasha tu yellow lights, siku akaja kunitamkia wazi kuwa wana mahusiano. Niliumia sana, nikajikalia kimya yakaisha nikawa sawa.
Yakaisha mkaendelea pamoja au ikawaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fikiria yamepita zaidi ya masaa 6 toka uwasiliane na mpenzi wako. Kila mtu yuko busy na utafutaji.

Ila ghafla inaingia msg toka kwa mpenzi wako "I LOVE YOU TOO HONEY"

It's obvious hiyo msg ni mwendelezo wa convo but sio na ww. Utaipokeaje? Utajibu vipi?

Analyse

Sent using Jamii Forums mobile app
Unarudisha jibu kwa kumwambia kuwa UMEKOSEA KUTUMA MESEJI YAKO IMEKUJA KWNGU MIMI MUMEO!
 
After knowing that, will you be comfortable?

Sent using Jamii Forums mobile app
No but i will keep quite because he sees me as a fool so i still looking for another person.
I will not tell him anything until i will get married to another one.
And then one day i will tell him the truth if he insist.
But i will be with him without notice anything..
 
Kipindi kidogo cha nyuma like niko certificate nilikuwa na jamaa yangu sikujua nikiwembe wadada wanakamuliwa kama juice.
So akawa tukiwa tumeongozana anakutana na mademu anawahug nakuwa kiss shavuni ukimuliza mimi ni mtu wawatu.
Nikapuuzia kuna siku tena tukiwa home kwake message zikaingia moja inayosema i miss u dear ungekuwa hapa sijui.
Nikaona ingine uko home nije nikasema basi imetosha sasa.
Nikamjibu njoo nipo alone usije na nguo yandani.
Sijui limama limetoka wapi likaja akanikuta njee hujamboo huyu jamaa yupo nikamjibu ndio wewe nani yake mtu wake .
Akaona aibu akasepa.
Nikaona kumbeee.
Nikamuanza yeye naacha message zangu zinaingia kama maji.
Anasoma mara asante kwa janaa.
I love u mara leo unakuja saa ngapi message kibao tu zakuhamasisha.
Mara simu ikaita nikapokea uko wapi nipo hapa kwa kaka yangu njoo msalimie ndio tutokee.
Kaona kashindwa kuvumilia akapokea simu wewe huyu ni mchumba wa mtu sitaki mazoea.
Na nilimkosesha tu amani aumie kama mimi nilivyoumia jamani.
Sina raha naninampenda mwanaume analala na hadi marafiki zangu inauma kabisa ila alikoma kabisa.
Watu tumeumizwa sio nyie tu
 
Pole katoto kazuri.

[emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rafiki yangu alitumiwa msg na mume imeandikwa,dar lini baby,,,na wako dar wote,,. Mke alivoulizwa mume alisema alikua anamtumia yeye 😂😂😂😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom