Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,638
- 47,698
- Thread starter
- #41
Uta confirm vipi wakat atakuwa ameshafuta kwenye simu yake wewe una kipande tu?Hapo njia rahisi ya kuconfirm kama alikuwa anachat na girl mwenzake ni kuona mtiririko wa chats zao na muda.
Ila kwa upande wa wanawake, hiyo msg ikiingia out of nowhere kutoka kwa bae, yani sijui uje na utetezi gani uelewe as for men hatuna mtindo wa kuitana hivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
I’ll go with the flow and say I love you more and most.
HahahahaBAE
B- BILLS
A- AND
E-EXPENSES
asee wanaume wenzangu tuungane kulikataa kuitwa hili jina la bae
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hilo ni sawa na pigo la low blow!
Hata mm nimehisi hivyo.Nahisi haujawahi kua chupuchupu ndiyo maana.
Akifuta hapo ndio itabidi atoe sababu za msingi za kufuta.Uta confirm vipi wakat atakuwa ameshafuta kwenye simu yake wewe una kipande tu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuaje?Wazee wa majanga hamuishiwi mbinu. Hiyo App ya fake sms ishawahi kuniletea msala.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji106]BAE
B- BILLS
A- AND
E-EXPENSES
asee wanaume wenzangu tuungane kulikataa kuitwa hili jina la bae
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakwambia simu aliazima rafiki yangu na sikujua anawasiliana na nani. The way atavyoonesha kutaka huruma unaweza kumsamehe tu. Wadada ni washenzi kuliko mchawi.
Nilitaka kuhack whatsp ya duu mmoja hivi kipindi hicho. Na ukiacha Web, hiyo App ndio easiest way bila kushika cm yake. Baada ya kufanya mambo yangu nikasahau kuuninstall hiyo App alaf sijui ikawaje akaona mchezo wote.Ilikuaje?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Atakwambia simu aliazima rafiki yangu na sikujua anawasiliana na nani. The way atavyoonesha kutaka huruma unaweza kumsamehe tu. Wadada ni washenzi kuliko mchawi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ugomvi wote unaweza ukakugeukia ww. [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Simuulizi....Na mimi naandika 'tukutane kule kwa siku ile' alafu namtumia nakaa kimyaaa. Lazima atalianzisha tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni msala wa kujitengenezea mkuu. [emoji28] [emoji28] [emoji28]najibu "Asante honey, I hope umepata 150,000/= kwenye tigopesa niliyokutumia."