Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,547
- 18,265
Mwonyeshe hiyo msg afu Mwambie kikauzu babe naona siku hizi unanichukulia poa tu.
Process ndefu yote na nini..wizi mbayaMimi natoa solution sasa kwa yule ambaye amemtumia mpenzi wake sms kama hiyo na ilitakiwa iende kwingine.
Hakikisha muda wote unang'ang'ania kua yeye ndiye kaanza na hilo ni jibu lako.
Download fake sms app, na install.
Ifungue nenda hadi sehemu ya kuandika sms utaandika 'I love you' kisha utaseti muda ili ionekane hiyo sms imeingia kabla ya kwako kwenda.
Utaenda eneo la contacts, utachagua jina lake na kulijaza.
Kisha send.
Fake sms itakuprompt uichague as default, kubali. Sms itaingia, kisha itakuprompt uirudishe sms as default.
Sms uliyoiedit itakua ya kwanza na ya kwako ya 'I love you too honey' itaonekana ni jibu la ile uliyoedit.
Screenshot mtumie. Halafu anza wewe kua mkali kwamba alikua anamtumia nani hadi ashangae wewe kujibu.
Hahahaha what if akakwambia msg ni yako?Namwambia tu atume palipo stahili aachage usumbufu pia awe makini anapotuma text
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka hapo kila mtu yuko kwenye mishe zake, it means kuonana ni hadi jioni.Mwonyeshe hiyo msg afu Mwambie kikauzu babe naona siku hizi unanichukulia poa tu.
Kuna wengine hata face to face huwa wanabishaHahahahaha siwez ogopa mkuu..case km hii ni sensitive mnoo.
Ila ktk kudeal nayo ndo Nitaja na Solutions mbalimbali .
Huwa naogopa solution ambayo haiwez tatua tatizo moja Kwa moja.
....IMAGINE WEE UNAMPENDA 100‰ UMEWEKEZA SANA KWAKE,, alafu unamuuliza kisha anakuambia 'Ndio nilikua namtumia Mwanaume Wangu nimpendaye''......Bro wanaojiua sio mafala 😀 😀
Na pia
Ukimuuliza Direct tena Kwa simu hivi ,uwezekano wa kutoa jibu lisokua LA kweli ni mkubwa .
So ni ama, Ajihukumu (Kwa ukimya wako) .... Kukutana naye laivu laivu kisha weka sura ya ununda. Au basi km hauna naye mipango nikuzuga tu nijambo lakawaida kisha endelea nayako.
Unamfowadia.Kumbuka hapo kila mtu yuko kwenye mishe zake, it means kuonana ni hadi jioni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazee wa majanga hamuishiwi mbinu. Hiyo App ya fake sms ishawahi kuniletea msala.Mimi natoa solution sasa kwa yule ambaye amemtumia mpenzi wake sms kama hiyo na ilitakiwa iende kwingine.
Hakikisha muda wote unang'ang'ania kua yeye ndiye kaanza na hilo ni jibu lako.
Download fake sms app, na install.
Ifungue nenda hadi sehemu ya kuandika sms utaandika 'I love you' kisha utaseti muda ili ionekane hiyo sms imeingia kabla ya kwako kwenda.
Utaenda eneo la contacts, utachagua jina lake na kulijaza.
Kisha send.
Fake sms itakuprompt uichague as default, kubali. Sms itaingia, kisha itakuprompt uirudishe sms as default.
Sms uliyoiedit itakua ya kwanza na ya kwako ya 'I love you too honey' itaonekana ni jibu la ile uliyoedit.
Screenshot mtumie. Halafu anza wewe kua mkali kwamba alikua anamtumia nani hadi ashangae wewe kujibu.
Nahisi haujawahi kua chupuchupu ndiyo maana.Process ndefu yote na nini..wizi mbaya