Osama bin Laden killed!

Osama bin Laden killed!

Status
Not open for further replies.
eti picha zinatisha mbona tuliona Sadamu akinyongwa live kwa dakika kazaa
ZILE PICHA HAZIKUWEKWA KWENYE MTANDAO NA AMERICA bali wale askari wa iraq walioshiriki kunyonga

Muislam akifa hawekwi kwenye hadhara

anaona haya ...Bush ni kama tikiti maji ...kichwa kubwa halina akili
u
Unajua bush was the first american president to have MBA alafu ni fighter pilot, amedanganya tuu ulimwengu kuwa yeye ni zuzu ndo maana akaivamia tu iraki na hakuna aliyepiga kelele.
 
Hawa wamarekani kwa kuigiza hawajambo.walijua tangu august last year alipo bin laden lakini wamesubiri mpaka dunia ilipuke kwa kuuliwa mtoto na ajukuu wa gdaf ndo wakaona waue so kwa kuleta issue ya osama ambayo imezifunika issue za libya ,birthcetificate fake na hata maandalizi ya kuishambulia iran ambao yanafanyika hivi sasa.ukweli inawezekana laden alishakufa long ama kama amekufa hyo juzi ama kajilima risasi mwenyewe nna hakika wangemtaka akiwa hai .ama kama wamemuua basi ni kumziba mdomo kwani kina bush walihusika kuilipua world trade centre kuficha ushahidi wa ufisadi wa trilion dollars.tafuta ktk gøogle...BUSH FAMILY PROJECT HAMMER.
personally osama amedai kuhusika na ile milipuko kivipi useme bush.
Mtoto wa Ghadafi kitu gani kwani baba yake kaua wangapi mpaka marekani iamue kuua so kwa uzushi wa osama?
 
Udhalilishaji wa aina hii ndio ambao Mungu haupendi na ambao kwa huo Marekani itapigika kwa laana ya Mungu na wala si silaha.
Hebu fikiria unapokufa mtoto na mke wako badala kufarijiwa wanawekwa rumande ati kuhojiwa.Ikiwa huo si ushenzi na unyama ni nini?

waliowaweka mahabusu ni PAKISTAN na siyo Marekani
 
Osama bin Laden's daughter has claimed her father was captured alive before being shot dead by US special forces.

SOURCE:skynews 11:21am
 
Hawa wamarekani kwa kuigiza hawajambo.walijua tangu august last year alipo bin laden lakini wamesubiri mpaka dunia ilipuke kwa kuuliwa mtoto na ajukuu wa gdaf ndo wakaona waue so kwa kuleta issue ya osama ambayo imezifunika issue za libya ,birthcetificate fake na hata maandalizi ya kuishambulia iran ambao yanafanyika hivi sasa.ukweli inawezekana laden alishakufa long ama kama amekufa hyo juzi ama kajilima risasi mwenyewe nna hakika wangemtaka akiwa hai .ama kama wamemuua basi ni kumziba mdomo kwani kina bush walihusika kuilipua world trade centre kuficha ushahidi wa ufisadi wa trilion dollars.tafuta ktk gøogle...BUSH FAMILY PROJECT HAMMER.
 
Hawa wamarekani kwa kuigiza hawajambo.walijua tangu august last year alipo bin laden lakini wamesubiri mpaka dunia ilipuke kwa kuuliwa mtoto na ajukuu wa gdaf ndo wakaona waue so kwa kuleta issue ya osama ambayo imezifunika issue za libya ,birthcetificate fake na hata maandalizi ya kuishambulia iran ambao yanafanyika hivi sasa.ukweli inawezekana laden alishakufa long ama kama amekufa hyo juzi ama kajilima risasi mwenyewe nna hakika wangemtaka akiwa hai .ama kama wamemuua basi ni kumziba mdomo kwani kina bush walihusika kuilipua world trade centre kuficha ushahidi wa ufisadi wa trilion dollars.tafuta ktk gøogle...BUSH FAMILY PROJECT HAMMER.

Osama hajafa mtafute unywe naye Gahawa!
 
u
Unajua bush was the first american president to have MBA alafu ni fighter pilot, amedanganya tuu ulimwengu kuwa yeye ni zuzu ndo maana akaivamia tu iraki na hakuna aliyepiga kelele.

kumbe ukiwa pilot unaonekana wa maana sana eeeh ..nilikuwa sijui bana ..Haya Bush wewe safi sanaaaa maana ndo rais wa kwanza kuwa na MBA(japo hata hapa CBE zipo) and wew ni pilot (hata hapa tunao ma pilot wa vile vindege vetu vinaenda zanzibar na mbeya)....asante
 
Osama bin Laden's daughter has claimed her father was captured alive before being shot dead by US special forces.

SOURCE:skynews 11:21am

And yet still some people claim that osama is alive and kicking. So who is telling the truth: his daughter who is admitting he is dead or his supporters who insist he is alive?
 
personally osama amedai kuhusika na ile milipuko kivipi useme bush.
Mtoto wa Ghadafi kitu gani kwani baba yake kaua wangapi mpaka marekani iamue kuua so kwa uzushi wa osama?

targeting gadaf was against UN resolution 1973 .so they missed gadaf but it was clear he was the target and an outcry from china,russia ,africa was underway so to divert the issue obama orderd the SEAL to go after bin laden.
As for bush issue i suggest u read about project hammer by Deana spingola then come to argue.
Also find about bush and bin laden family how closer they were.
Get in ur mind laden once worked for CIA
 
Hakujihami, Hakuwa na silaha. Walimpiga risasi mke wake ambaye alimtumia kama kinga. Walishindwaje kumkamata akiwa hai mtu ambae hana silaha?.....

kwani ukiona kwenye sinema rambo anaua mtu unadhani kiuhalisia huyo mtu ameuawa. Tulichoonyeshwa ni hollywood movie tu. kama Osama amekufa basi hakufa juzi alishakufa siku nyingi sana na hawajui lilipo kaburi lake
 
  • Thanks
Reactions: Obe
And yet still some people claim that osama is alive and kicking. So who is telling the truth: his daughter who is admitting he is dead or his supporters who insist he is alive?
its a fallacy for bin laden's supporters that he is alive-but always the truth prevail-
Bin laden supporters will keep their mouths shut in few days to come
 
Kwa kujadili hili tukio tutatia akili.Wale wanaosema tuhamie kwengine ni wale wavivu wa kufikiri na kutafuta ufumbuzi wa mambo.
Nimesoma revised story ya US kuhusu kifo cha Osama nahisi ndio kwanza utata unaongezeka.Lile jumba kama vile liko ndani ya kambi ya jeshi.Ilikuwa ni mzimu wa pamoja wa US na Pakistan.
Naendelea kuamini kwamba Osama ni marehemu zamani.Kama kuna mtu aliyatajwa kuuliwa basi ni mhanga mwengine wa operesheni hii.Haitokuwa rahisi kudadisi kwa watu wa kawaida na kujua ukweli kwani imeelezwa jumba limezungukwa na watu wa jeshi.Kwamba ilikuwa imetengwa na nyumba nyengine ni kuikosesaha jirani wa kutoa ushahidi juu ya jirani yao.
Watoto walio hai ambao imetajwa wanahojiwa bila shaka hawana asili ya Yemen au Saudia hivyo hakuna mtu atakayewatambua kama ni watoto wa Osama.Mkubwa wao ameuliwa.
Wanasema kulikuwa na wanawake wakijaribu kumhami Osama kwa kumzingira.Huo ulikuwa ni usiku mkubwa na tukio la kushtukiza,jambo hilo si rahisi kufanywa na mwanamke wa kawaida.Wangesema hao wanawake walizimia au walikuwa wakipiga mayowe sawa!.
Hii helkopta iliyoharibika baadae nani alikuja kuichukua?.Jeshi la Pakistan au wamarekani wenyewe?.
Uwezekano ni kuwa familia fulani ya kiCIA imetolewa kafara ili mchezo unoge.
Obama mwenyewe atakuwa kachezewa mchezo na mafreemasons au na wajomba zake mayahudi.Kwanini asitake kuuona mwili wa mtu aliyemuona ni adui mkubwa wa America angalau kwa sekunde chache ndipo ukatupwa baharini.Hajang'amua kwamba picha aliyokuwa akiangalia ni vidio fulani tu kutoka CIA?.
Makamanda waliomwamsha Obama usiku ashuhudie lile shambulio kwanini wasione umuhimu wa kumkabidhi mwili wa Osama halafu maamuzi mengine yakafanyika.Katika hizi stori haijaelezwa uamuzi wa kumtupa baharini ulifikiwaje na kwanini iliamuliwa iwe papo kwa papo.
Wanasema waliotoa taarifa ni wasaidizi wawili wa Osama mtu na nduguye ambao kwa ulofa wao walihisiwa hawangeweza kumiliki nyumba ile.Zaidi ya Osama katika lile jumba kulikuwa na familia nyengine tano.Walikuwa hawatupi takataka zao nje ya nyumba bali wakichoma moto tu.
Wanasema hiyo nyumba haikuwa na walinzi bali kuta nene tu.Wakati huo tangu waingie hapo ilikuwa ni vita vya kutupiana risasi mtindo mmoja .Nani walikuwa wakipambana nao ilhali Osama mwenyewe alikutwa hana silaha yoyote!.
Hiyo nyumba ilikuwa haina simu wala internet,idadi ya kompyuter zilizokutwa na mafaili vya nini?.Labda waseme walikuta Laptop moja tu ya sheikh.
Osama katika hali ya uadui aliokuwa akiusikia umejengwa juu ya jina lake asingeweza kuwa na ofisi na mafaili nyumbani kwake.Nani hao angekubali waingie na kutoka nyumbani kwake kuchukua makaratasi na maelekezo?.Lazima wawe ni wale waliokuwa wakimlinda na haiwezi kuwa ni uamuzi wake.
Osama kwa nafsi yake alikuwa ni mtu mpole sana na hata kuzungumza kwa haya haya.Alikuwa na uelewa mpana wa athari za dunia kutawaliwa na wababe lakini mwenyewe hata bunduki kupiga kwa tabu.
Iwapo ushahidi wa Marekani kuhusu kifo cha Osama ni huu ni wazi kuwa aibu itawaandama na wamejimaliza.Iwapo wana ushahidi mwengine wanapaswa wautoe haraka kabla hawajachelewa na ikawa haiaminiki tena.Ndio maana muda mwingi niko kwenye net nikisubiri ushahidi mwengine.
 
It is common knowledge bin laden was a CIA asset his name on cia payroll wasTIM OSMAN.
Same applied to obama when in afaghstan he was known as BARRY SOETORO.
There are realy big game going on.

It is only that laden has reached his time fruitation as a scapegoat.
In case you dont know USA is now helping al gaida to take power in libya
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom