Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,138
- 7,398
Jamaa ni msema chochote,hamkumbuki alipoulizwa kipi kinasababisha umasikini Tz,alijibu 'sijui' mpotezee jamaa hana jipya
wamerekani wanatabia ya kuchukua vitu kama hivyo then wanavifanyia uchunguzi-kuna baazi ya serial killers wa marekan baada ya kuuliwa walichukuliwa brain zao na kwenda kuzifanyia uchunguzi pasipo kuomba ushaur wa mtu yoyote-kwa hio kwa swala la kuchukua ubongo wa dada yake osama bila kuomba ni swala la kawaida kwaosoma hii:
hawa jamaa walichomoa hiyo brain ya dadake Bin Laden with permission?
wamerekani wanatabia ya kuchukua vitu kama hivyo then wanavifanyia uchunguzi-kuna baazi ya serial killers wa marekan baada ya kuuliwa walichukuliwa brain zao na kwenda kuzifanyia uchunguzi pasipo kuomba ushaur wa mtu yoyote-kwa hio kwa swala la kuchukua ubongo wa dada yake osama bila kuomba ni swala la kawaida kwao
![]()
NGOMA IMETOKA HIYO PAPA.
Dawa ya Babu pamoja na kushangiliwa sana pole pole inathibitika kuwa si dawa kitu bali ugonjwa mwengine tu.
Kwa upande mwengine mtu anapokuwa muongo kila anapoendelea kufanya hivyo hatimae husema uongo ukamdhuru mwenyewe.Hii ndio hali katika habari za kifo cha Osama,kumbe itakuwa kifo cha Obama na USA.
Zamani walitudanganya kwamba wametua mwezini,imechukua miaka mingi kuthibitika kuwa haiwezekani kufika mwezini na kurudi kirahisi,iwapo mtu atafika hawezi kurudi na picha yoyote.Utashangaa wale marubani waliotajwa kutua huko daima hawako watu huru.
Taarifa nilizonazo ni kuwa Osama alikuwa kkifungoni mwao zamani eneo hilo hilo la Abottobad.Waangalizi wake walikuwa shirika la kijasusi la Pakistan.Alikuwa akielekezwa cha kuzungumza chini ya mtutu wa bunduki.Ndio maana kitu kisicho kawaida kilikuwa kikifanyika,kwamba OSAMA YUKO MBIONI KUTOA TAMKO JIPYA!
Osama alipofariki kwa maradhi kama binadamu kutokana na uchungu wa maudhi walikaa kimya.Juzi wamemfufua halafu wakamuua ili kampeni za uraisi zishike kasi.
....Mtu wa karibu aliyetoa taarifa kwa America ametoka kule kule kwenye koloni lao la Kuwait.
...Eneo hilo la Pakistan eti wakati shambulio likiendelea kulikuwa na mtu akitoa maelezo kwenye twitter.Huyu ndiye ukurasa wake uliovutia watu 37,000 kwa wakati mmoja.Hata kama alikuwa akiongea ki-urdu huyu ni CIA aliyekuwa mmoja wa washiriki katika mchezo huu.
I wouldn't really conclude that, maana we dont know if he is dead or not. What we have been hearing is news from US ambazo zinajicontradict zenyewe.
Wakitoa picha na video kama walivyofanya kwa saddam na watoto wake baadhi yetu tutalalamika kuwa wamemdharirisha marehemu, wasipotoa tunawaita waongo wazushi sasa tunataka nini?
kwa nini nisiwe na source?tafuta mtu anaitwa john wayne gacy,au tafuta documentary yake utapata hio mambo-source unayo? watu huku wanapenda kuongea bila source. Tujaribu kuachana na huu utamaduni!
Anyway...serial killer ni raia wa marekani. Dadake Bin Laden alikuwa raia wa marekani? kuna tofauti kidogo hapo!!
Tuache unafiki na sisi sasa, mbona hatuwashupalii hai al Qaeda watuthibitishie kuwa Osama hajafa? Juzi ameuliwa mtoto wa gaddafi hakuna aliyeomba picha Leo kisa kafanya marekani basi kila mtu na mama yake anataka picha wakati ya kwetu yametushinda.
Wakitoa picha na video kama walivyofanya kwa saddam na watoto wake baadhi yetu tutalalamika kuwa wamemdharirisha marehemu, wasipotoa tunawaita waongo wazushi sasa tunataka nini?