Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,100
- 136,711
He is gone, dead and buried, finito
Where is the proof?
He is gone, dead and buried, finito
kwa nini nisiwe na source?tafuta mtu anaitwa john wayne gacy,au tafuta documentary yake utapata hio mambo-
swala la kuwa raia au kutokuwa raia nazan halina tatizo-wao wamefanya wanachoona ni right kwao
binadamu ni viumbe wa ajabu sana-kwamwe hawarizikiWakitoa picha na video kama walivyofanya kwa saddam na watoto wake baadhi yetu tutalalamika kuwa wamemdharirisha marehemu, wasipotoa tunawaita waongo wazushi sasa tunataka nini?
NN wamchukue akiwa hai ili akafungue a can of worms? Hahaha sidhani kama kuna mtu yoyote kwenye serikali ya marekani alikuwa analitaka ilo..
Watoe hizo picha, then we will have no doubts of our belief....
Where is the proof?
mimi kila ninachoandka nina uhakika nacho-sina haja ya kutoa reference-itakuwa ni thesis hii sasa-U.S.A wanalinda raia wao kwa sababu wana uwezo huo-hata wakitaka kuchunguza ubongo wako serikali yako haitaweza kuwazuia japokuwa wwe si raia waosasa mbona umeandika bila reference? Au hujui kutoa reference?
Kuna ishu kubwa sana hapo kwenye uraia. Ukitaka kujua jaribu kumfanyia hivyo mmarekani uone.
Mkuu ushahidi naamini utatolewa tu, ni suala la muda, all eyes now on washington
Watoe hizo picha, then we will have no doubts of our belief....
osama was not a human being!!aliamua kuishi kinyama ni lazima afe kinyama!No matter what happened but no one is to be denied his rights to live under any circumstances. The death of OSAMA BIN LADEN is not to be rejoiced but morned as he is our fellow human being. This is by human rights Articles.
tafuta za huyo majeruhi wa kike aliyepigwa mguuni!teh teh teh!huamini kwamba osama was killed?
mimi kila ninachoandka nina uhakika nacho-sina haja ya kutoa reference-itakuwa ni thesis hii sasa-U.S.A wanalinda raia wao kwa sababu wana uwezo huo-hata wakitaka kuchunguza ubongo wako serikali yako haitaweza kuwazuia japokuwa wwe si raia wao
teh teh teh-as long u dont know my abilities-siwez kukulaumu-but nakupa onyo-never underestimate mtu kama mmi-na mtu usie mjuamhh! unadhani references zinatolewa kwenye thesis tu? this issue at hand might be beyond ur abilities. Kwa hiyo nitaachia hapa...