The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
Bendera fuata upepo
Wakuu mnasherehekea msiba na majonzi? Mnafahamu watu wangapi watapoteza ajira zao kwa kutokuwepo Osama? Ma-bodyguard, ma-security, pamoja na wafanyakazi wa viwanda vinavyotengeneza mashine za kusachi watu Airport.
Nimekuona online muda mrefu, nikaenda kulala kama nusu saa, nikaamka nakuta umepost hiyo topic saa 3.31AMhahahahahah lol
kwa nini wauliza mmhh??
South Asia
Ahahaaah!! Kumbe wameua jini na wanatudanganya kuwa ni Osama!Hilo jini limetupwa baharini ( north arabean sea) samaki wamepagawa na wanakimbia ovyo ovyo. Watu wanashauriwa kutokula samaki kutoka uarabuni
USILIZALILISHE JWTZ WEWE hajawahi kuwa huko yeye alikuwa mwana ccm tu!JK aache usanii . Kama anaongea mambo ya haki .na yeye ni rais si awasilishe muswada ya kufuta sheria ya ugaidi nchini. Ndo tutajua he mean what he say
Au anataka haki watende wamarekani tu . Hivi JK alikuwa mwana JWTZ kweli !!!!!!!
Nimekuona online muda mrefu, nikaenda kulala kama nusu saa, nikaamka nakuta umepost hiyo topic saa 3.31AM
Labda nikusaidie ndg, huhitaji kuamani, ila fact ni hivi CHIEF TERRORIST OSAMA IS BOTH PHYSICALLY AND MEDICALLY DEAD. HE'S NO MORE.
Osama hayupo duniani zamani.Hawa jamaa wamemfufua tu ili kampeni ziende vizuri.Hata hivyo vita na madhalimu itaendelea na imeendelea hata yeye hajahusishwa.Akili mgando!!
Kama Osama wako yupo basi si ajitokeze na awaumbue wakina Obama ama atoe CD/DVD ama vijitapes vyake?
Mambo kama matatu yanajitokeza ktk issue ya Bin ladin
1-Kama alivyotengeneza basi anaweza kuuliwa lakin bila kufa akabadilishwa tuu sura na kuvishwa plastic akaendelea na maisha sehemu yoyote duniani kama mtu wa kawaida bila kujulikana na baadae kufa kifo cha kawaida kwa kua deal aliyotakiwa kufanya imesha expire
2-Hajulikani alipo kwahiyo makadirio ni kua alikufa ktk mazingira ya kawaida lakin ni aibu kwa nchi kubwa kuonekana hawajui kinachoendelea hapa duniani.
3-Amekufa kweli au amejiua mwenyewe baada ya kuhisi kua atakamatwa lakin makusudio alikua apatikane hai.
Chezeni na hizo theory tatu ninajua baadae tutatafutana
Wenzetu wana imani na viongozi wao.kama wamarekani wameamini wewe mtanzania wa murutunguru kwa nini ubishe?
Hilo jini limetupwa baharini ( north arabean sea) samaki wamepagawa na wanakimbia ovyo ovyo. Watu wanashauriwa kutokula samaki kutoka uarabuni
Na picha zikatengenezwa haraka haraka.
Wanaodhani hakuna mtu Pakistan ngazi ya juu alijua hii wasome hapa
[/LIST]
source BBC News - LIVE: Osama Bin Laden dead