Osama bin Laden killed!

Status
Not open for further replies.
.
Lazima tuandamane shura sijui wako wapi Marekani inavunja haki za binadamu na kuwaonea waislam duniani.

Ala! Ukiziba huku panavuja kule! Mtaonekana malimbukeni jamani! Minyeni kama vile hamjasikia
 
Siwezi kuchangia thread za kishetani, nilitalajia uulize je ni mbinu gani zifanyike kumaliza masalia ya Al qaida? na sio kujuwa nani atakuwa kiongozi wa uovu.

Umekua kiakili hakika ndg yangu, kuna maswali mengine hata kijibiwa ni kujichosha tu.
 
Eqlypz & Yoyo said:
YUko mbinguni na mabikira 70,pheew...
Wakati Osama anafaidi 'bikra 72' ngoja wengine tuendelee na maisha yetu ya kila siku.
Naona baadhi ya wakilisto wanapenda sana kueneza vitu vya uongo na kuvishikilia kwenye akili zao...!

Mimi ni Muislam kindaki ndaki haswa, ukipenda waweza kuniweka kwenye kundi la siasa kali...! Lakini katika kusoma kwangu kote uko sijawahi kuona hiyo kitu ya mabikira 72.

Ni wapi hii habari ya mabikira 72 imeelezwa kwenye Uislam?

Labda unazungumzia wakiviacha vyote watapata kila kitu mara 100. I mean Wake mia, mashamba n.k
 

Mkuuu sikatai kuwa serikali ya pakistan iko cmmited lakini kuna idaidi kubwa ya wanachi wana faith ya ajabu na OSAMA alikuwa anakubalika. na ndio maana hata safe heaven yake ilikuwa pakistan sio india au Indonesia.

Nimesoma muda mfupi idadi ya watu wengi tu wamendamana kwenye mji fulani uko pakistan wakichoma bendera ya USA kupinga kuuwawa kwa osama. U can see what I mean.

Nakubaliana na yote uliyoyasema lakini kuna public kubw atu jamaa ana suport ina inamkubali
 

Ndio mfa maji kaka , kisago kimezidi huko Kandahar wanatafuta mlango watoke maana taliban siku hizi wanatembea chini kwa chini
 
Kwa maana hiyo unataka kutuambia kuwa wamemzika baharini mapema ili kuheshimu dini ya kiislam?
 
 
Sisi tuliozoea kuhojiana na watu huwa tunagundua uwongo kirahisi.Njia ya muongo ni fupi.Kwani Afghanistan wanakosema waliupeleka mwili wa Osama kuna bahari?

Hujasikia ni wapi wewe? Kwani unafikiri kwa akili yako wamarekani hawajui kama kuna watu wasomi na wanaojua jiografia za kila sehemu? Nafikiri umekurupuka hapa.
 
You can't fool great thinkers Straatkasyambe, do you see how Mkasika has reveal your silly post? Don't Try It again!

Fanya utafiti kwanza ndio ulete majibu kama haya, mimi nakuona mvivu wa kufiri tu
 
U.S Officials say will release Bin Lade tape which was recorded shortly before his death.

Source: news.sky
 
jamani hebu hapa tuwe makini kidogo. this can very important move toward ONE WORLD GOVERNMENT. NaOmba tufuatilie kitu kinachoitwa NEW WORLD ORDER wakati haya mambo yanaendelea. ALMOST EVERYTHING THAT OCCURS AT THIS TIME WAS CAREFULLY PLANNED.
 

Wewe ndg yangu, unajua kumtetea jambazi tunakuwa na wasiwasi nawe! Hata kama wa dini yako ifike mahali tutofautishe undugu, dini, kabila na matendo ya mtu.
Unajishusha sana kumtetea osama
 
Hapo ndio unapokosea, kutoa shutuma nzito bila ushahidi. Yaani una maana Benazir Bhutto aliuwawa na wamarekani?

Read between lines, imendikwa Believed by Pakistans. Askarikanzu kwa hiyo wewe unaamini hawawezi kumuuwa?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…