Orodha ya changamoto ulizowahi kukutana nazo TRA

Hizo sheria za kodi zipo wapi mkuu?
Nirushie soft copy au iweke hapa ili kila mtu ajisevie
ipo user manual, unaipata google. Unajifunza sheria za kodi kwa kutafuta unachokitaka online, zipo. Cha kuzingatia sheria huwa zinafanyiwa marekebisho almost kila mwaka, kwa mtu aliyechangua biashara kama mimi huwa tuko makini kujua kila badiriko lijalo. Kikubwa unakua unaji update kila wakati mkuu
 
Unyonywe kupita maelezo bado upate hamu ya kuji update!
 
Back
Top Bottom