Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,445
Yaani Mbeba Maono, umekaa katika computer yako na kudhani unatoa maono, kwa JF na jamii kwa ujumla kwa kuzungumzia suala kuwakandia Ze Comedy, wewe sasa ndiyo stage kwa leo. Kam walivyosema wenzangu huko nyuma kwamba inaonyesha wewe ni MBABE SANA. Na ninadhani hata jina lako ulikosea kuandika ulidhamiria kuandika MBABE WA MAONO. Mbele yako pale sebuleni watoto wako hawaongei kwa sauti bali kwa kunong'ona unadhani ni kwanini? Ubabe wako. Sasa nakuamuru, "Ondoka Ubabe wako Umekuponza....."
Huyu mbona tulisha mshtukia katumwa huyu kwanza na mafisadi pili kama sio EATV basi atakuwa ametumwa na IPP media aje akandie Ze comedy.
Hata akandie vp jamaa wapo juu nilienda Zambia wanawafagilia sana Ze comedy hata Malawi kuna jamaa angu alisema hata DRC nako wanakubalika sana Ze Comedy achilia mbali East Africa countries kama Burundi,Rwanda,Uganda na Kenya kwa kweli jamaa wapo juu na wanasubiliwa kwa hamu sana watakapo anza kazi hapo TBC.