Orijino Komedi: Kwa faida ya nani?

Yaani Mbeba Maono, umekaa katika computer yako na kudhani unatoa maono, kwa JF na jamii kwa ujumla kwa kuzungumzia suala kuwakandia Ze Comedy, wewe sasa ndiyo stage kwa leo. Kam walivyosema wenzangu huko nyuma kwamba inaonyesha wewe ni MBABE SANA. Na ninadhani hata jina lako ulikosea kuandika ulidhamiria kuandika MBABE WA MAONO. Mbele yako pale sebuleni watoto wako hawaongei kwa sauti bali kwa kunong'ona unadhani ni kwanini? Ubabe wako. Sasa nakuamuru, "Ondoka Ubabe wako Umekuponza....."

Huyu mbona tulisha mshtukia katumwa huyu kwanza na mafisadi pili kama sio EATV basi atakuwa ametumwa na IPP media aje akandie Ze comedy.
Hata akandie vp jamaa wapo juu nilienda Zambia wanawafagilia sana Ze comedy hata Malawi kuna jamaa angu alisema hata DRC nako wanakubalika sana Ze Comedy achilia mbali East Africa countries kama Burundi,Rwanda,Uganda na Kenya kwa kweli jamaa wapo juu na wanasubiliwa kwa hamu sana watakapo anza kazi hapo TBC.
 
Naunga mkono kabisa! Sidhani kama kila tendo linachekesha.
Hawa wanaweza kuwa wanachekesha kwa kundi fulani na isiwe kwa kundi jingine.
Tutawaita wasanii waliofanikiwa kama watachekesha majority. Isiwe kila upuuzi udhaniwe kwamba unachekesha, eti ni comedy.

Binadamu hataki kuona utu wake ukidhalilishwa na ndiyo maana kama uko fit ki-akili usingependa kuona sex yako ikidhalilishwa.

Siyo Dume zima lionyeshwe kama jike au jike lionyweshwe kama dume, halafu useme ndiyo maana ya comedy. Comedy to who?

Hawa watu wana challenge maana sasa hivi nionavyo mimi, they are overdoing. so called comedy is turning to be stupidity.

Mwanzo ulikuwa mzuri na ukielimisha na kurekebisha jamii juu ya matukio yanayotokea. Lakini hiii ya sasa! NO! NO!
 
Hivi unajua maana ya COMEDY??? Na Martin Lawrence akivaa kijike naye ni Shoga, mmh hebu comment kwenye vingine lakini si kwenye hilo
 
Mbeba Maono..
unachekesha kweli...
Kuna namna nyingi ya kufikisha ujumbe kwa jamii...nyingine bila kutumia jazba..this technique wanayotumia ze comedy is one of them...Haiwezekani ktk maisha uwe serious 24/7/365..unaweza ukawa mwendawazimu na matatizo yote haya tuliyonayo..hivyo tunahitaji muda wa kurelax in the meantime, tunapata ujumbe wa maana..believe me...kuna wengi huwa unawagusa na wamejirekebisha(hasa viongozi) through 'ujinga ujinga' ule...muulize Kayanza Peter and the likes....Kama walio wengi wamependezwa na wameliona hilo ila wewe unaona tofauti...... basi una matatizo akilini
 
Naunga mkono kabisa! Sidhani kama kila tendo linachekesha.
Hawa wanaweza kuwa wanachekesha kwa kundi fulani na isiwe kwa kundi jingine.
Tutawaita wasanii waliofanikiwa kama watachekesha majority. Isiwe kila upuuzi udhaniwe kwamba unachekesha, eti ni comedy.

Binadamu hataki kuona utu wake ukidhalilishwa na ndiyo maana kama uko fit ki-akili usingependa kuona sex yako ikidhalilishwa.

Siyo Dume zima lionyeshwe kama jike au jike lionyweshwe kama dume, halafu useme ndiyo maana ya comedy. Comedy to who?

Hawa watu wana challenge maana sasa hivi nionavyo mimi, they are overdoing. so called comedy is turning to be stupidity.

Mwanzo ulikuwa mzuri na ukielimisha na kurekebisha jamii juu ya matukio yanayotokea. Lakini hiii ya sasa! NO! NO!

Kwanini haya maoni yanakuwa leo mlikuwa wapi siku zote???????????????
Ni ktk kudadisi tu..........................umetumwa eeeeeeenheeeeee?

Unaweza kutaja kundi au mtu aliye weza kuchekesha jamii yote ya watu hapa duniani mpaka unasema usemayo?Majority wanapenda sasa nyie mnataka ...............damn!

Ndio kama nilivyo toa assumption kwa mwezako,eaither mna matatizo ktk front lobe of your brain which is resposible for the reasoning process.........ama mumetumwa.
 
Hawaabishi taifa. Ila wanajaribu kwa uwezo wao wote kuonesha jinsi taifa lilivyo. Kama sisi ni mafisadi tusione aibu tukiambiwa ukweli. Hiyo ndio rangi yetu.
 
jamani, mmenisema sana, hii inaonyesha ni watu wa aina gani tulionao tz. kazi kwelikweli. lakini ukweli uko palepale. jana niliona kipindi fulani cha star tv, kinaonyeshwa kuanzia saa tatu kamimi usiku kila alhamisi, ni komedi yao na wao, wenyewe wanaita FUTUNI. naomba jaribuni kuangalia hiyo, halafu museme. wale jamaa waliigiza namna ya ushirikina ulivyofanywa kule bungeni hivi majuzi, lakini the way walivyo express, wanachekesha na wanaonekana wameenda shule, kwa ufupi jamaa wana onyesha kutoa ujumbe kisomi, kiustaarabu na hakuna hata doubt. mimi nina kazi zangu, wala msiseme kuwa nimetumwa na hao jamaa. ninyi wenyewe angalieni ile halafu mjaji wenyewe namna kina joti wanavyotakiwa kufanya. jamaa wanavaa vizuri, wanaongea maneno yasiyo ya udhalilishaji, yasiyo ya kitoto wala utumbo, ila wanachekesha na kufurahisha. na nina hofu kuwa, wale jamaa wanaweza wakawapiku kina joti kwa mda si mrefu. amini msiamini mtaona wenyewe kwa macho yenu. kwaherini.
 
Mbeba Maono.

Just allow me to say that una visa vyako binafsi na the Comedy. With your comments abt FUTUNI, sina haja ya kujiuliza mara mbili kama umetumwa na kwamba una lengo baya dhidi ya ze comedy, this talks by itself. Guess what, penye ukweli uongo hujitenga.

Ningekuona mstaarabu endapo kama umeona wapi ze comedy wanapwaya, ukawashauri labda wafanye hivi na vile,kuliko kuibuka tu na kuwakandia wenzio na kudai wanaliabisha Taifa la Tanzania kwa sababu ulizozitoa zisizo na msingi, na kumalizia kuwalinganisha na kundi jingine unalotaka wewe.

Kumbuka kumchekesha mtu inabidi uwe mbunifu hasa. Hutakiwi kuwa wewe ili kufanikisha hili, thats why inabidi wa act kitoto toto, kuvaa kiajabu ajabu, kugeuza sauti ili mradi tu kugeuza mambo ndivyo sivyo, I mean kutoka wao kama wao to something else na ndio maana hata majina wanatumia ya kisanii, eg Joti nafikiri atakuwa na jina lake halisi (binafsi silijui).

Hebu tuwaache vijana wa watu waendelee na ajira yao. Kama una lolote la kuwashauri kwa nia nzuri na siyo kuwadhihaki, wengi tutafurahi na kukushukuru. Unaweza weka hint hapa then kama watapita humu JF, ama ndugu, jamaa ama rafiki zao wakiona watawashauri, who knows, wanaweza kufuata ushauri wako na mambo yakaenda fresh. So far, I still like them na vichekesho vyao ndio vinanimalizaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Wanabodi mmesahau kuwa kuna wengi humu wana aleji na fun fun??
M-beba Maono ni mmoja wao, he is soooo ofended na furaha za watu...
 
Nafikiri wewe UNAMATATIZO, wale wako kwenye fani ya uchekeshaji na mara nyingi hutoa ujumbe mzuri sana jinsi wanasiasa mpaka raisi anapoboronga kwa staili ya vichekesho na ujumbe unafika vizuri.

ile ni kazi yao inayowapa kula, wewe kama hupendi hulazimishwi kuangalia channel maana nakushangaa ETI KUIGIZA KAMA wanawake ni TATIZO. MIMI nimekusameshe maan hujui USEMALO
 
Jamani, naomba kuuliza, hivi kina joti na wenzake, wanafanya kazi kwa maslahi ya nani? na ni silaha ya nani? kwasababu toka wanunuliwe na manji wakapelekwa London na South sijui na mapesa kibao, wanaonekana ku serve interest zoooote za wale watuhumiwa wa mafisadi papa. cha kwanza, wanatumika kuwawinda wale wanaowagusa watuhumiwa, mfano walivyomsema mengi ile majuzi na kumwita mjinga na mpumbavu(alisema masanja pamoja na kwamba hakutaja jina).

Nijuacho mimi, hawa jamaa, ukianza na Seki mwenyewe, hadi kina joti, masanja na wenzie, walianzia kwenye tv za mengi. hakuna asiyejua kuwa kulikuwa na tifu kati ya Mengi na hawa jamaa hadi wakaondoka wakaenda tbc1 na kesi juu. inasemekana ilikuwa ni kwasababu ya maslahi. mfano wa pembeni yake, ni kikundi cha uigizaji tbc kinaitwa Jasmin kwa sasa kinaongozwa na Tuesday(chusi).kuna usaliti fulani ulitokea wakaaibishana sana.

Ninachoomba kuuliza ni hivi, Hivi mtu aliyekulea na kupalilia kipaji chako(hata kama maslahi sio mazuri), mtu aliyekuondoa matongotongo, aliyekupeleka ******, aliyekufanya ujulikane(hata kama ana mapungufu yake), aliyekufanya upate pa kujishikiza kabla ya wewe kuwa maarufu, ni wa kumfanya adui yako kiasi hicho kwa kujiunga na mafisadi? Kama mengi asingewapokea hao kina seki zamani, tungewajua? masanja ndo angekuwa mpiga debe ubungo na kule kwao iringa.

Kama mengi aliwakosea, si wangeendelea na maisha yao kimya kimya kumtunzia heshima yake kwasababu yeye aliwatoa tongotongo? hivi, kama wanao uwezo kumgeuka mtu kiasi hicho, basi hata kina Manji na RA wajiandae, siku yoyote mwenye dau kubwa akija, atawachukua na watawageuka kina manji na ra kama walivyofanya.

Hawa jamaa(masanja ni mbushibushi sana mbena wa iringa tunamjua) wanapoongea mambo kuwalinda mafisadi, hivi ni kwa maslahi ya nani? wale ndugu zao kule iringa vijijini kusiko na hata umeme wanafaidika na nini? Kwa mlio nje ya tz, jamani hawa jamaa wanatumiwa na RZ na Manji aliyewahamishaga ITV kurusha makombora kwa Mengi. they are for the interests of the fisadis na sio watz. please, lets discuss this issue kwa haki na ukweli, sio uhasama wala unafiki.thanks.
 
You shall serve the hands that feed you. Kama wame nunuliwa na Manji hiyo siyo siri loyalty yao itakua kwa nani. Usishangae kwa wao kutumika. Unafikiri Manji kawa mwagia mamilioni kwa ajili ana wapenda sana? Alikua na nia na madhumuni ya kuwa chukua. Akisha watumia ata watupa tu na wanaweza kurudi kumlilia Mengi. Japo kuna sehemu nataka kuku rekebisha.Mengi hakuwa hudumia hawa watu personally, walikuwa waajiriwa kama walivyo waajiriwa wengine. Sidhani kama walikua na mahusiano binafsi na Mengi. Hapa ni kwamba kituo cha Mengi ndiyo kili watoa ila siyo kuwa Mengi aliwa chukua chini ya mabawa yake na kuwalea. With that said I still fon't think they should have disrespected Mengi the way they did.
 
Hahaha Mwana wa Mungu, kwanza sio comedi urojino, ni orijino comedi. Unachosema ni kweli kabisa, kwa walioangalia kipindi chao kilichopita, wale jamaa wanajipinda kabisa kurusha makombora makubwa sana kwa Mengi. hawa jamaa hawako kwa maslahi ya taifa hata siku moja, ni kwa maslahi ya mafisadi na wale waliowanunua. Pili,wako pale kwa maslahi ya CCM. wanafanya kazi TBC1 na hawawezi hata siku moja kuikosoa selikali, walikuwa wanafanya hivyo walipokuwa east africa tv, waliponunuliwa na manji(sikui alitumwa na ccm?), hawaigusi kabisa ila kuifagilia.

Rostam azziz na manji wanawatumia sana kupumbaza akili za watz walio wengi ambao hata hawaelewi kinachoendelea, ile ni comedy lakini amini usiamini kuna watz wengi sana hasa wadada zetu wasiosoma, utakuta wanaacha hata kazi wanaangalia hiki kipindi. ni kipindi chenye mvuto sana kwa watoto na wanawake. cha ajabu, kina mambo ya kitoto kupita kiasi, mtu mwenye heshima zake hawezi kuwaangalia hawa jamaa.

what you people need to know, ukiwaangalia sana wale jamaa, akili zao na yale maigizo zitakuwa copied na pasted kwenye ubongo wako. uzuri wake ni kwamba, kitu hicho sio endelevu kwao, kwasababu kuna siku watz watakapofunguka akili, hawatawaangalia tena, hawatakuwa na mvuto hata kwa wale wanaowadhamini RA na manji. imagine Joti anavyojifanya kama shoga, imagine masanja anasema yeye mkoboaji, ananyoa nywele kwa kiwembe hadi vipele, mambo ya saluni kabisa ya wanawake hayo. ni utoto uliopindukia. mimi sitaki kuwaangalia kabisa. na mtoto wangu namfidha kwasababu ataanza kuwaiga na kuchafua tabia.
 
You shall serve the hands that feed you. Kama wame nunuliwa na Manji hiyo siyo siri loyalty yao itakua kwa nani. Usishangae kwa wao kutumika. Unafikiri Manji kawa mwagia mamilioni kwa ajili ana wapenda sana? Alikua na nia na madhumuni ya kuwa chukua. Akisha watumia ata watupa tu na wanaweza kurudi kumlilia Mengi. Japo kuna sehemu nataka kuku rekebisha.Mengi hakuwa hudumia hawa watu personally, walikuwa waajiriwa kama walivyo waajiriwa wengine. Sidhani kama walikua na mahusiano binafsi na Mengi. Hapa ni kwamba kituo cha Mengi ndiyo kili watoa ila siyo kuwa Mengi aliwa chukua chini ya mabawa yake na kuwalea. With that said I still fon't think they should have disrespected Mengi the way they did.

sasa kama kituo cha mengi ndo kiliwatoa, si mengi mwenyewe? unafikiri hakimuumi mengi? have you ever been betrayed in your life? umemsaidia mtu au niseme kampuni yako imemsaidia mtu alafu anakuja kukugeuka, hata kama hautaki chochote toka kwake, inauma sana because you fee betrayed. hao watoto walitoka kupitia vyombo vya habari vya mengi. hata kama si hivyo, basi wangeondoka wafanye kazi sehemu ingine kama mengi hawalipi vizuri.

ninachosapoti mimi, ni kwanini wanawatetea mafisadi? kwanini wanatumiwa kama instruments na mafisadi kupinga wapigania maslahi ya watz? ni kweli, watatumiwa, likitokea kundi lingine lenye mvuto zaidi yao, kina manji watalinunua hilo wao watatupwa kama hawajawahi kujulikana. remember, upandacho ndicho utakachovuna. ukipanda betrayal utavuna betrayal. kwa macho yenu mtaona kuna siku hawa orijino comedy watalia na kusaga meno.
 
Jumapili iliyopita dada yangu anaishi Namibia alinitumia SMS kuniuliza kulikoni hata the Comedy Original wanaanza kupoteza mwelekeo na ku-act ujinga? Nikamjibu kwamba shauri ya Pesa! Manji pamoja na kuwapa pesa nzuri alikuwa na nia ya kuwatoa ITV kama namna fulani ya kumkomoa Mengi. Wangekuwa na busara kwenye mkataba kati yao na Manji/TBC1 wangeweka kipengele cha kutoingiliwa na Manji na TBC1 katika sanaa yao ili mradi hawavunji sheria. Matokeo yake ndio tunaona mambo wanayofanya. Mlipa mpigaji zumari kila mara anachagua wimbo (who pays the piper calls the tune) na tayari wameanguka kwenye mtego. Ole wao wakipoteza umaarufu watakuwa mgeni wa nani? Nina uhakika Manji na rafiki zake watawatosa baada ya kuwatumia kama "doormats"!
 
sasa kama kituo cha mengi ndo kiliwatoa, si mengi mwenyewe? unafikiri hakimuumi mengi? have you ever been betrayed in your life? umemsaidia mtu au niseme kampuni yako imemsaidia mtu alafu anakuja kukugeuka, hata kama hautaki chochote toka kwake, inauma sana because you fee betrayed. hao watoto walitoka kupitia vyombo vya habari vya mengi. hata kama si hivyo, basi wangeondoka wafanye kazi sehemu ingine kama mengi hawalipi vizuri.

ninachosapoti mimi, ni kwanini wanawatetea mafisadi? kwanini wanatumiwa kama instruments na mafisadi kupinga wapigania maslahi ya watz? ni kweli, watatumiwa, likitokea kundi lingine lenye mvuto zaidi yao, kina manji watalinunua hilo wao watatupwa kama hawajawahi kujulikana. remember, upandacho ndicho utakachovuna. ukipanda betrayal utavuna betrayal. kwa macho yenu mtaona kuna siku hawa orijino comedy watalia na kusaga meno.

Nakubaliana na wewe mkuu kuwa wana tetea ufisadi kama ukiendelea kwenye post yangu nimesema kabisa kuwa wana tetea mkono unao walisha na kwamba pia siku baliani na kumkashfu mtu yoyote iwe mengi au nani. The point I was trying to make is that si kweli kuwa Mengi alikua ana fusika na hawa madogo binafsi ila ni kweli wametoka kwenye vyombo vyake sikatai hilo,
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom