Orijino Komedi: Kwa faida ya nani?

Upumbavu at its best!

Yule Manji nia yake ilikuwa ni kuonyesha ofisi yake ilivyo ya kisasa, na kwamba ndiye anayewalea Ze Comedi na TBC kwa ujumla!
I just call it a "damn shit business" na najuta kupoteza muda wangu kuangalia ile maji taka.

God Forbid!!
Akhsante sana paka jimmy kwakunijuza hayo,mi nilikuwa sijui kama huyu bwana Manji ndio baba mlezi wa kituo kikubwa cha tv tena cha serikali,hivi hii serikali inanjaa kiasi hiki?
'I would rather be deaf,mute and blind!!!!
 
ujue humu ndani kuna wsukuma wengi sana nuimegundua, kwa akili tuu,FUHI ni upuuzi gani wanafanya?ebu aliewahi kuangalia hizo anipe japo kapart kadogo tu cha futuhi kuigiza wakafurahisha?nani anabisha the comedy bado wapo juu?tatizo la watz chuki binafsi ndo hata maendeleo hakuna kabisa.kwanza haoo jamaa wameiga kila kitu kutoka comedy,ebu waambie futuhi wafanye live show kama wataweza,kiswahili chenyewe tabu kukizungumza,maneno ya mtaani hawajui,sasa utamchekesha nani?zaidi mi nawaona FUTUHI kama PWAGU NA PWAGUZI,kwanza mada mumeibadilisha,Manji nae poa sana si anafanya mambo yanaonekana?anatumia hela yake kuwasaidia watu hata kama anaiba potele mbali,ana hela kibao hawezi kujidai kwa prest office,ni kitu kidogo sana kwake!!
 
Jana nilibahatika kuwa mitaa ya Kinondoni muda wa saa 12 kamili wakati kipindi cha zecomedy kipo hewani kwenye mabaa na sehemu wanazouzia TV watu walijaa kibao, ilipofoka muda wa saa 3 kipindi cha FUTUHI kikiwa hewani sikuona ata mtu mmoja anafuatilia!!
 
Yeah utakubaliana nami kuwa watu wanawapenda sana ze comedy hakuna ubishi lakini hawa wanao pinga naona wanalo jambo.
 
Nimegundua hapa watu wengi saaaaaaaaana wanawachukia Ze Komedi...sasa sitapata tabu tena..watu wengi ni wanafiki humu, jana nilifanikiwa kuangalia both Ze Komedi na hao Futuhi, ila to be honest Futuhi baaaaaaaado saaaaaaana tena saaaana tu kufikia level za Ze Komedi, labda muendelee kuwapigia debe hivo hivo ndio wataweza kujaribu kuwafikia akina Masanja japo kidoogo....ni hayo tu.

Aswaaaah!!!! Mheshimiwa hapo umegonga Msumali wa mwisho, hatupati tabu na wala hatusumbuhi akili zetu tena kuweka "battle of brain" na watu wanafiki na wasiojua mambo ya comedy. UMEFUNGA MJADALA!!
 
Yeah utakubaliana nami kuwa watu wanawapenda sana ze comedy hakuna ubishi lakini hawa wanao pinga naona wanalo jambo.

Nadhani sasa umefika muda muafaka wa hii thread kupelekwa kwenye closed topics, maana tumeshapata ukweli kwamba Ze Komedi wako juuuuuuuu saaaaaaaaaana.
 
ujue humu ndani kuna wsukuma wengi sana nuimegundua, kwa akili tuu,FUHI ni upuuzi gani wanafanya?ebu aliewahi kuangalia hizo anipe japo kapart kadogo tu cha futuhi kuigiza wakafurahisha?nani anabisha the comedy bado wapo juu?tatizo la watz chuki binafsi ndo hata maendeleo hakuna kabisa.kwanza haoo jamaa wameiga kila kitu kutoka comedy,ebu waambie futuhi wafanye live show kama wataweza,kiswahili chenyewe tabu kukizungumza,maneno ya mtaani hawajui,sasa utamchekesha nani?zaidi mi nawaona FUTUHI kama PWAGU NA PWAGUZI,kwanza mada mumeibadilisha,Manji nae poa sana si anafanya mambo yanaonekana?anatumia hela yake kuwasaidia watu hata kama anaiba potele mbali,ana hela kibao hawezi kujidai kwa prest office,ni kitu kidogo sana kwake!!
I hope hiyo sio chuki yako binafsi kwa wasukuma

"hata kama anaiba potelea mbali" - du!!!!!!!!
 
Jamani yeye si ndo anawadhamini!! Kwa hiyo kuigiza nao mbona poa tu. Ni kama mtu akikukuta nyumbani unacheza na watoto wako utaambiwa umefulia? Maana hawa ni watoto wake. Unajua nini yeye kuigiza nao imekuwa mbaya kwa sababu hawa ze comedy tumewachoka kwa vitimbi vyao kuingiza wenzao kuwa wamefulia, lakini kama ingekuwa hakuna hako ka kipengele mi naona wako bomba na hata kuigiza na manji mbona poa tu. Tusije leta story za baba kumsaidia mama kazi ni kufulia au baba kucheza na watoto wake ni kufulia

,,,,Kale kajamaa(hiyo segment ya ALIEFULIAAA!!) wame kachomoa,nadhani ndo for good sasa,ila kalikua kanafurahisha kwa sie tusiokua na MAKUU.
 
Mugo"The Great";586946 said:
Ni kweli bado tunacheka, lakini mimi binafsi mbavu haziumi kama zamani. Kumbuka wakati ule miondoko ya Joti ilikuwa tishio na burudani ya aina yake. Watoto wengi walikuwa wakiiga style yake, hiyo ni ishara ndogo kuonyesha mwitikio wa hadhira. Nakumbuka wakati ule nilikuwa nikigombana na watoto siku za alhamisi wakitaka kuwaona akina Masanja lakini siku hizi sometimes week end inapita bila wao ku-notice kuwa kulikuwa na Original Komedi. Kumbuka ni rahisi kufikia status ya juu lakini ni vigumu kui-mantain.

,,,Jamaa kiwango kiko palepale,sema TUMESHAZOEA na KUWAZOEA wao wenyewe na ndo maana tunaona hawatuchekeshi tena,we ka vipi WAPOTEZEE tu
 
Akhsante sana paka jimmy kwakunijuza hayo,mi nilikuwa sijui kama huyu bwana Manji ndio baba mlezi wa kituo kikubwa cha tv tena cha serikali,hivi hii serikali inanjaa kiasi hiki?
'I would rather be deaf,mute and blind!!!!

,,,Kuwa mlezi wa KIKUNDI haimaanishi ndio mlezi wa SERIKALI kaka,we umefuliaaaaa!! nini??,tuache kuchanganya mambo,we ka vipi IPOTEZEE nenda kajipigilie na FUTUHII,wazee wale wenye vichekesho vya kitooooto,e.g.,,eti wanagombea choo,kisa mwenye nyumba hataki wapangaji wengi,basi kila mtu kaweka kufuli lake kwenye mlango wa choo ili kukomoana,,,aah.
 
ujue humu ndani kuna wsukuma wengi sana nuimegundua, kwa akili tuu,FUHI ni upuuzi gani wanafanya?ebu aliewahi kuangalia hizo anipe japo kapart kadogo tu cha futuhi kuigiza wakafurahisha?nani anabisha the comedy bado wapo juu?tatizo la watz chuki binafsi ndo hata maendeleo hakuna kabisa.kwanza haoo jamaa wameiga kila kitu kutoka comedy,ebu waambie futuhi wafanye live show kama wataweza,kiswahili chenyewe tabu kukizungumza,maneno ya mtaani hawajui,sasa utamchekesha nani?zaidi mi nawaona FUTUHI kama PWAGU NA PWAGUZI,kwanza mada mumeibadilisha,Manji nae poa sana si anafanya mambo yanaonekana?anatumia hela yake kuwasaidia watu hata kama anaiba potele mbali,ana hela kibao hawezi kujidai kwa prest office,ni kitu kidogo sana kwake!!

Mkuu RealTz77
Nadhani umeshindwa kujua uwiano wa kawaida kabisa,
kwanza Wasukuma sio tu wengi humu ndani ya JF bali kiujumla Wasukuma ndio kabila kubwa kuliko yote tanzania linacover (Shinyanga, Mwanza,Musoma, Kagera,Singida<dodoma, Arusha na sasa wapo Mbeya) kwa maana hiyo sehemu yoyote yenye mujumuiklo wa maana lazima wasukuma watachukua nafasi, pita mavyuoni na sehemu kama hizo hili uprove, na napenda kukufahamisha tu kuwa hao jamaa ndio watakuja kuicontrol hii nchi siku zijazo

pili kuhusu FUTUHI kuwa ni Wasukuma, mbona ZE COMEDY wamepatia umaarufu wao kwa kupitia Wasukuma haohao (Masanja), huyo jamaa ni mtu wa mbeya lakini aliona kabisa akitumia Kisukuma ndio itamlipa zaidi, kwa hiyo kama FUTUHI ni wasukuma pia ZE COMEDY inaenda kwa nguvu hiyohiyo ya Usukuma
 
Komed huwa hawatabiriki wale, wapo kama kinyonga ni wabunifu saaana. Kunakipindi wanaboooa kunakipindi wavutia saana. But for this tyme hawanivutii kivile. Sometimes ninakosa hamu yakuicheki kwasababu ya mpangilio wao wa sasa wa habari zao. Hauwezi kuwafananisha na futuhi hata kidogo. Japokuwa futuhi wanajitahidi.
 
Mie futuhi haijawahi kunivutia hata kidogo so hata sidhani kama nilivyoangalia mala ya kwanza nilipata mvuto huwa nacheki kama kuna wenzangu wanacheki laa sivyo bora nijipatie kiusingizi murua

hola fo now

Hao futuhi hawana kitu,watu wanataka kuwapa kichwa tu!!Wanatumia nguvu kweli kuchekesha ... Unaengalia inabidi uconcentrate mpaka kichwa kiume ndio ucheke,sasa si ni mateso hayo?
 
Nikwafaida ya wote kwani wasingekuwepo msinge pata la kuongea hacheni unafiki, its a matter of advising them about what to,

However,komedi try to be creative and go back to school for advancing yourselves ok!

I like you guys but try to style up.
 
pesa si zao bwana waache watumbue..........mambo mengine baadae wakifulia!!!!!!!!!!!!!!!!!!111
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom