Orijino Komedi: Kwa faida ya nani?

Bila wao kugundua wameshaacha soko walilolikusudia! Kuna jirani zangu huku uswahilini walikuwa hawakosi kipindi chao, wanaitana kwenda kuangalia hivi majuzi nimegundua wapo tu barazani kwao wakiitwa wala hakuna anayenyanuka. last Thursday nikasikia mmoja anamwambia mwenzie "kukiwa na kitu cha maana niite ndio nitakuja"
 
Mimi nimepiga marufuku wanangu na majirani kuangalia upumbavu wa ZEKOMEDI. Walianza vizuri, lakini walipo sasa hivi, they are rotten, smelling and junky dogs!

Sasa, wadau, ujumbe huu wa hasira za watazamaji wa TBC1 Utawafikiaje wapumbavu hawa? Wanachafua TV ya Taifa. .!

Anyway, labda tunaongea na mbwa badala ya kuongea na mwenye mbwa...!
 
Walipoanza ni kweli walianza vizuri.lakini hapa walipofikia kwa sasa, haki nakwambia wanatia aibu.

Unajua kununuliwa na mtu ni utumwa sana. Si ajabu hata hawapendi kufanya hivyo lakini aliyewanunua anawaamuru wafanye hivyo.

J'pili iliyopita walimtukana Mengi ili kuchanganya akili za watz tuache kupiga vita ufisadi. Mabosi wao ni mabilionea, wao ni masikini wa kufa mtu, wametoka kijijini kama Masanja, hawajui chochote kinachoitwa maisha. Nawaonea huruma sana.

Halafu wanakeraaaa, yaani wanakera aisee.
 
Mimi napenda wanavyo expose pretentiousness kuanzia kwenye mimicking yao ya tone za watangazaji mpaka ku mock kauli na vitendo vya viongozi na vibosile.

...Are you serious unawapenda???

Hv wewe Pundit uko Tanzania, or u r jst somewhere in the egg-shell?

Nani aliyekwambia kwamba watu kwa sasa wanapenda syphilized comeds za hao rafiki zako kipenzi? ...No boby is interested anylonger, labda watu wanachoangalia ni kule mwishoni ambapo kunakuwa na MUZIKI WA INJILI sometimes, labda at least INJILI Inawafikia watu, naINJILI inaenda mbele...!!! Only that!
 
ni kweli, watu wamepoteza hamu ya kuwaangalia, wachungaji wengi wamewapiga marufuku. unajua, mfano kama joti anavyoigiza, kuna siku mashoga wakitokea hapa nchini watu hawataona ni kitu cha ajabu kwasababu wamezoea kumwona joti. nakwambia, joti anatumiwa kabisa na shetani kuhamasisha uchafu wa aina hiyo uonekane ni wa kawaida hapa tz. kwanini wasiigize kama wenzao kina FUTUHI kule star tv? kama mwanamke, anaigiza mwanamke, kama mwanamme anaigiza mwanamme. sasa, futuhi ya star tv inachukua umaarufu bila wao kujijua nakwambia, kwasababu wana act kwa adabu at least wanakuwa na heshima ya mtanzania. kina joti wamejaa mambo ya uswahilini, mambo ya taarabu na kuhamasisha kuonyesha wanawake walioshindikana malaya na mambo ya ajbu kama hayo. there is nothing these people wanafaya kwa maslahi ya taifa. naomba Mungu wadondoke tena kwa dondoko kubwa.
 
Mwana wa Mungu na malizia kwa kusema AMINAAAAAA
 
Hawa jamaa wana asili ya ushoga...na wananiboa hata nimeshaacha kuangalia kipndi hicho.mambo yao ya kisenge na hawana lolote la maana.
 
Bhagosha,

Mnajua wengi wenu ndani ya nchi hii hamuelewi nini maana ya comedy kabisa nafiri kisomo kinawapita kambo na kusoma kwenu kote huko tunapenda sana ku critisize mambo pamoja na kusoma kwanza mwapaswa kujua definition ya the comedy, nadhani hatujui kitu kutambua ustaarabu wa mazingira tunayo ishi hata vichekesho jamani mwa ng'akia wakati mwajua hayo ni maigizo nayo pia ni moja ya kuelimisha jamii na hiki kinawauma watu kwani wengi wao matendo yao ni mabaya sana kwaiyo wakikosolewa kwa kupitia ze comedi wana ng'aka. me nadhani kama hupendezwi na ze comedi fungua channel zingine uwatch na una uhuru wa kufanya ivyo, na kama kuna mtu katumwa kuvuruga hayo aseme wazi.

Mtu anasema hawa jamaa wanafanya mzaaa na mambo ya taifa ivi hao wanao igwa kwa mambo yalio tokea kwa uzembe wao we hukuona ni wao ndio chanzo cha kufanya huo mzaaa mpaka wakaigwa jamani lets be very realist here, mfano kwenya hayo mabomu ya mbagala kweli wanajeshi hawaju madhara ya mabomu kukaa katika hali ya hewa fulani au yanatakiwa yatunzwe namna fulani kuepusha ajali kama ilio tokea?? sasa hapo niambie ni yupi anafanya mzaa na taifa hili???

Tizameni viongozi wnavyo zembea mikataba ya nchi hilo hamlioni kuwa ni kuliangamiza taifa leo mnakuja wasema ati ze comedi wanafanya mzaaaa, humu kuna watu kweli bongo lala maendeleo kupatikana ndani ya nchi hiii itachukuwa muda mrefu sana

Tufikilie vitu vya msingi nadhani ze comedy isnt an issue here kuna watu wana propaganda zao kwenye hii issue imewagusa sana
 
Nafikiri wewe UNAMATATIZO, wale wako kwenye fani ya uchekeshaji na mara nyingi hutoa ujumbe mzuri sana jinsi wanasiasa mpaka raisi anapoboronga kwa staili ya vichekesho na ujumbe unafika vizuri.

ile ni kazi yao inayowapa kula, wewe kama hupendi hulazimishwi kuangalia channel maana nakushangaa ETI KUIGIZA KAMA wanawake ni TATIZO. MIMI nimekusameshe maan hujui USEMALO

Hivi ni kweli kuwa ndani ya kundi hilo kuna watu wawili ni......"tende na Kharua"?
icon10.gif
 
Hawa jamaa wana asili ya ushoga...na wananiboa hata nimeshaacha kuangalia kipndi hicho.mambo yao ya kisenge na hawana lolote la maana.

Alnadaby;

Yes wanaushoga-shoga na vitabia frani vya kushangaza, but kuna watu wana-enjoy vipindi vyao

Halafu umetumia lugha kali sana mkuu--- yaani jamaa wana mambo ya k***n*e?? Duh
 
Alnadaby;

Yes wanaushoga-shoga na vitabia frani vya kushangaza, but kuna watu wana-enjoy vipindi vyao

Halafu umetumia lugha kali sana mkuu--- yaani jamaa wana mambo ya k***n*e?? Duh

Hawa jamaa hawana lolote zaidi ya kuharibu jamii..... yaani unaweza kuta jitu kubwa tena dume pandikizi la mtu linaropoka eti

NajuuuuuuTA. kukufahaam!
Stupid!!

Uongo m'baya bwana mimi naifagilia mizengwe ile mbaya.. jamaa wako juu..
 
Nafikiri JF tulisema ili hata kabla hawajaondoka kwa Mengi kuwa wanahitaji kuwa wabunifu zaidi kwani product life cycle yao ni less than one year na kilichowaokoa mpaka leo ni kuhama TV kwani imeongezea product life cycle yao kwa miezi kadhaa.

Walitakiwa wakati wako juu wabuni kitu kingine na sio kuona kuwa wataendelea kuwa na vichekesho vya aina hiyo kila siku kwani katika product analysis, product ambayo inavuma sana mwanzo unahitaji kuwa unaifanyia modification kila baada ya muda ila kumaintain market share, wao wanafikiri kwakuwa vile ni vichekesho basi haviusiani na product development.

Walitakiwa kufanya modification kuanzia design mpaka derivery mode ya comedy yao. Wenzetu ndio maana vitu vyao haviishi kwenye chart kwa kuwa wanafanya life cycle analysis na kujipanga ni jinsi gani ya kuanza kufanya modification.

Nakumbuka baadhi ya vipindi katika TV zetu vilivyovyuma vikaishia kifo cha mende ni vingi kama vile KITI MOTO CHA CHANNEL TEN, HAWAVUMI LAKINI WAMO CHA ITV na KIPINDI KIMOJA ALIKUWA ANATANGAZA SEKI CHANNEL 5 SIKUMBUKI JINA, vilivyo njiani kuishi ni kama ZECOMEDY, NA USWAZI HIVI VINAITAJI LIFE CYCLE ANALYSIS HARAKA SANA KABLA MATURITY YAKE HAIJAFIKA HASA COMMEDY AMBAYO NAONA IKO KWENYE LAST STAGE YA MATURITY KUELEKEA DECLINE
 
Hawa jamaa hawana lolote zaidi ya kuharibu jamii..... yaani unaweza kuta jitu kubwa tena dume pandikizi la mtu linaropoka eti

Stupid!!

Uongo m'baya bwana mimi naifagilia mizengwe ile mbaya.. jamaa wako juu..

Mkuu umenichanganya hapo juu... sijaelewa
 
Its comedy, y'all!!

Mengi hakuwagundua ze comedy and it is possible its the other way round! I knew of Mpoki and Joti via VHS tapes a long time before ITV/Channel 5 had a foothold in Tanzania. I knew of Seki from his primary school days acting in maigizo, ngonjera na michezo while a student at Sao Hill in Mufindi. I don't know where Masanja and the rest came from but it does not matter, since the group "Ze Comedy" was formed BEFORE they started appearing on Mengi's TV!

They do have a beef with Mengi because they did bring in a lot of income to the station because advertising during their show was hot cake to Tanzanian standards. Mengi was not paying them enough, or so we hear, despite all their popularity and success. When it came for them to jet, whether by Manji's hand or any other fisadis(by that time the word "fisadi" was not in the everyday vocabulary in bongo), Mengi, because he had the clout and the money, barred them moving on with their name and characters - today we see on TBC1 "Noname 1" "Noname 2", "Noname 3" etc

My suggestion is if you do not like what YOU PERSONALLY see than change the damn channel and watch FUTUHI (which, incidentally, I tried watching them and I really don't know what the hell they are doing, to be honest! I just don't watch them as MY PERSONAL choice) I remember some people said that even the magnificent "Dude" of "Bongo Darisalaam" was bad influence to society - I think he is hilariously great!

"Enzi za Mwalimu" people watched anything they wanted (TV Zanzibar na cinema za Chalii Mnene na Chalii Mwembamba, na Chalii Champlin). Siku hizi "Wizi Mtupu!" Watu wanataka kuforce down other peoples throats their junk opinions! "Najuuuuta kukufahamu"
 
U said it all..... mtu kama hapendi maigizo yao simple, change channel kuna utitiri wa Tv sasa Bongo why keep watching ze comedy wakati ukijua wataku dissapoint?

Vijana wanachakarika kupata riziki zao, nawa fananisha na wachezaji mpira ikija timu na dau kubwa unahama haya mambo ya ooh sijui wamelelewa na Mengi ni rubbish in contrary Mengi ndio ka make pesa nyingi kwa kutumia migongo ya hawa dogo.

Its their time acheni wakandamize tu
 
Back
Top Bottom