Wew ndo unaita ujinga....ingekua mods za gcam sio deal basi kasome uzi wangu wa gcam uone feedback,alafu unachekesha mzee,gcam unasema ya nini? uliskia kuna stock app gani imekua ported kam google camera? kuna mods huwez ishi bila kua nazo..achana na mambo ya substrum themes.
Na aliekwambia ukiwa na flagship ndio umemalza kila kitu nani? Dev support iko pale pale...hakuna flagship iliyokamilika kiasi cha kusema hakuna haja ya mods na ports za devs...
Hata s21 inakula ports za gcam...sjui unataka kusema nini hapa.. Android sio Apple
Sent from my M2101K7AG using
JamiiForums mobile app