TunashukuruTumieni tu ila wakiitwa wenye simu msijitokeze.
Sasahivi iCloud inatoka kuna tutorial niliona YouTube inafanya kazi 100% hata kwa iPhone 13 jaribu kucheki utaionaOppo gan hiyo mtu akiiba anaitupa mkuu!!? Kama niliweza kutekenya simu yenye Samsung email na pass ikarud kama mpya sembuse hiyo..... Simu peke yenye sifa unayoisemea hapo ni iPhone kwenye icloud tu kwa mtazamo wangu
Hakuna kinacho shindikana kwenye technology mbinu ulizotumia kufunga wengine wanatumia kufungua japo inaweza kuhitaji knowledge ya kutoshaUnafiki tuweke pembeni kunja USO kunjua roho
Simu za OPPO Ni Unyama Sana.
Nmemiliki simu ya oppo Kwa mara ya Kwanza Naona inavitu vzuri cha Kwanza ni uwezo wake wa kiusalama MTU akiiba hawezi kuitumia ni kuitupa Tu.
Bola kusahau mfumo mzima WA simu ilivyoundwa.
Nakushauri kama unatafuta simu nunua OPPO.
Wadau kama mnamaoni tutililike chini.


Watu wanaendelea kutumia. Technology inakua hata iCloud now inawezekana kutolewaTunza vizuri ikusaidie kwenye kazi zako ila usiache iibiwe ukazani itakuwa kopoUnafiki tuweke pembeni kunja USO kunjua roho
Simu za OPPO Ni Unyama Sana.
Nmemiliki simu ya oppo Kwa mara ya Kwanza Naona inavitu vzuri cha Kwanza ni uwezo wake wa kiusalama MTU akiiba hawezi kuitumia ni kuitupa Tu.
Bola kusahau mfumo mzima WA simu ilivyoundwa.
Nakushauri kama unatafuta simu nunua OPPO.
Wadau kama mnamaoni tutililike chini.
Lkn chamoto wanakipata Hadi kutoa hizo security za oppo na iPhoneWatu wanaendelea kutumia. Technology inakua hata iCloud now inawezekana kutolewa
bora itelNunua simu zote lakini TECNO sio simu.
Hizo ni Calculator brother, imagine nina miaka 10 nimetumia Samsung mbili tu na hii ya pili ndiyo nimetumia kukujibu wewe hapa ambayo ninayo toka 2016Unafiki tuweke pembeni kunja USO kunjua roho
Simu za OPPO Ni Unyama Sana.
Nmemiliki simu ya oppo Kwa mara ya Kwanza Naona inavitu vzuri cha Kwanza ni uwezo wake wa kiusalama MTU akiiba hawezi kuitumia ni kuitupa Tu.
Bola kusahau mfumo mzima WA simu ilivyoundwa.
Nakushauri kama unatafuta simu nunua OPPO.
Wadau kama mnamaoni tutililike chini.
TECNO ni remote inayotumia memory card na uwezo wa kuwekewa line/SIM CARDTecno Ni Chombo Tofauti Kabisa
Umeiona hio lakn ufanyaji KAZI wake Ni mkubwaNikionaga mediatek tu nakosa amani sijui kwanini li oppo hilo a15s!View attachment 2002078
Kwanza ujue Infinix, tecno na itel mmiliki ni mmoja. Kwa maana hiyo hiyo ni simu moja majina tofauti tu kwa sbb pengne za kibiashara.ivi Ni kweli infinix zinatengenezwa kwajili ya Africa Tu sio international. ? Naomba anaefahamu aniambie ukweli huu
Now mediatek helio iko vizuri inakimbizana na snapdragon hata Samsung baadhi hizi zinatumia kama a32 inatumia helio g80 soc.Hata zile zilizotengenezwa Korea mfano niliona a32 version ya Korea inatumia helio g80 soc sema yenyewe ni laini moja 128gb 6gb ramNikionaga mediatek tu nakosa amani sijui kwanini li oppo hilo a15s!View attachment 2002078
Mediatek yenyewe p35!Nikionaga mediatek tu nakosa amani sijui kwanini li oppo hilo a15s!View attachment 2002078
Samsung anatumia kwa midrange products hawezi tumia mediatek kwa flagship zake s series na note seriesNow mediatek helio iko vizuri inakimbizana na snapdragon hata Samsung baadhi hizi zinatumia kama a32 inatumia helio g80 soc.Hata zile zilizotengenezwa Korea mfano niliona a32 version ya Korea inatumia helio g80 soc sema yenyewe ni laini moja 128gb 6gb ram
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Chipset ya mediatekNikionaga mediatek tu nakosa amani sijui kwanini li oppo hilo a15s!View attachment 2002078


