Eliud Bunju
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 375
- 707
- Thread starter
- #101
Tafuta oppo babu utajutiaSasa hapa kunasimu? OPPO A series ni tecno pure utofaut ni Ui... hua nashangaa sana nikiona mtu anasifia UPUUZI nakujiweka levels za juu
Tafuta oppo babu utajutiaSasa hapa kunasimu? OPPO A series ni tecno pure utofaut ni Ui... hua nashangaa sana nikiona mtu anasifia UPUUZI nakujiweka levels za juu
Sasa nani kakwambia Oppo anatumia MediaTek kwa flagship. Yani ununue simu ya laki 9 ulazimishe iwe ya Snapdragon wakati sahivi kuna shortage of microchipsSamsung anatumia kwa midrange products hawezi tumia mediatek kwa flagship zake s series na note series
Braza nenda Instagram search oppo utaona oppo tz na oppo Tanzania angalia bei zao pale .Mkuu kama hutojali naomba uniwekee bei za oppo, hususan yenye battery nzuri(inayokaa na charge) na yenye storage na ram kubwa.
Kawaida tu mkuu... Snapdragon 720 sio yakutishaOppo Reno 4 ya mwaka 2020 AugustView attachment 2002717

Snapdragon 662 tena 11 nm...mkuu ww unapagawa na nn kwani?Oppo A74 ya mwaka 2021 April View attachment 2002721
Oppo wana features gani nzuri zaidi ya xiaomi?Nakushauri achana na Redmi. Ukitokea Oppo kuja Redmi utakosa vitu vingi tena wewe umekaa na Oppo zaidi ya moja. Nina Redmi ila nitarudi Oppo, system ya Oppo imetulia sana na ina features nzuri zaidi na za kipekee
OPPO zipo ila sio hzo unazozipost hapa.. wala hakuna hata OPPO moja ulioitaja inasifa za kumshawishi mtu nikiwa na maaana ya kua OPPO zote ulizozitaja hazina tofauti na tecno na infinix trust meTafuta oppo babu utajutia
Features zake ndio zimenifanya nikafungua uu Uzi oppo wamejipanga vzur kwanzia charging storage clear cache zake camera zake Ni balaa gaming Ni balaa sijui themes zake hawa jamaa ni wakibabe Sana.Nakushauri achana na Redmi. Ukitokea Oppo kuja Redmi utakosa vitu vingi tena wewe umekaa na Oppo zaidi ya moja. Nina Redmi ila nitarudi Oppo, system ya Oppo imetulia sana na ina features nzuri zaidi na za kipekee
Utoelewa mpaka ukishika oppo na kukaa nayo Kwa DK 10 tu.OPPO zipo ila sio hzo unazozipost hapa.. wala hakuna hata OPPO moja ulioitaja inasifa za kumshawishi mtu nikiwa na maaana ya kua OPPO zote ulizozitaja hazina tofauti na tecno na infinix trust me
OPPO zipo ila sio hzo unazozipost hapa.. wala hakuna hata OPPO moja ulioitaja inasifa za kumshawishi mtu nikiwa na maaana ya kua OPPO zote ulizozitaja hazina tofauti na tecno na infinix trust me
Tafuta oppo mdau Kwan we unatumia simu gani ?Kwa ufupi nilichogundua Mkuu wanaoongea sana hapo wengi wao ni watumiaji wa Midrange na budget phone hasa hasa huyo mtoa uzi
Unamshauri mwenzio atafute OPPO wakati wewe mwenyewe hauna OPPO ila unatumia skins za OPPOTafuta oppo mdau Kwan we unatumia simu gani ?
Redmi Note almost kila mwezi update, simu iliyo stable inakuaje na update mara kibao. Nilikuwa na Oppo update ni miezi na hicho kinachoongezeka unakiona na kabla ya hapo unakuwa huoni kipi kinakosa. Hapa Redmi kuna vitu ukinambia warekebishe navitaja vingi.
Babu oppo nimeielewa ata kama namiliki midrange phone lkn n tofauti na simu zingneUnamshauri mwenzio atafute OPPO wakati wewe mwenyewe hauna OPPO ila unatumia skins za OPPO
Kama unapenda features za Oppo nenda oneplus, Oppo nyingi hazina Value, kwenye BBK oneplus, Realme na Iqoo wana value Kubwa kushinda Oppo na Vivo.Nakushauri achana na Redmi. Ukitokea Oppo kuja Redmi utakosa vitu vingi tena wewe umekaa na Oppo zaidi ya moja. Nina Redmi ila nitarudi Oppo, system ya Oppo imetulia sana na ina features nzuri zaidi na za kipekee
Mara nyingi watu hununua Xiaomi na kuweka custom rom, Miui ni kama software ya zamani ya Samsung ile TouchWiz, ipo bloated sana.Redmi Note almost kila mwezi update, simu iliyo stable inakuaje na update mara kibao. Nilikuwa na Oppo update ni miezi na hicho kinachoongezeka unakiona na kabla ya hapo unakuwa huoni kipi kinakosa. Hapa Redmi kuna vitu ukinambia warekebishe navitaja vingi.
Simu ina ads mpaka kwenye system apps yani uko unaplay mziki kwenye app yao unaona tangazo la Bolt.
Build quality ukiitazama vizuri unaona hii sio simu ya kudumu miaka miwili ikiwa salama. Oppo hawana bugs simu zikiwa newly released, wako makini na ubora. Hizi Redmi zilipotoka zilikuwa na overheating kwa gamers.
Gestures nazo ni kwa uchache ukilinganisha na Oppo.
Hapa ni comparison ya Oppo niliyonunua 440k hivi miaka miwili iliyopita dhidi ya Redmi niliyonunua 700k kasoro mwaka huu
Tafuta oppo mdau Kwan we unatumia simu gani ?
Wanakopi iPhone kitu gani tuanze na hapo Kwanza ?Mm siwez nkaamia Oppo kizembe kizembe jamaa wale wanakopy iPhone na hawana aibu dah