kcamp
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 8,526
- 8,029
Redmi wako na features nyingi kuzid oppoRedmi Note almost kila mwezi update, simu iliyo stable inakuaje na update mara kibao. Nilikuwa na Oppo update ni miezi na hicho kinachoongezeka unakiona na kabla ya hapo unakuwa huoni kipi kinakosa. Hapa Redmi kuna vitu ukinambia warekebishe navitaja vingi.
Simu ina ads mpaka kwenye system apps yani uko unaplay mziki kwenye app yao unaona tangazo la Bolt.
Build quality ukiitazama vizuri unaona hii sio simu ya kudumu miaka miwili ikiwa salama. Oppo hawana bugs simu zikiwa newly released, wako makini na ubora. Hizi Redmi zilipotoka zilikuwa na overheating kwa gamers.
Gestures nazo ni kwa uchache ukilinganisha na Oppo.
Hapa ni comparison ya Oppo niliyonunua 440k hivi miaka miwili iliyopita dhidi ya Redmi niliyonunua 700k kasoro mwaka huu
Kuhusu update, nyingi ni security patches,lakin sio mbaya kupewa update hasa ukiambiwa unapata optimization..sjui kwann hutaki updates

Kuhusu ads,kuna settings za kuzima ads,,lakin pia global rom ndio zinakuja na ads,hakuna ads kweny Chinese miui,hata EU rom haina ads
Building quality depend na redmi ya bei.gani
Gesture zinaongezeka kila update ya miui...12.5 imekuja na gesture kadhaa,,lakin basic gesture zote zipo..
NB..kwa sasa redmi ndio brand unayoweza enjoy android to the maximum,, developers support ni kubwa sana kwa redmi phones saizi,,ukizijua redmi vzur utazienjoy sana na utafanya mengi sana.
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app

