Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,503
- 57,041
NakaziaSamsung anatumia kwa midrange products hawezi tumia mediatek kwa flagship zake s series na note series
NakaziaSamsung anatumia kwa midrange products hawezi tumia mediatek kwa flagship zake s series na note series
Samahani mkuu sikujua.Naona bado unaangaika tyu nimekwambia tafuta simu nzuri ukae kwa kutulia... ununue xiaomi note 9 uiroot,upatch magisk modules,uinstall Gcam uweke na Eu rom halafu iwe kali kuizidi xiaomi note 10 pro izo akili umezitoa wapi?
Angalia hapo mkuuUlitaka ziwe ngapi ndio iwe simu nzuri
Ni aina gani hio?Angalia hapo mkuuView attachment 2003192
Camera bila software hakuna kitu...ndiomana kuna device zina same camera sensor na other stuffs lakin software inawaangusha.....Tatizo mnaishi kwa kukalili ukitaka simu yenye camera nzuri nunua simu nzuri gcam itakudanganya ww na simu yako bado kuna point itafika utabadilisha ports za madeveloper wote na bado utafail.. pixels zenyewe ni nzuri ila akikutana na miamba anakaa kwa kutuliasababu camera sio software tyu kumbuka hilo

..kwanini devs waangaike na gcam tu?
Alafu ww unasema gcam kitu gani?
Samsung Galaxy S9Ni aina gani hio?
Astro si itawatoa macho,,night sights tu inawapa homaKama mods zipi? astrophotography au![]()

Tecno ni wahuni sana camera 48mp, display resolution720 x 1600 pixels,266 ppi densityNi aina gani hio?
(Tyu,cha asubuhi) hapa point ni nini? Mie sibishani ila nakuambia uhalisia ulivyo.. hio xiaomi note 9 nimeitumia kama mfano tu mkuu basi tuishie hapa.Samahani mkuu sikujua.
Huwa sibishani na watu wenye majina yenye ukakasi kama "Cha asubuhi" alafu wanaandika maneno kama "tyu" badala ya tu. Kingine sina hiyo Note 9 wala sikuwahi
Hio uliopost ni aina gani?Tecno ni wahuni sana camera 48mp, display resolution720 x 1600 pixels,266 ppi density
Hapo utafaidi nini sasa.
I wish to see yours tooHiyo ni Samsung Galaxy S9
Ndio natumia hiyoI wish to see yours too
Hongera sana.Ndio natumia hiyo
Kikubwa mawasiliano na vile mwenyewe unataka,kama unaona mambo yako yanaenda vizuri basi tosha,maisha ni vile unavyopanga mwenyeweHongera sana.
mi Tecno yangu imenibamba sana. Inakaa sana na chaji
inanipa wala 150,000 kwa mwezi kwa kazi za online..
Tukiwa tunajadili usiwaweke hawa wachina wa hovyo leo wanatumia oxygenOs kesho colorOs tuongelee Ui zilizoshiba kama OneUi na Emui. Kwangu mimi pixels hasa 5 kushuka zinapiga picha nzuri kwa upande wake videos ni uchafu labda hiii 6pro wamejitahid Samsung kwangu wanatoa picha nzuri kuliko simu zote duniani na upande wa video nampa TundaCamera bila software hakuna kitu...ndiomana kuna device zina same camera sensor na other stuffs lakin software inawaangusha.....
Hebu niambie hyo simu gani yenye camera kali kiasi kwamba hata developer wasi port hiyo APK..kwanini devs waangaike na gcam tu?
Nakupa tips...one plus kweny android 11 wakaanza ifungia gcam kweny camera api kuzuia developers wasi port gcam to the maximum kweny OnePlus devices, guess wat kilitokea ? Official One plus forums ilipigwa spana na wateja kwa kitendo cha kuweka limitations za Google camera...Alafu ww unasema gcam kitu gani?
Hivi niambie kuna simu gani ilikua inapiga portrait kwa jicho moja ukiacha pixel na ports zake za gcam? Leo hii una camera moja isiyo piga portrait lakin gcam inatoa portrait moja Kali..bado unataka kusema camera algorithm si kitu?![]()
Na hapo sjamalza.. wala usiongee kitu kuhusu google camera... otherwise unitajie camera port kali kuzid gcam kama ipo hapa duniani.
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Chuma gani hii?Angalia hapo mkuuView attachment 2003192
S9Chuma gani hii?
Aaaah hawana akili. 266PPI density? Sasa nitaona nini hapoTecno ni wahuni sana camera 48mp, display resolution720 x 1600 pixels,266 ppi density
Hapo utafaidi nini sasa.
Hebu mfiche huyo binti. Anahusika nini na uzi huu