Oppo simu Bhana!

Oppo simu Bhana!

China, Marekani, Ulaya. Ndio maana airtags zinafanya poa sana marekani na ulaya kwasababu watumiaji wa iphone ni wengi hivyo kwakuwa zinategemea network ya wamilik wa iphone basi zinafanya kazi kwa urahisi
Mimi hazinivutii muonekano wake tu
 
Mimi hazinivutii muonekano wake tu
Ni simu tamu sana mkuu, iOS naipenda haina mambo mengi kama wewe ni mtumiaji na ni mtu wa kupenda tumia default apps, iOS safi sana.
Mimi ni mtu wa kupenda tumia default apps hata kwasasa napotumia android huwezi kukuta nimeweka launcher kwenye simu, au keyboard tofauti, au sms app tofaut yani mimi mtu wa kutumia apps za msingi tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom