Oppo simu Bhana!

Oppo simu Bhana!

Camera bila software hakuna kitu...ndiomana kuna device zina same camera sensor na other stuffs lakin software inawaangusha.....

Hebu niambie hyo simu gani yenye camera kali kiasi kwamba hata developer wasi port hiyo APK ..kwanini devs waangaike na gcam tu?

Nakupa tips...one plus kweny android 11 wakaanza ifungia gcam kweny camera api kuzuia developers wasi port gcam to the maximum kweny OnePlus devices, guess wat kilitokea ? Official One plus forums ilipigwa spana na wateja kwa kitendo cha kuweka limitations za Google camera... Alafu ww unasema gcam kitu gani?

Hivi niambie kuna simu gani ilikua inapiga portrait kwa jicho moja ukiacha pixel na ports zake za gcam? Leo hii una camera moja isiyo piga portrait lakin gcam inatoa portrait moja Kali..bado unataka kusema camera algorithm si kitu?

Na hapo sjamalza.. wala usiongee kitu kuhusu google camera... otherwise unitajie camera port kali kuzid gcam kama ipo hapa duniani.

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Google camera iko vizuri ila kuna hizi simu za sony japo sio zote nazungumzia kwa upande wangu nilitumia x compact inacamera kali nikajaribu kudownlod Google camera yenyewe ni android Oreo ila still default camera ya sony ilikuwa inatoa picha quality kuliko Google camera nikaamua ku unstall Google camera.
 
Hapo ndio swala la developer support, Hakuna developer ana support sony,kwaiyo ukiweka gcam nying zita kataa,na itayokubal basi itakua inafanya kazi vbaya... hapa ndiomana nikasema ukipata simu yenye full dev support kama redmi basi utaenjoy sana android mkuu.

Most of time hakuna improvements kubwa kwenye brand kubwa sababu na wao wana software nzuri, ila simu za kichina hawa invest sana kwenye software, ukiweka Gcam kunakuwa na improvement kubwa.

Mfano kama Xperia pro-I ipo league yake kabisa.
 
Sony wana model zao ambazo ni bootloader unlocked na zinarun os zote za simu mpaka Linux Distro, inategemea na model na model.
 
Yes mkuu hiyo ni kweli kabisa
 
Sony wana model zao ambazo ni bootloader unlocked na zinarun os zote za simu mpaka Linux Distro, inategemea na model na model.
Yes ,ila kama unavyojua sony kwa sasa hana time na simu,,hivyo hata developer wamekua wavivu kuhangaika nae....mfano developer wote wa gcam hakuna anaehangaika na Sony devices...ishakua kipengele kwa sony

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Inategemea na Oppo lakini security yake ni kali sana kuliko hayo masamsung! Oppo kuifanya itumike tena sio mchezo inaweza ikakutoka ata laki 3
Ukweli Oppo nimeikubali mno mno. Nimetumia simu brand nyingi Ila Kwa Oppo nimesemea YES. Mfano hata ukikuta kuna mwizi wa mtandao anataka access simu yako inakuambia kabisa na Aina ya simu. Ni kiboko. Ukiambia block inampa za USO😃😃😃
 
Yes ,ila kama unavyojua sony kwa sasa hana time na simu,,hivyo hata developer wamekua wavivu kuhangaika nae....mfano developer wote wa gcam hakuna anaehangaika na Sony devices...ishakua kipengele kwa sony

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Sony wanatoa jiwe 1 kwa mwaka.

Ila bei zake hazishikiki.

Mwaka huu wana Xperia Pro-i. Hii ni dslr ndani ya simu.

Release date: 10th december.
 
Naelewa hilo boss...ndiomna nikasema kweny smartphone sony hategemei tena huko...anatoa anavyotaka yeye..sio kama mwanzo

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Yes ,ila kama unavyojua sony kwa sasa hana time na simu,,hivyo hata developer wamekua wavivu kuhangaika nae....mfano developer wote wa gcam hakuna anaehangaika na Sony devices...ishakua kipengele kwa sony

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
mkuu sony ana path yake nyengine, Gcam ni computational photography yenyewe inatumia alogarithm mbalimbali ku enhance picha hata kama hardware sio nzuri ina faida na hasara zake, sony yeye hasa simu za sasa zina target proffesional ambao hata hawana time na Gcam, zina hardware nzuri, phase detection, variable aperture na mambo kibao anbayo huyakuti simu za kawaida
 
Ni sawa mkuu,,sony za sasa ni professional level hasa kwa content creators,,,hii case ya gcam naongelea mtoa mada aliesema sony compact yake hakupata gcam nzur..ndio nikamjibu hivyo...naona saiz sony kaja na sony Xperia pro i..jiwe around million 4 hivi... Very professional camera inside.

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Ukweli Oppo nimeikubali mno mno. Nimetumia simu brand nyingi Ila Kwa Oppo nimesemea YES. Mfano hata ukikuta kuna mwizi wa mtandao anataka access simu yako inakuambia kabisa na Aina ya simu. Ni kiboko. Ukiambia block inampa za USO
Ukiona MTU anaikosoa oppo ujue hajawahi tumia.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom