Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,089
- 4,723
Mkuu mimi ni fundi mwenzio naomba usitaje Tools tunazotumia maana kamata kamata iliyopita jamaa walinichukulia Box zaidi ya saba na Desktop yanguUnaitumia tena bila Shida,tool easy jtag,njia isp pinout,,,nishakutana na oppo kadhaa,,,ni kweli sio nyepesi sana,,,lakin sio zakushindikana ,,,nyingi za katikati hapo zinatoka kwa testing point...uchawi ni knowledge na tools basi
Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
Ukitaja wanaweza kupita tena wakaanza kuulizia tools tunazotumia
Muhimu wajue tu kwamba hakuna simu inayoshindikana ila wasijue vitendea kazi vinavuohusika

