Oppo simu Bhana!

Oppo simu Bhana!

mkuu security waliyoiweka oppo ni ngumu mtu kuiflash, na ukitaka kuiflash firm ware unanunua toka kwenye website yao
Oppo gan hiyo mtu akiiba anaitupa mkuu!!? Kama niliweza kutekenya simu yenye Samsung email na pass ikarud kama mpya sembuse hiyo..... Simu peke yenye sifa unayoisemea hapo ni iPhone kwenye icloud tu kwa mtazamo wangu
 
Find my device
Na IMEI huwezi badili jombi
nilifikiri ina technologia zingine kumbe ni hizo? Mbona zinachezewa sana?
Isitoshe iko hivi man hiyo tech samsung wanayo matoleo yao ya siku nyingi sana.

Ww kama umeona juzi kwenye oppo. I am sorry nakuambia hiyo mifumo inachezewa vizur na simi inakuwa fluahed. Najuaje? Ndio kazi zangu
 
mkuu sony ana path yake nyengine, Gcam ni computational photography yenyewe inatumia alogarithm mbalimbali ku enhance picha hata kama hardware sio nzuri ina faida na hasara zake, sony yeye hasa simu za sasa zina target proffesional ambao hata hawana time na Gcam, zina hardware nzuri, phase detection, variable aperture na mambo kibao anbayo huyakuti simu za kawaida
Sony nilichunguza nikagundua wako mbali zaidi ya smartphone zingine mfano sony yenye ram 4gb inakuwa more powerful kuliko brand yoyote yenye ram gb6 au zaidi. Hawa jamaa wako mbele sana hata display zao super amoled yenyewe haikuti mfano xperia xz3 na galaxy note9 xperia imefunika kila kitu kwanzia kamera battery life hadi performance wakati yenyewe ni 4gb ram na note 9 ni 6gb ram.
 
nilifikiri ina technologia zingine kumbe ni hizo? Mbona zinachezewa sana?
Isitoshe iko hivi man hiyo tech samsung wanayo matoleo yao ya siku nyingi sana.

Ww kama umeona juzi kwenye oppo. I am sorry nakuambia hiyo mifumo inachezewa vizur na simi inakuwa fluahed. Najuaje? Ndio kazi zangu
Kuna oppo id

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Oppo huwezi flash kindezi bob

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Sony nilichunguza nikagundua wako mbali zaidi ya smartphone zingine mfano sony yenye ram 4gb inakuwa more powerful kuliko brand yoyote yenye ram gb6 au zaidi. Hawa jamaa wako mbele sana hata display zao super amoled yenyewe haikuti mfano xperia xz3 na galaxy note9 xperia imefunika kila kitu kwanzia kamera battery life hadi performance wakati yenyewe ni 4gb ram na note 9 ni 6gb ram.
xz3 inatumia poled, ni kioo cha amoled kama cha Samsung sema kimetengenezwa na Lg, kuhusu Ram Samsung na Xiaomi wao software zao zina feature nyingi sana hivyo zinakula ram sana compare na kampuni zinazotumia stock ama karibia na stock android kama kina oppo, sony, oneplus, motorola na wengineo.

hivyo mwisho wa siku inategemea mwenyewe unataka nini, features nyingi ama speed.
 
Nimekupata mkuu
 
Naona Mnaongea Sana Sasa nisaidieni hapa Nina oppo r7 plus,, haitaki ku support Google play store na browser Ni kichina tupu msaada wenu please WhatsApp yangu ni 0765944848
 
xz3 inatumia poled, ni kioo cha amoled kama cha Samsung sema kimetengenezwa na Lg, kuhusu Ram Samsung na Xiaomi wao software zao zina feature nyingi sana hivyo zinakula ram sana compare na kampuni zinazotumia stock ama karibia na stock android kama kina oppo, sony, oneplus, motorola na wengineo.

hivyo mwisho wa siku inategemea mwenyewe unataka nini, features nyingi ama speed.
Oppo sijawai kutumia ila naona still ni good device nimeona hii OPPO reno 5f ina ram gb 8 alafu ina expansion ya ram mpaka gb 13 hii imekaaje mkuu.
 
Hio ni feature ya android na hata window ipo siku nyingi inaitwa paging file,

Kinachofanyika hapo ni kuchukua GB kadhaa toka storage kuwa ram

Ram itabaki kuwa ram, kutokana na speed yake na Storage haiwezi kureplace ram labda kwa matumizi machache tu.

Simu zote si oppo tu zinafanya hivyo, na mara nyingi wanatumia kama marketing gimmick.
 
Ram expension IPO Ivo.
IMG-20211109-WA0026.jpg

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
View attachment 2004083
 
Oppo gan hiyo mtu akiiba anaitupa mkuu!!? Kama niliweza kutekenya simu yenye Samsung email na pass ikarud kama mpya sembuse hiyo..... Simu peke yenye sifa unayoisemea hapo ni iPhone kwenye icloud tu kwa mtazamo wangu
Simu pekee ambazo zinatuumiza kichwa ni kuanzia iPhone 11 kwenda juu

Hizo nyingine tunaruka nazo kama tunakunywa mma vile
 
Oppo gan hiyo mtu akiiba anaitupa mkuu!!? Kama niliweza kutekenya simu yenye Samsung email na pass ikarud kama mpya sembuse hiyo..... Simu peke yenye sifa unayoisemea hapo ni iPhone kwenye icloud tu kwa mtazamo wangu
Hiyo iPhone ndo mboga SASA hiv....iPhone ilikuwa zamani SASA hiv watu wanatoa icroud maisha yanaendelea
 
Find my device
Na IMEI huwezi badili jombi
Mkuu nikuulize swali? Unahisi kwa nini kuna kamata kamata ya mafundi simu wa software?
Jibu ni kwamba mafundi wa software za simu huwa hawazagi kushindwa,

Simu pekee ambayo imeshindikana kubadili IMEI ni iPhone tu hizo nyingine zinavurugwa vizuri

Na iphone inawekwa OFF FMI kupitia server kisha hata ukasaidiane na IT wa TCRA hautaipata NG’OOO

Simu pekee inayosumbua vichwa vya developer ni kuanzia iPhone 11 kwenda juu hizi za chini zote zinavurugwa vizuri tu, hivyo usijihami eti kusema ikiibiwa utaipata sasa hivi ni mwendo wa kutumia server za Urusi, Thailand na China hiyo Oppo yako ikiibiwa inalambwa file ikiwaka inafanyiwa ubatizo Wa moto kisha inauzwa tena na hautaipata hata ufanyeje
 
Hiyo simu yako ukipigwa pale chuga stendi hata hiyo find my device itakwambia huwezi ipata tena... Pale RAIA wanakubadilishia email vizuri tu sema access baadh ya apps inakuwa inazingua
Hapana labda hawajui

Hiyo inabadilishwa mpaka nchi kisha inakua inapiga kazi kama kawaida

Ipo hivi, Oppo wana matoleo mawili ya simu kuna toleo la China na Global

Hivyo simu kama imeibwa fundi atasoma info kwanza ili ajue ni Global Version au China Version, kama ni Global itabadilishwa na kuwa china Version na kama ni China Version itabadilishwa kuwa Global Version likishaisha hili ndo zinafatia sarakasi nyingine kisha itarudishiwa kama ilivyokua awali au itaachwa itumike hivyo hivyo

Hivyo aliyeibiwa ataishia kujifariji kwa kusumbuana na Polisi na TCRA

Kifupi hii ishu ni nzito sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom