BARON99
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 4,718
- 5,315
Bei Ikoje mkuu?Nimetumia oppo F9 aka F9 pro F11 Reno 3 A42 A7 na sasa nakimbilia Redmi mkuu Oppo ni simu Nzuri ila hicho unachokisema hakina Nguvu kiasi hicho
Bei Ikoje mkuu?Nimetumia oppo F9 aka F9 pro F11 Reno 3 A42 A7 na sasa nakimbilia Redmi mkuu Oppo ni simu Nzuri ila hicho unachokisema hakina Nguvu kiasi hicho
Bila Shaka unatumia infinixOppo na xiomi ni moja ya simu za watu wa chini kwa nchi za nje
Flagship phones ni Iphone, Samsung, Oneplus na pixel pekee,
Hao wengine ni tecno zizochangamka tu
Wewe jamaa nimuongo sijapata kuona!!!"ukitoa iphone nafikir wao ndio wanafuata"
Nimezurura kwenye sites tofauti tofauti, simu kali nilizoziona ni;Acha bla bla ongea fact oppo Ni simu Kali Sana Kwa SASA kama INA tekenyeka IMEI number it's ok Ila Kwa mbinde au vipi?
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Hivi unafahamu kuwa mwanzoni mwa mwaka Huu 2021 oppo ilishika namba moja kwa mauzo ya kampuni za simu za china duniani .japokuwa soko lake kubwa lipo Asia Mpaka sasa anakimbizaNimezurura kwenye sites tofauti tofauti, simu kali nilizoziona ni;
iPhone
OnePlus
Samsung
Xiaomi
Huawei
Hiyo simu yako ya Oppo ndiyo inafuata, jaribu kuwa mpole
Narudia tena, dunian oppo ni simu kama tecno tu, yani budget oriented, kwenye flagship haipo, ni tecno yenye kujulikanaBila Shaka unatumia infinix
Ujawahi tumia oppoNarudia tena, dunian oppo ni simu kama tecno tu, yani budget oriented, kwenye flagship haipo, ni tecno yenye kujulikana
View attachment 2010846
Hapa pia umetupiga, hebu tujuze ni Oppo toleo gani lililoshika namba moja kimauzo? Na kama alishika namba moja basi ilikuwa ni India na China tuHivi unafahamu kuwa mwanzoni mwa mwaka Huu 2021 oppo ilishika namba moja kwa mauzo ya kampuni za simu za china duniani .japokuwa soko lake kubwa lipo Asia Mpaka sasa anakimbiza
Mauzo hayaingiliani na ubora.Hivi unafahamu kuwa mwanzoni mwa mwaka Huu 2021 oppo ilishika namba moja kwa mauzo ya kampuni za simu za china duniani .japokuwa soko lake kubwa lipo Asia Mpaka sasa anakimbiza

Simu za oppo Kwa Africa bado soko Lao lipo chini lkn oppo dunian imeanza kuliteka soko mwaka 2020 imezinduliwa mwaka 2011 huko china na kiwanda kingne kipo India hii ni iPhone ya Asia ..Hapa pia umetupiga, hebu tujuze ni Oppo toleo gani lililoshika namba moja kimauzo? Na kama alishika namba moja basi ilikuwa ni India na China tu
Ninayo mkuu,Acha kabisaKuna mnyama redmi achana nae kabisa mbwa yulee
Unatumia calculator...Samsung ndo the bestSimu ni nini!?
Nina infinix smart 5
Performance nzuri sana
Laini kutumia Inakaa na moto sana
User interface ya kivutia
Kila muwamba ngoma huvutia kwake
ni icho kimoja tu ndio kinafurahisha kwenye izo simu au vipo vingine tofauti na zingine.Unafiki tuweke pembeni kunja USO kunjua roho
Simu za OPPO Ni Unyama Sana.
Nmemiliki simu ya oppo Kwa mara ya Kwanza Naona inavitu vzuri cha Kwanza ni uwezo wake wa kiusalama MTU akiiba hawezi kuitumia ni kuitupa Tu.
Bola kusahau mfumo mzima WA simu ilivyoundwa.
Nakushauri kama unatafuta simu nunua OPPO.
Wadau kama mnamaoni tutililike chini.
Kama Iphone inabadilishwa Serial no.na inabypasiwa iwe mtoto Oppo?Find my device
Na IMEI huwezi badili jombi
Mpaka ufanikiwe itakutoka pesa ya kutosha na kununua baadhi ya vtu onlineKama Iphone inabadilishwa Serial no.na inabypasiwa iwe mtoto Oppo?