Mkuu Eliud Bunju ,laki 435000 ni 43,500,000,000 = bilioni 43.5inategemea na Bajeti yako mfano Mimi Nina oppo A 15s inauzwa laki 435000 camera Safi storage 64 GB ram 4gb
Gaming Safi.
Kiongozi Bookkeeping na commerce nilizikimbia toka o levelMkuu Eliud Bunju ,laki 435000 ni 43,500,000,000 = bilioni 43.5

Simu ni nini!?Tecno Ni kifaa cha mawasiliano siyo simu.
Kama ambavyo kuna gari halafu kuna usafiri.
Unakuta mtu kanunua chombo cha usafiri halafu anasema kanunua gari.![]()

infinix Ni Tecno iliyochangamkaSimu ni nini!?
Nina infinix smart 5
Performance nzuri sana
Laini kutumia Inakaa na moto sana
User interface ya kivutia
Kila muwamba ngoma huvutia kwake
Oppo kama oppo anakuja Kwa Kasi SanaView attachment 2007811
“Wewe copy sema ibadilishe kidogo mwalimu asigundue kama umekopy kwangu”
Alisikika iPhone akimwambia Oppo
Na itelNunua simu zote lakini TECNO sio simu.
Sio kweli kariakoo wanatoa iyo sema bei yake ni kunazia 70kUnafiki tuweke pembeni kunja USO kunjua roho
Simu za OPPO Ni Unyama Sana.
Nmemiliki simu ya oppo Kwa mara ya Kwanza Naona inavitu vzuri cha Kwanza ni uwezo wake wa kiusalama MTU akiiba hawezi kuitumia ni kuitupa Tu.
Bola kusahau mfumo mzima WA simu ilivyoundwa.
Nakushauri kama unatafuta simu nunua OPPO.
Wadau kama mnamaoni tutililike chini.
Kwa unavyodhaniNaunga mkono hoja , hata mm natumia Oppo a9 kiukwel cm za Oppo zipo vzr ukitoa iphone nafikir wao ndio wanafuata alafu kingne kweny upande wa charge wako vzr mno
security system ya simu za Xiaomi ni habari nyingine.Kuna mnyama redmi achana nae kabisa mbwa yulee
Hiyo kitu ipo kwenye simu karibu zote inaitwa Google frp bypass.Unapo fungua gmail yako simu yako inakuwa registered by Google. Kwa hiyo ukitaka kufanya hard reset inakutaka password na ukifanya hard reset ikiwa off itafanya ila ikiwaka itataka email iliyokuwepo na password yake hata uweke e-mail nyingine haikuba ila kuna tool zinazotoa hiyo Google bypass .Ila nyingi ni za kununua zipo baazi ambazo ni freesecurity system ya simu za Xiaomi ni habari nyingine.
kuna siku nilifanya factory reset kwenye simu yangu halafu nikasahau kukumbuka password ya email niliyotumia kufanyia registration.
nilihangaika sana kuifungua. nilitumia kila option. nikawapelekea vijana fulani mtaa agrey kariakoo. hawa vijana ni watundu wa ku-unlock simu za wizi. nikawahaidi wakifanikiwa kuifungua simu yangu, nitawapa pesa nzuri ya bia.
nikawaachia siku nzima wahangaike nayo. jioni wakanipigia wakaniambia wameshindwa kuifungia. niende nikaichukue. wakaniambia braza hapa hakuna namna, jitahidi tu ukumbuke password yako.
ikabidi nianze kurecall password mbalimbali ambazo niliwahi kuzitumia. nikawa najaribu moja baada ya nyingine. hatimaye moja ikakubali.
since that day, nimekuwa makini sana. otherwise simu yangu ingeenda kuwa toy maana nisingeweza kuwa na access nayo.
Factory reset siyo issue. Ifungue na content zake zibaki hivyo hivyo bila kupotea!Samsung email na pass ikarud kama mpya sembuse hiyo