Operation Sangara: Chadema yajipanga Upya

Yaani katika watu ambao nafikiri thinking capacity ni ndogo basi wenztu waislam wanaongoza. Wanapenda sana kudeal na minors, wakati mambo makubwa wanayaona na wanapita hawasemi.

Na TZ tutaregret soon, kwa kuruhusu ujinga na upuuzi kama huu kwa watu wajinga wachache. Enzi hizo walikwua wakikusanyika wanapigwa mabomu ya machozi hawafikii hata kuogea, huyu handsome boy kaja na mambo yake ya kuwapa uhuru wa kuongea randomly wanaanza kuongea yasiyowahusu.

Jamani tusiruhusu haya mambo yatatutokea puani soon.

Mimi nadhani Caroline Danzi una low thinking capacity, biased na mpumbavu! Huwezi ku-generalize mambo hivyo, na mwandishi wa original story vilevile ana bias. Kwa mtizamo mwingine, vipi kama huyu sheikh kweli kapandikizwa na chama kingine- atakuwa ana akili sana kwani ana-divert watu from real issues to 'minor' issues unazosema. Matokeo yake keshachanganya watu hata humu JF!
Please use your head. Usiropoke tu.
 
Kweli mjinga nni mjinga na ataendelea kuwa hivyo. Sijui anatumia kigezo gani kukifanya CHADEMA kuwa chama cha Kikristo, na CCM chama kiislamu. Kuna watu wengi tu amabo wamefilisika kisiasa na kihoja wanaojaribia kutumia dini kufikiamalengo yao. Kuna wengine wengi tu wananunulika kirahisi sana na kutumika kwa kisingizio cha dini, tena hawalipwi hata senti wala fadhila ni kuchotwa akili tu.
Kuna msomi mmoja aliwahi kusema waislamu wasusie shule za serikali na hospitali kwa kuwa ni za kikristo. Naona litakuwa ni jambo la maana zaidi kama tukiigawaTanzania katikati toka Dar hadi Kigoma seheu moja iwe watanzania wakristo na nyingine iwe ya watanzania waislamu, labda hayo malamaiko hewa yatakwisha.
 
Kuna waislamu zaidi ya milioni kumi nchini. Nani aliyewateua hawa wakina Mwaipopo kuwa wasemaji wao? Kwa nini huyu mwandishi hakusema wakina Mwaipopo wapinga....... badala ya kuwaingiza waislamu wote? Hawa ndiyo wanaoingiza udini mahali ambapo hamna! Yaani leo mawazo ya Fundi Mchundo yawe ya wamisheni wote! Uchochezi mtupu! Iko kazi.
Amandla......

Kabla ya kumlaumu mwandishi ni vyema tukaona matamushi au maazimio yenyewe kutoka kikao cha akina Mwaipopo au Mwaipopo mwenyewe.

Inawezekana wameyatamka na yawezekana kuna mkono wa wenyeCCM, si bure.

Bila shaka Viongozi wa kitaifa wa Waislamu watakemea matamshi yao vinginevyo umma uatabaki na labda.

Kwa nini wasisimame kama wao (Mwaipopo na wenzake) badala ya kutumia mgongo wa Waislamu?. Kwa nini kila anayetaka kusimama kunyanyua maslahi binafsi ndani ya Uislamu aachiwe kufanya hivyo. Au hakuna viongozi wa dhehebu husika! Kila Shekhe ni msemaji wa Waislamu?
 
Yaani katika watu ambao nafikiri thinking capacity ni ndogo basi wenztu waislam wanaongoza.

Caroline Danzi, unapoandika uwe na evidence, usitoe chuki tu manake haijengi na wala haisaidii kitu. Chuki kama hizi ndio ziliipeleka pabaya Lebanon, Kosovo nk. Unaposema "thinking capacity" ya waislamu ni ndogo, lazima uweze kuprove hilo. Kuwa linarithiwa kinasaba (genetics) ama ukiwa tu muislamu "thinking capacity" inapungua. Kuna mambo unapoandika wewe ndio unaonekana mdini, manake huwezi kuyaprove.
 
Kweli mjinga nni mjinga na ataendelea kuwa hivyo. Sijui anatumia kigezo gani kukifanya CHADEMA kuwa chama cha Kikristo, na CCM chama kiislamu. Kuna watu wengi tu amabo wamefilisika kisiasa na kihoja wanaojaribia kutumia dini kufikiamalengo yao. Kuna wengine wengi tu wananunulika kirahisi sana na kutumika kwa kisingizio cha dini, tena hawalipwi hata senti wala fadhila ni kuchotwa akili tu.
Kuna msomi mmoja aliwahi kusema waislamu wasusie shule za serikali na hospitali kwa kuwa ni za kikristo. Naona litakuwa ni jambo la maana zaidi kama tukiigawaTanzania katikati toka Dar hadi Kigoma seheu moja iwe watanzania wakristo na nyingine iwe ya watanzania waislamu, labda hayo malamaiko hewa yatakwisha.

Waislam 35% ya population ya Tanzania, wakristo 30%, imani za kienyeji 35%; sasa ukiigawa nchi kwa waislam na wakristo wale wengine inakuwaje? Acha uzushi!
 
Yaani katika watu ambao nafikiri thinking capacity ni ndogo basi wenztu waislam wanaongoza. Wanapenda sana kudeal na minors, wakati mambo makubwa wanayaona na wanapita hawasemi.

Na TZ tutaregret soon, kwa kuruhusu ujinga na upuuzi kama huu kwa watu wajinga wachache. Enzi hizo walikwua wakikusanyika wanapigwa mabomu ya machozi hawafikii hata kuogea, huyu handsome boy kaja na mambo yake ya kuwapa uhuru wa kuongea randomly wanaanza kuongea yasiyowahusu.

Jamani tusiruhusu haya mambo yatatutokea puani soon.

What a STUPID statement, Kama huna cha maana cha kuandika,just shut the hell up, wewe na upumbavu wako uliokithiri kutokana na maelezo yako je thinking capacity yako ikoje? Ulichaondika hapa ni ujinga mtupu na inaonyesha wazi ni GOIGOI kupita kiasi.
 
Walitak operesheni sangara iwe na manufaa gani kwao,kwani chadema ni chama cha kiislamu? wakati mwingine hoja za waislamu zimekuwa zinawadhalilisha wenyewe. kama alivyosema mdau hapo juu hawana miguu ya kusimamia.Hii inaonesha namna ambavyo viongozi wa dini walivyokosa kufikiri.kwamba wanataka kutumia dini kuingiza ushawishi wa kisiasa kwa waumini. mwaka 2005 wakristo kwa waislamu walisema jk chaguo la Mungu leo wapo kimya.Ni hatari kutumia ushwawishi wa kidini katika maswala ya kisiasa. Bwana Yesu alisema ya Mungu mpe Mungu na ya Kaisari aachiwe yeye.Hakuna mchanganyo hapa.tena Sulemani anasema kila jambo na wkati wake.Mbna wenzetu mnachanganya pionti?
 
What a STUPID statement, Kama huna cha maana cha kuandika,just shut the hell up, wewe na upumbavu wako uliokithiri kutokana na maelezo yako je thinking capacity yako ikoje? Ulichaondika hapa ni ujinga mtupu na inaonyesha wazi ni GOIGOI kupita kiasi.

Mazee, yaani huyu Caroline ni mjinga ambaye hajui hata kama ni mjinga!! Sasa hapo kuna kazi kubwa sana na sioni msaada wowote utakaomsaidia.

Eti anahoji "thinking capacity" ya mwingine huku aki expose ya kwake! Hata akili ya kutambua kuwa aliyoyasema pengine ni ujinga zaidi ya hayo yanayodaiwa kusemwa na Sheikh hana. Kweli kazi ipo.
 
Ni ukweli usiopingika kuwa UELEWA wa ndg zetu wasilamu (a.k.a 'Wanyenyekevu') ni finyu kupita mfano .. Just do some statistics halafu uje uteletee matokeo ya utafiti huo bila papara wala jazba..
 
Mazee yaani hapo ndio aliponichosha lakini watu kama hawa huwezi kuwakwepa katika kila jamii, yaani mtu anadhani anaandika cha maana kumbe ni ujinga mtupu.
 
Waislam 35% ya population ya Tanzania, wakristo 30%, imani za kienyeji 35%; sasa ukiigawa nchi kwa waislam na wakristo wale wengine inakuwaje? Acha uzushi!

Ha ha ha.. Sawa muzee ..

Ila mimi nina wazo tofauti, nilishawahi kulitoa hili wazo huko nyuma, baada ya shekhe mwingine kutema UPUPU mwingine kama huu..Wazo langu ni hili..

NCHI IUZWE NA KILA MWANANCHI APEWE CHAKE

Baada ya kila mtu kupewa chake, sidhani kama kutakuwa na malalamiko ya kipumbavu kama haya..
 
Ni ukweli usiopingika kuwa UELEWA wa ndg zetu wasilamu (a.k.a 'Wanyenyekevu') ni finyu kupita mfano .. Just do some statistics halafu uje uteletee matokeo ya utafiti huo bila papara wala jazba..

Sina muda wa kufanya debate na wewe kutokana na jina lako pekee kuonyesha uwezo wako mdogo wa kung'amua mambo, hicho ni kipimo tosha kwangu kung'amua kuwa una utandu wa ujinga kichwani mwako, katafute watindia ubongo wenzako labda mnaweza kuelewana.
 
Ni ukweli usiopingika kuwa UELEWA wa ndg zetu wasilamu (a.k.a 'Wanyenyekevu') ni finyu kupita mfano .. Just do some statistics halafu uje uteletee matokeo ya utafiti huo bila papara wala jazba..

Imani yao ni potofu na ilienezwa kwa nguvu, haikumpa mtu utambuzi...Jihadi...jiulize ni watu wa imani gani hapa duniani wanaongoza kwa kujitoa muhanga?....waislamu. hawatumii hata common sense. Huwa najiuliza, bongo jua kali 38 degrees C mtu kavaa mavazi meusi kajifunika gubigubi kasoro macho tu! Kisa ni imani...lazima mtu avae hivyo...wamama wanateseka na joto kali kwa kuiga mavazi yavaliyo maeneo ya jangwa kwa sababu ya blowing wind ambapo sand particles zinakuwa tatizo.
Siwashangai akina Mwai Popo kuropoka hivyo, ndio upeo wenyewe walio nao.

Kumradhi kwa maneno hayo wandungu, nimetapika kilichomo moyoni mwangu.
 
Sina muda wa kufanya debate na wewe kutokana na jina lako pekee kuonyesha uwezo wako mdogo wa kung'amua mambo na hicho ni kipimo tosha kwangu kuwa una utandu wa ujinga, katafute watindia ubongo wenzako labda mnaweza kuelewana.

Bua ha ha...

Sikukwambia ufanye debate dugu, au unadhani mimi nina shida saana ya debate na watu kama wewe (deranged)? Nimekwambia uende mwenyewe kwa nyenzo zako ukafanye statistical analysis halafu uje hapa na statistics..thats all I asked ..

Unajua wahenga wanasema UKWELI UNAUMA..lakini kinyume chake ikiwa na maana UWONGO HAUUMI .. Sasa kama hoja ya dada ni ya kijinga na ya uwongo mbona hukuipuuza tu ?
 
Waislam nchini wapinga oparesheni Sangara
Geofrey Nyang'oro na Zaina Malongo
Huyu shekhe Mwaipopo ni msemaji wa waislam wa wapi? Msikiti wa kwa mtoro? Dar es Salaam? Tanzania?

WAUMINI wa dini ya kiislam wamepinga oparesheni sangara inayoendeshwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa madai kuws chama hicho na operesheni hiyo, haina manufaa kwa uisalam kwa kuwa imejaa ukabila, ubinafisi na udini
Waandishi walitakiwa watumie BAADHI YA WAUMINI kuepuka kuwaunganisha waumini wote wa kiislam!

Shekhe Saidi Mwaipopo aliwataka waisalamu kutambua kuwa chama hicho, hakina msaada wowote wa maendeleo ya uislamu kutokana na chama hicho kujaa ukabila udini na ubinafisi.
Waandishi waliweza kumdadisi kupata ushahidi wake juu wa hizi tuhuma? Wangeziweka wazi ingesaidia.

"Napenda waislamu muelewe kuwa chama cha Chadema hakina msaada wowote juu ya uislamu na kimekumbatia udini, ukabila na ubinafisi kutokana na sababu hiyo, tutatembea nchi nzima kuwaeleza wanachi ukweli wa jambo hili na kuwataka wasikiunge mkono chama hicho,"alisema Mwaipopo.
Inaonyesha upinzani wa operesheni sangara ni wazo lake na ataka kulisambaza kwa wengine!

Alisema kutokana na ubinafisi wa chama hicho, kimeshindwa kuviunga mkono vyama vya upinzania vya Chama cha Wananchi (CUF) na Sauti ya Umma (SAU) vinavyoshiriki uchaguzi mdogo wa Jimbo la Mbeya vijijini ambao unaotarajia kufanyika mwezi huu.
Je, huyu shekhe tumvishe uanachama wa CCM? CUF? au SAU?

Katika hatua nyingine, Mwaipopo aliwataka viongozi wa dini za kiislamu Mashekhe na Maimamu kuingia kwenye siasa kuanzia nafasi za serikali za mitaa hadi ubunge ili kwenda kuwatetea wananchi.
Kuwatetea wananchi? Au waislam?

Akisoma tamko la waislamu hao, kuhusu OIC na Mahakama ya Kadhi katibu wa Baraza la habari la Kiislamu Tanzania (Bahakita) Shekhe, Sadick Godigodi alisema wamekubaliana kwa kauli moja kusubiri kauli itakayopotolewa na serikali.
Waislam hao, inamaanisha ni baadhi tu ya waislam, tusiwanyonge wote chonde!

Nadhani habari kama hizi ni za kichochezi. Huyu shekhe nakubaliana kabisa katoka nje ya dini na kuingia kwenye siasa per se, kwa hiyo anatakiwa kuwa judged kama 'mwanasiasa' na sio kiongozi wa dini. Lakini waandishi pia wameweka kichwa cha habari kinachoweza kuiuza habari yao na wakafanikiwa ila ni ya kichochezi. Tujadili kwa makini la sivyo wenye nia mbaya na nchi yetu watafanikiwa.
 
Imani yao ni potofu na ilienezwa kwa nguvu, haikumpa mtu utambuzi...Jihadi...jiulize ni watu wa imani gani hapa duniani wanaongoza kwa kujitoa muhanga?....waislamu. hawatumii hata common sense. Huwa najiuliza, bongo jua kali 38 degrees C mtu kavaa mavazi meusi kajifunika gubigubi kasoro macho tu! Kisa ni imani...lazima mtu avae hivyo...wamama wanateseka na joto kali kwa kuiga mavazi yavaliyo maeneo ya jangwa kwa sababu ya blowing wind ambapo sand particles zinakuwa tatizo.
Siwashangai akina Mwai Popo kuropoka hivyo, ndio upeo wenyewe walio nao.

Kumradhi kwa maneno hayo wandungu, nimetapika kilichomo moyoni mwangu.
Tangu lini Mwaipopo akawa msemaji wa waislamu? Nadhani ni vizuri kuweka moyoni vitu vya maana kuliko ugoigoi na upumbavu wa kifikra unaoutoa hapa. Kwa hiyo unataka kuniambia UKRISTO unahamasisha na kuhalalisha USHOGA kisa tu baadhi ya waumini wao wachache wanaamini hivyo?
 
Watanzania sisi acha tu!

Mijadala inayohusu dini inaonekana kutugusa sana. Kulikoni?

Hivi imani za dini zinatupa kitu gani katika maisha yetu? Mafanikio hewa? (psychological relief)
 
Tangu lini Mwaipopo akawa msemaji wa waislamu? Nadhani ni vizuri kuweka moyoni vitu vya maana kuliko ugoigoi na upumbavu wa kifikra unaoutoa hapa. Kwa hiyo unataka kuniambia UKRISTO unahamasisha na kuhalalisha USHOGA kisa tu baadhi ya waumini wao wachache wanaamini hivyo?

Wacha mdau atoe dukuduku lake..Wewe ni nani mpaka umpangie nini aseme?

F.Y.I: Ugoigoi ktk Usilamu umekuwa well documented ktk Koran na vyanzo vingine ktk 'dini' hiyo ielekezayo watu ktk maangamizi.

Ktk ukristu hutokuta ushoga au upedofilia umekuwa documented popote..

Sawasawa?
 
Imani yao ni potofu na ilienezwa kwa nguvu, haikumpa mtu utambuzi...Jihadi...jiulize ni watu wa imani gani hapa duniani wanaongoza kwa kujitoa muhanga?....waislamu. hawatumii hata common sense. Huwa najiuliza, bongo jua kali 38 degrees C mtu kavaa mavazi meusi kajifunika gubigubi kasoro macho tu! Kisa ni imani...lazima mtu avae hivyo...wamama wanateseka na joto kali kwa kuiga mavazi yavaliyo maeneo ya jangwa kwa sababu ya blowing wind ambapo sand particles zinakuwa tatizo.
Siwashangai akina Mwai Popo kuropoka hivyo, ndio upeo wenyewe walio nao.

Kumradhi kwa maneno hayo wandungu, nimetapika kilichomo moyoni mwangu.

Mdau,

Kandamiza mpaka gia ya mwisho, wala huna haja wala sababu ya kumuomba mtu samahani kwa maoni yako. Maoni yako ni sahihi.

Kamata 5.
 
Ni mjinga tu anaeweza ku generalise kauli ya Mwaipopo kuihusisha na waislamu wote.

Hivi zile pumba anazo mwaga Mtikila kila uchao ndio msimamo wa wakristo?
 
Back
Top Bottom