Operation Sangara: Chadema yajipanga Upya

Operation Sangara: Chadema yajipanga Upya

Wacha mdau atoe dukuduku lake..Wewe ni nani mpaka umpangie nini aseme?

F.Y.I: Ugoigoi ktk Usilamu umekuwa well documented ktk Koran na vyanzo vingine ktk 'dini' hiyo ielekezayo watu ktk maangamizi.

Ktk ukristu hutokuta ushoga au upedofilia umekuwa documented popote..

Sawasawa?

Muathirika wa akili na kung'amua mambo nadhani utafanya jambo jema sana ukinyamaza, kwa sababu huna cha maana unachoandika, nimekwambia katafute watindia ubongo wenzako ujadiliane nao, huitendei haki akili yako goigoi unapoandika hapa.
 
Watanzania sisi acha tu!

Mijadala inayohusu dini inaonekana kutugusa sana. Kulikoni?

Hivi imani za dini zinatupa kitu gani katika maisha yetu? Mafanikio hewa? (psychological relief)

Watu wanadai udini uko duniani kote sio Tanzania tu. Nasikia hata US, kuna baadhi ya watu walieneza uvumi kuwa Obama ni muislam, kuonyesha kuwa angekuwa muislam wangempiga chini. Na kuna tetesi, eti wanaochukua urais US ni ma-protestants tu isipokuwa Kennedy ambaye walimfyatua!
Mambo ya dini ni whole life, sio issue ndogo kama unavyofikiri- ndio maana unaona debate kama hivi, afterall life is about pyschological wellbeing, hakuna kingine mkuu.
 
Muathirika wa akili na kung'amua mambo nadhani utafanya jambo jema sana ukinyamaza, kwa sababu huna cha maana unachoandika, nimekwambia katafute watindia ubongo wenzako ujadiliane nao.

Wewe unayemjibu mtu mwenye mtindio wa ubongo huku, ukijua kuwa ana mtindio wa ubongo..Je kuna usalama humu kwenye furushi lako unaloliita akili?
 
Hii yote ni matokeo ya ukosefu wa uongozi unaokubalika. Kila shehe anaibuka na kutoa matamko mazito bila kukuwasiliana na wenzake. Inakuwa serious inapotokea tamko linatolewa na kiongozi mtupu kama huyu, ambaye pengine hajaenda shule na hana upeo wa kupambanua madhara
 
Hebu tujiulize

- huyu Shehe alikua na akili timamu wakati anaporomosha hayo maneno?
- Je alilazimishwa kutamka aliyoyatamka?

Na swali General:

Kwa nini waislamu wana penda ku generalise udini wakati wakutetea hoja kwa mfano:

- Waisiliamu kuandamana kupinga Israel kuvamia Gazza?
- Waisilamu kuandamana kumuunga mkono JK ....?
- Waisilami kuandamana kushinikiza sikukuu ya mwaka mpya wa waisilamu...?
- n.k.... n.k.

Lakini kukiwa na vita Sudan, Ruwanda, Zimbabwe, .... husikii kitu.

????
 
Pana haja ya uthibitisho gani kuwa JF ina nuka udini ? Kisha eti ni forum ya waungwana! au forum ya wasomi! Lini tutastaarabika?
 
Waungwana, Zitto si muislam!? Hawa waislamu vipi tena!!!!? Wanatumiwa na CCM ili kuimaliza CHADEMA!?

Date::1/12/2009
Waislam nchini wapinga oparesheni Sangara
Geofrey Nyang'oro na Zaina Malongo
Mwananchi​

WAUMINI wa dini ya kiislam wamepinga oparesheni sangara inayoendeshwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa madai kuws chama hicho na operesheni hiyo, haina manufaa kwa uisalam kwa kuwa imejaa ukabila, ubinafisi na udini

Wakizungumza kwa nyakati tofauti kwenye kongamano la kiisilamu, lililofanyika jana jijini Dar es Salaam, walisema oparasheni Sangara imekuwa ikimchafua rais Jakaya Kikwete bila sababu licha ya mambo mengi mazuri, aliyoyafanya kwa taifa.

Shekhe Saidi Mwaipopo aliwataka waisalamu kutambua kuwa chama hicho, hakina msaada wowote wa maendeleo ya uislamu kutokana na chama hicho kujaa ukabila udini na ubinafisi.

"Napenda waislamu muelewe kuwa chama cha Chadema hakina msaada wowote juu ya uislamu na kimekumbatia udini, ukabila na ubinafisi kutokana na sababu hiyo, tutatembea nchi nzima kuwaeleza wanachi ukweli wa jambo hili na kuwataka wasikiunge mkono chama hicho,"alisema Mwaipopo.

Akizungumzia Oparasheni Sangara, alifafanua imekuwa ikichafua rais Kikwete bila ya sababu za msingi kwa kuwa rais huyo tangu ameingia madarakani amesababisha mafisadi kukamatwa na kufikishwa kwenye vyombo vya Sheria.

Pia alisema kipindi hiki cha Rais Kikwete kumekuwa na uhuru mkubwa wa kuabudu kutokana na serikali yake kuruhusu mihadhara ya kidini ambayo, ilikuwa ikizuiliwa na serikali ya awamu ya tatu.

Mwaipopo alisema kama oparesheni Sangara ingekuwa ni ya kweli basi ingekuwa tayari kutaja baadhi ya sifa ambazo Rais Kikwete amekuwa akizifanya badala ya kumchafulia jina lake kila inaopoendesha mikutano yake.

Alisema kutokana na ubinafisi wa chama hicho, kimeshindwa kuviunga mkono vyama vya upinzania vya Chama cha Wananchi (CUF) na Sauti ya Umma (SAU) vinavyoshiriki uchaguzi mdogo wa Jimbo la Mbeya vijijini ambao unaotarajia kufanyika mwezi huu.

Katika hatua nyingine, Mwaipopo aliwataka viongozi wa dini za kiislamu Mashekhe na Maimamu kuingia kwenye siasa kuanzia nafasi za serikali za mitaa hadi ubunge ili kwenda kuwatetea wananchi.

Alisema kama viongozi hao wa dini hawatajitokeza kuwania nafasi mbalimbali za uongozi mambo yao, mengi yataendelea kukwama kutokana na kukosekana kwa watetezi kwenye vyombo vya maamuzi kama ilivyokuwa kwenye mahakama ya kadhi.

Akisoma tamko la waislamu hao, kuhusu OIC na Mahakama ya Kadhi katibu wa Baraza la habari la Kiislamu Tanzania (Bahakita) Shekhe, Sadick Godigodi alisema wamekubaliana kwa kauli moja kusubiri kauli itakayopotolewa na serikali.

Kutokana na hatua hiyo, waislamu hao wamesimamisha maandamano waliyokuwa wamepanga kufanyika mapema mwezi huu kwa lengo la kuishinikiza serikali kutoa tamko lake kuhusiana na Mahakama ya Kadhi na OIC na walisema kuwa watatoa kauli yao baada ya serikali kutoa tamko.
 
Yote ulosema, wengine tumeshayasema hapa mara kemkem. Mie naamini kabisa kuwa Mods na wenzake aidha wana-enjoy, wapo behind hii tabia au ndio hawaoni kuwa hii kandia ya makusudi ya dini za watu ina undermine mission nzima ya hii JF.....
Mnaboa nyieeeee
sijawahi kuona na kusikia maandamano ya ile dini nyingine wakipaza sauti kisa dini yao inanyanyaswa....ni wanyenyekevu tu.....
Sheikh ni mtu mkubwa dinini kwenu matamshi yake yana watu kibao nyuma yake pamoja na kwamba sio msemaji rasmi wa dini yenu....

Shehe kachemka vibaya....ni kama maaskofu mashoga wale pamoja walikuwa ni wale na vitendoi vyao lakini walitia doa katika dini ile
Sina muda wa kufanya debate na wewe kutokana na jina lako pekee kuonyesha uwezo wako mdogo wa kung'amua mambo, hicho ni kipimo tosha kwangu kung'amua kuwa una utandu wa ujinga kichwani mwako, katafute watindia ubongo wenzako labda mnaweza kuelewana.
Wewe ndio unadhibitisha jinsi ulivyo na thinking capacity ndogo.....unam judge mtu kwa jina? tena nick name ya JF?
 
Sasa nyie mnabisha nini matamshi ya shehe mwipopo sio ya waislamu?
Mmmesikia bbc swahili sasa hivi?
 
Mnaboa nyieeeee
sijawahi kuona na kusikia maandamano ya ile dini nyingine wakipaza sauti kisa dini yao inanyanyaswa....ni wanyenyekevu tu.....
Sheikh ni mtu mkubwa dinini kwenu matamshi yake yana watu kibao nyuma yake pamoja na kwamba sio msemaji rasmi wa dini yenu....

Shehe kachemka vibaya....ni kama maaskofu mashoga wale pamoja walikuwa ni wale na vitendoi vyao lakini walitia doa katika dini ile

Wewe ndio unadhibitisha jinsi ulivyo na thinking capacity ndogo.....unam judge mtu kwa jina? tena nick name ya JF?

Mwenzako mwenye utindio wa ubongo kama wewe ameshakubali kuwa yeye ni Goigoi mwenye fikra potofu zenye utandu wa ujinga, nawe badilisha nickname yako na ujiite kama yeye kwa sababu sioni tofauti kati yenu.
 
nenda bbcswahili.com dila ya dunia sikiliza matangazo yameisha matamshi sio ya shehe mmoja ni msimamo wa waislamu woote....inawezekana wewe na wengine hamjapendezwa na matamshi hayo na kutaka kuyageuza kuwa ya shehe mwipopo wakati dada,kaka,baba na mama zenu bongo wameyakubali
 
Kwa hiyo BBC wamehoji waislamu wote wa Tanzania ndio wakawaambia huo ndio msimamo wao? Hebu tutolee pumba zako hapa na uzipeleke huko kwa mabwabwa wa akili wenzako wenye utindio wa ubongo kama wewe.
 
INGAWA madai ya wasomi wa Kiislamu ni kwamba CHADEMA inatawaliwa na Wachagga na watu wa kaskazini, ukweli ni kuwa kuna mengi mengine yasiyosemwa yanayowakera Waislamu.

Katika waraka wa siri unaozagaa miongoni mwa Waislamu (ambao pengine umepandikizwa na vyama vingine) ni kuwa viongozi wa CHADEMA wamekubaliana na viongozi wa Kikiristo nchini kuhakikisha kwamba nchi hii haiwi mwanachama wa IOC na wala Waislamu hawapewi mahakama ya Kadhi milele.

Na kwamba baadhi ya viongozi wa makanisa wamesema watawashawishi waumini wao kukichagua CHADEMA 2010!

Hili la viongozi kuwa ni watu wa Kaskazini tu ni kiini macho cha yale ambayo Waislamu wameshindwa kuyasema hadharani. Je, hivi kama mtu mwenye wa kuongoza ni Mchagga au Mbulu au Mmasai basi Wazaramo na Wanyaramba wasijiunge na chama hicho. HIli linaleta kweli?

Chadema wanapaswa kuwa makini sana hapa maana inaelekea kama vile kuna mkono wa mtu hapa.

Ni dhahiri kwamba CCM ina miezi michache tu ya kufanya uamuzi wa aidha kuwabeba au kuwatelekeza waislamu katika madai yao mbalimbali.

Hilo linaelekea linaweza likashindikana na hivyo chama tawala pengine kinahangaika kwa hivi sasa kuhakikisha kuwa kinawachafulia wengine kura zao kwa kuonesha kuwa nao pia hawana lolote watakachowafanyia waislamu pindi wakiingia madarakani.
Ingawa yapo madai kuwa vyama fulani na viongozi wao wanasema waziwazi kwamba nchi haiwezi kuongozwa na mtu yeyote kutoka makabila makubwa au tajiri hapa nchini kama vile Wahaya, Wasukuma, Wachagga, Wanyakyusa au watu wakorofi kama Wakurya na Wamasai!

Kwa Watanzania huu ni mtihani mkubwa sana. Maana kama tumeanza kutumia dini kukubali au kukataa kiongozi au chama fulani basi ni dhahiri kuwa kwa necha ya binadamu kila mtu ataanza kuvutia ngozi upande wake.

Iwe chama tawala au vile mbadala wajue kwa kuitumia dini kisiasa mambo yatakuja hatimaye kuwageukia wenyewe. Huko huko ndani ya CCM watu wataanza kupigiana kura kutokana na dini ya mtu. Na hapo kitakachofuata wote........ tunakijua isipokuwa kuna wengi hawataki kukubali ukweli wake.... na madhara yake makubwa kwa vizazi vijavyo hapa nchini.

Imani yangu ni kwamba dini inaunganisha watu kwa vile inahubiri upendo, haki na amani. Dini ikiwa chanzo cha machafuko na mgawanyiko (kwa maana kwamba inaanza kuwahubiri watu wagawanyike) huwa ninakuwa na mashaka na dini ya aina hiyo.

Binafsi sitetereki kwa changamoto zinazotokea katika vyama vyetu. Lakini inapotokea kwamba chama fulani kinapigwa vita "all the sudden" kwa kweli kuna haja ya kutafakari zaidi (au kufanya discernment ya kweli) kuhusu mambo tunayoyataka yatendeke hapa nchini.

Kama katika chama chochote hakuna sera inayowabagua watu kwa misingi ya kabila au dini fulani, hakuna sababu ya dhehebu au dini fulani kuanza kufanya interpretation ambayo huenda siyo sahihi kwa vyama vya siasa. Dini inabidi ziwe neutral katika kuwaongoza Watanzania kufanya uamuzi sahihi.

Pili kama dini fulani ikishajiweka kuwa shabiki wa vyama au chama fulani dini hiyo inapoteza mwelekeo. Kwani dini lazima iwe beyond political interests na kusimamia spirtual au moral principles. Kwa kweli tuna changamoto kubwa hapa nchini na hasa kuhusu intellectual emancipation.

Otherwise, we will fall into what my professor used to call "intelectual masturbation".
 
Waislam nchini wapinga oparesheni Sangara
Geofrey Nyang'oro na Zaina Malongo

WAUMINI wa dini ya kiislam wamepinga oparesheni sangara inayoendeshwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa madai kuws chama hicho na operesheni hiyo, haina manufaa kwa uisalam kwa kuwa imejaa ukabila, ubinafisi na udini

Huyu sheick ni lazima akapimwe akili la sivyo habari zake zisiripotiwe kabisa,nashangaa kwanini kama kweli kauli yake haiwakilishi waislam basi kwanini hakuna muislam aliyejitokeza na kupinga kauli hizi ili kuondoa migongano isiyolazimu kwenye jamii....Opereshen Sangara imepingwa kwasababu haina manufaa na waislam...Vita dhidi ya ufisadi ni vita dhidi ya uislam? Ama ni kuwa kinyume na Mh Rais equals to kuwa kinyume na uislam? Je mtu huyu katumwa ama ni fyatu?

Wakizungumza kwa nyakati tofauti kwenye kongamano la kiisilamu,lililofanyika jana jijini Dar es Salaam, walisema oparasheni Sangara imekuwa ikimchafua rais Jakaya Kikwete bila sababu licha ya mambo mengi mazuri, aliyoyafanya kwa taifa.

Once again...Hilo kongamano la kiislam lilikuwa likijadili kuhusu JK kama musilam na si kama rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania...Huyu sheick ni hatari sana kwani maneno yake ni hatari licha ya kwamba hayana kichwa wala miguu kwani yanajichanganya...Je ni mtetezi wa mafisadi ama uislam? Sijui sana kuhusu oparesh Sangara lakini tunajuwa kuwa tulishampa JK benefiti of doubt ili tuone hatua gani zaidi zitachukuliwa dhidi ya watuhumiwa wote wa ufisadi na haki kuchukua mkondo wake....Kwa kuhitimisha hapo juu inamaanisha kuwa kumchafua JK equals to kuuchafua uislam.

Shekhe Saidi Mwaipopo aliwataka waisalamu kutambua kuwachama hicho, hakina msaada wowote wa maendeleo ya uislamukutokana na chama hicho kujaa ukabila udini na ubinafisi.

"Napenda waislamu muelewe kuwa chama cha Chadema hakina msaada wowote juu ya uislamu na kimekumbatia udini, ukabila na ubinafisi kutokana na sababu hiyo, tutatembea nchi nzima kuwaeleza wanachi ukweli wa jambo hili na kuwataka wasikiunge mkono chama hicho,"alisema Mwaipopo.

Akizungumzia Oparasheni Sangara, alifafanua imekuwa ikichafua rais Kikwete bila ya sababu za msingi kwa kuwa rais huyo tangu ameingia madarakani amesababisha mafisadi kukamatwa na kufikishwa kwenye vyombo vya Sheria.

Hapo juu tunaweza kuona ni kwanini wengi wetu tunaweza kuwa na mawazo kwamba huyu mtu katumwa..Kwanza alianza na udini,then akahamia kwa Rais,na sasa kwenye chama wakiunganisha siasa ,dini ya uislam,chama,rais na opareshen sangara. Nashindwa kabisa kumwelewa huyu sheick kwani kuna wakati anazungumza kama anawawakilisha watanzania halafu then kama anawawakilisha waislam. Isitoshe wakati mwingine kama wapinga ufisadi lakini akiuuhusisha mpango wa Sangara wa CHADEMA na vita dhidi ya uislam na si ufisadi...Connection waliyoitowa ni JK,Je na yeye amekemea maoni hayo ama ni siasa zao?

Pia alisema kipindi hiki cha Rais Kikwete kumekuwa na uhuru mkubwa wa kuabudu kutokana na serikali yake kuruhusu mihadhara ya kidini ambayo, ilikuwa ikizuiliwa na serikali ya awamu ya tatu.

Mihadhara inahusiana nini na opareshen sangara?

Mwaipopo alisema kama oparesheni Sangara ingekuwa ni ya kweli basi ingekuwa tayari kutaja baadhi ya sifa ambazo Rais Kikwete amekuwa akizifanya badala ya kumchafulia jina lake kila inaopoendesha mikutano yake.

Wanataka JK apewe sifa na CHADEMA,ok sasa si waseme tu wanataka CHADEMA waende ama wawe CCM,what make these parties unique? Kusiwe na criticism? Nakubali kama kuna sifa basi JK apewe,kwani ni mara ngapi hapa hata Zitto kamtetea JK? Ama waislam walioko CHADEMA hawa count? Ama ana assume kuwa nchi hii iwe ya kiislam? Je kumsifia ama kutomsifia Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzani kuna uhusiano gani na kuupenda ama kuuchukia uislam?
Alisema kutokana na ubinafisi wa chama hicho, kimeshindwa kuviunga mkono vyama vya upinzania vya Chama cha Wananchi (CUF) na Sauti ya Umma (SAU) vinavyoshiriki uchaguzi mdogo wa Jimbo la Mbeya vijijini ambao unaotarajia kufanyika mwezi huu.

Katika hatua nyingine, Mwaipopo aliwataka viongozi wa dini za kiislamu Mashekhe na Maimamu kuingia kwenye siasa kuanzia nafasi za serikali za mitaa hadi ubunge ili kwenda kuwatetea wananchi.

Alisema kama viongozi hao wa dini hawatajitokeza kuwania nafasi mbalimbali za uongozi mambo yao, mengi yataendelea kukwama kutokana na kukosekana kwa watetezi kwenye vyombo vya maamuzi kama ilivyokuwa kwenye mahakama ya kadhi.

Kama nilivyosema hapo nyuma...Habari hii sijui kwanini hata imechapishwa...Unless kweli ni tamko la waislam,ama kama sheick ni mwanasiasa kwani kauli zake hazina busara kabisa...Tumeshasikia kauli nyingi za viongozi wa dini lakini hizi ni mbaya zenye malengo ya kupanda chuki mbaya ya kidini katika jamii ya watanzania,Watanzania ni lazima tuweke utaifa mbele...Nilisema hapo nyuma kuna wakati sheick huyu ana assume kuwa anawawakilisha watanzania wote...At the same time anawashauri viongozi hao wa dini ya kiislam wagombee nafasi za uongozi kwasababu ya kile alichokiita "Mambo yao" Halafu baadae akatoa reference ya mahakama ya kadhi. Je ametumwa?na kama katumwa,je katumwa na waislam,chama cha mapinduzi,mh Rais ama both?

Akisoma tamko la waislamu hao, kuhusu OIC na Mahakama ya Kadhi katibu wa Baraza la habari la Kiislamu Tanzania (Bahakita) Shekhe, Sadick Godigodi alisema wamekubaliana kwa kauli moja kusubiri kauli itakayopotolewa na serikali.

Kutokana na hatua hiyo, waislamu hao wamesimamisha maandamano waliyokuwa wamepanga kufanyika mapema mwezi huu kwa lengo la kuishinikiza serikali kutoa tamko lake kuhusiana na Mahakama ya Kadhi na OIC na walisema kuwa watatoa kauli yao baada ya serikali kutoa tamko.

Mwananchi Read News

Sheick huyu ameprove kuwa mdini na hatari sana kwenye jamii yetu inayohitaji kuulinda umoja wetu kama mboni za macho yetu,kuna makabila mengi sana nchini mwetu na dini pia,lakini sheick huyu ameuinganisha opareshen SANGARA kwenye mtiririko wote huo na huku akihusisha chama hicho cha upinzania na tuhuma hizo mbaya na hatari zenye chuki na malengo ya kugawanya....Waungawana mnaweza kuendelea na debate yenu ya uislam vs ukristo ila nilionelea niichambue habari kama ilivyoletwa ili kutoipindisha mada at least kwa wakati huu.
 
Last edited:
Kwa mujibu wa shehe mwaipopo anawataka waislamu wote kuipinga chadema,huku wakiitetea cuf,na rais kikwete.Sioni kama ni sahihi anachofanya Mwaipopo na wenzake,ni jambo la kawaida kwa vyama kupingana.Sasa napata picha kuwa cuf ni chama cha kidini na siyo cha kisiasa.Hakuna kanisa wala taasisi ya kikristo iliyotangaza kuiunga mkono Chadema. Hivyo nawashangaa sana ninyi akina mwaipopo.Nakushangaa Mwaipopo na wenzako mnaowashawishi waislamu kuingia ktk siasa ili kutetea haki za wananchi,nilivyomwelewa mimi ni kutetea haki za waislamu,japo kuwa hakuinyoosha hiyo sentensi.Nataka kuwauliza ni waislamu kwanini rais anapokuwa muislamu mnaanzisha chokochoko nyingi?nakumbuka wakati wa mstaafu mwinyi mlitaka nchi ijiunge na OIC,Imekuwa kimya kipindi cha mkapa.Ameingia Kikwete mmeanza tena.nawasihi acheni mambo ya udini msije mkaondoa amani tuliyo nayo.Acheni vyama vilumbane vyenyewe.
 
wandugu,

..kuna chombo kinaitwa BARAZA LA HABARI LA KIISLAMU TANZANIA -- BAHAKITA.

..kulingana na matangazo ya BBC, BAHAKITA walikuwa na mkutano wao kujadili hali ya kisiasa Tanzania.

..Hussein Msopa, msemaji wa BAHAKITA, amedai kwamba kwa muda mrefu wamekuwa wakivichunguza vyama vya siasa na wamefikia conclusion kwamba vyama vyote ni safi, isipokuwa CHADEMA.

..BAHAKITA wametoa tamko wakidai kwamba kampeni ya CHADEMA ya kuwataja mafisadi ina malengo ya kuvuruga amani na umoja wa Tanzania.

..pia Hussein Msopa amewashutumu CHADEMA kwa kile alichokiita kupuuzia maendeleo yaliyopatikana ktk kipindi cha miaka 3 ya uraisi wa Jakaya Kikwete, na kuwepo kwa ukabila na ubinafsi ktk chama hicho.

..mwisho, Hussein Msopa kwa maneno yake amesema: " sisi 'WAISLAMU' kwa upande wetu wa Tanzania tumeamua kuzunguka nchi nzima kuibomoa Chadema kwa mazingira ya Operesheni Sangara na kutoiunga mkono."

NB:

..habari hii imeniacha na maswali mengi.

..kwa mfano: what is BAHAKITA? who is behind this organization? how much influence does BAHAKITA have in the Muslim community in Tanzania?
 
Kwa hiyo BBC wamehoji waislamu wote wa Tanzania ndio wakawaambia huo ndio msimamo wao? Hebu tutolee pumba zako hapa na uzipeleke huko kwa mabwabwa wa akili wenzako wenye utindio wa ubongo kama wewe.
sawa mie na boa wewe ni bab'kubwa....lakini ahadi yangu ya kukufanyia DRE ipo palepale, mmmmmmwwwwwwwwwwwwaaaaaaaaaa!! LOL..
ndio wakuu msomeni na Jokakuu haya sio maneno yetu unless hamtaki kuamini ndugu zenu walioshirikiana kutoa kauli hii.
YNIM iam ready kwa DRE tukutane wapi?

wandugu,

..kuna chombo kinaitwa BARAZA LA HABARI LA KIISLAMU TANZANIA -- BAHAKITA.

..kulingana na matangazo ya BBC, BAHAKITA walikuwa na mkutano wao kujadili hali ya kisiasa Tanzania.

..Hussein Msopa, msemaji wa BAHAKITA, amedai kwamba kwa muda mrefu wamekuwa wakivichunguza vyama vya siasa na wamefikia conclusion kwamba vyama vyote ni safi, isipokuwa CHADEMA.

..BAHAKITA wametoa tamko wakidai kwamba kampeni ya CHADEMA ya kuwataja mafisadi ina malengo ya kuvuruga amani na umoja wa Tanzania.

..pia Hussein Msopa amewashutumu CHADEMA kwa kile alichokiita kupuuzia maendeleo yaliyopatikana ktk kipindi cha miaka 3 ya uraisi wa Jakaya Kikwete, na kuwepo kwa ukabila na ubinafsi ktk chama hicho.

..mwisho, Hussein Msopa kwa maneno yake amesema: " sisi 'WAISLAMU' kwa upande wetu wa Tanzania tumeamua kuzunguka nchi nzima kuibomoa Chadema kwa mazingira ya Operesheni Sangara na kutoiunga mkono."

NB:

..habari hii imeniacha na maswali mengi.

..kwa mfano: what is BAHAKITA? who is behind this organization? how much influence does BAHAKITA have in the Muslim community in Tanzania?
 
...sheikh mwaipopo vyama vinavokumbatia udini havioni?????.....au ndo ajenda yenyewe ya viongozi waliofilisika na kushindwa kazi ...ambao kwa kawaida huanza kujiegemeza kwenye dini au kabila...,anatumika tu......tumbo!
 
INGAWA madai ya wasomi wa Kiislamu ni kwamba CHADEMA inatawaliwa na Wachagga na watu wa kaskazini, ukweli ni kuwa kuna mengi mengine yasiyosemwa yanayowakera Waislamu.

Katika waraka wa siri unaozagaa miongoni mwa Waislamu (ambao pengine umepandikizwa na vyama vingine) ni kuwa viongozi wa CHADEMA wamekubaliana na viongozi wa Kikiristo nchini kuhakikisha kwamba nchi hii haiwi mwanachama wa IOC na wala Waislamu hawapewi mahakama ya Kadhi milele.

Itakuwa vema ukiweka waraka huo hapa.Ahsante.
 
Back
Top Bottom