Outlier
JF-Expert Member
- Dec 28, 2008
- 323
- 21
Majibu rahisi, ktk chadema kuna waislamu na memba maarufu kabisa ni Zitto! Sasa Zitto nae yupo against chama chake!?? kama hapana basi si waislamu wooote wa TZ, hayo ni maneno ya Msopa, Mwaipopo na genge lao.
Hao mabwana hawana mandate ya kusemea waislamu wote wa TZ, hilo ni rahisi sana kueleweka kwa mtu yeyote mwenye akili timamu na uelewa mdogo tu wa uislamu jinsi unavyo operate...Mwaipopo na wenzake ni wana siasa dizaini ya Mtikila, tatizo ni watu kama ninyi blindly mnavyoingizwa mkenge na kuanza kutukana dini za wengine kwa maneno ya kipuuzi yaliyotolewa na wachache!!! Binafsi siwakilishwi na Msopa, Mwaipopo au wengine wa dizaini hizo, na hii ni kwa majority ya waislamu!! Sasa hizi generalization zenu mnazitoa wapi? ni ignorance au ndio mmepata nafasi ya kuonyesha chuki zenu kwa wengine!? Mkitumia akili kidogo tu, mtaona kwa jinsi gani mnafanya makosa makubwa sana ktk huu mjadala.....
Watumie akili kidogo wataipata wapi, watu wako kama ma-robot hawafikiri kabisa, na wakifikiri ni labored thinking. Maradhi yetu ndiyo haya na hatutaendelea hata siku moja. Nadhani chuki iliyopo inasababishwa na dissatisfaction. Kila ****** akae chini ajifikirie, atakuta hayuko satisfied na maisha yake ndiyo sababu ya chuki hizi. Mtakufa kwa kihoro.