Nawakumbusha kwa upole sana, CCM na wengine, tunazo taarifa zenu kuwa mnataka kupandikiza vijana wa UVCCM mkijifanya ni CHADEMA siku ya kesi ya kishenzi mliyompa FM...
Acha ujinga mtamtisha nani? Ccm ina kazi ya kujenga nchi wakati chadema ina kazi ya kubomoa nchi. Nani wana majukumu matukufu? Ccm itachukua kila hatua kuizuia chadema kwenye malengo yao haram.
Mimi nimelinganisha na timu ya mzee Mpili, ile ya utopolo mkuu, kwa kuwa nao wana nguo za njano kijani, kama wale inzi wakubwa! Lakini kama nimekosea, Nisamehe sana mkuu!

Nilidhani hawa vijana wangetumia akili kujiepusha na kikombe hiki, matokeo yake wameshupaza shingo.
Updates ni kwamba watatumia baadhi ya Askari kanzu na usalama wa taifa kufanya vurugu ili Chadema ionekane wamefanya vurugu. Hawa watapeana signal na Askari kisha wataanza kurusha risasi za moto.
Chadema kwa kutumia akili kubwa, watarekodi matukio yote kwa ustadi mkubwa na kama kawaida pumba na Michele vitapembuliwa when right time comes.
Nawaonya, CHADEMA hawataki ugomvi lakini mkiendekeza huu ujinga watawashtaki kwa Mungu individually