Ok, vipi kuhusu bata mrembo?Oops sori, mwali...lolSmile sawa ila mimi Mwali... sidhani. si umeona vigezo hapo? sio kuchangia tu, nikuchangi point! alafu kuonekana unafata habari zinavoenda... MI nimekalia kuuliza maswali tu (nimekaa ki-learner zaidi, sio great thinker)
Smile sawa ila mimi Mwali... sidhani. si umeona vigezo hapo? sio kuchangia tu, nikuchangi point! alafu kuonekana unafata habari zinavoenda... MI nimekalia kuuliza maswali tu (nimekaa ki-learner zaidi, sio great thinker)
Ok, vipi kuhusu bata mrembo?Oops sori, mwali...lol
Unamuona great thinker Jmushi1 alivo changia hapo? ni sababu anajua akichangia point siwezi kuelewa, kwa hiyo anachangia michango ya level yangu mie...mwali una mambo
wewe sio great thinker?
Basi utakiwa sim tank no sorry naamanisha 'think tanks'
Mwali please acha madongo!lolUnamuona great thinker Jmushi1 alivo changia hapo? ni sababu anajua akichangia point siwezi kuelewa, kwa hiyo anachangia michango ya level yangu mie...
Just chit chatting too Jmushi, na nilitaka nikupe deserved reverence kwa kututembelea chit chat leo. tunakuona huku mara chache.Mwali please acha madongo!lol
I beleieve you are one of the great thinkers bibiye, just chit chatin...
Pia avatar sio siri...
Kumbe? ngoja niigeuze dili. lolhii avatar inahusu sana
basi tu
Unamuona great thinker Jmushi1 alivo changia hapo? ni sababu anajua akichangia point siwezi kuelewa, kwa hiyo anachangia michango ya level yangu mie...
mi sisomi. sijawahi soma.Kwani mwali uko std ngapi vile?
Hivi kweli mwali hiyo avatar ni wewe? Please tell me it is...lol!Just chit chatting too Jmushi, na nilitaka nikupe deserved reverence kwa kututembelea chit chat leo. tunakuona huku mara chache.
Asante kwa kunipongeza kuhusu avatae.
Kumbe? ngoja niigeuze dili. lol
Why bother kujua kama ni mimi au sio mimi? kwa JF huyo ndie mimi, and that's all that matter. lolHivi kweli mwali hiyo avatar ni wewe? Please tell me it is...lol!
Niongopee tu basi , mradi tu unisuze moyo!lol
Thank you Mwali, i am acceptin it as it is...lolWhy bother kujua kama ni mimi au sio mimi? kwa JF huyo ndie mimi, and that's all that matter. lol
hahahaha, no, she ain't a celeb... ni model. lolThank you Mwali, i am acceptin it as it is...lol
Yani kwa JF, yote yote sawa tu, ni jambo la maana kabisa.
What matters is the combo, aagt, if you know what i mean?
Thats why may be i bothered lol!
Mfano mimi avatar yangu ni Lawarence Fishburne, is one of ma favs, je inawezekana labda wewe hapo kwenye avatar ni clebrity flani, ama picha tu?
Just curious, btw its the combo of avatar and your contributions, that shit sometimes turns me on, i aint gonna lie about it, huoni niko huku chit chat kwa mida?
Cant you see?lol
With this i aint goin nowhere, ili iweje?lolhahahaha, no, she ain't a celeb... ni model. lol
More pictures available on my profile. lol
Kaa huku Chit chat, full kujiachia, leo sikukuu. :eyebrows:
afu wee husny, naskia yale makalio yangu ya kubandiaka AshaDii alikupa wewe.
Namtoko kesho yatume haraka
Gaijin asante sana kwa kujitokeza na kujipambanua, binafsi napenda michango yako maana huwa inanifanya nitafakari. Japo umekwazika lakini naamini hii post yako inazidi kukupa credits za kuchukua hili taji. Mpaka sasa nadhani ni wewe na ashadii mliojieleza. Tutaweka timeline hadi juma 3 ili mmalize kujieleza nasi tupate muda wa kupiga kura. Mpaka kufikia tarehe 27 tutakuwa tumepata mshindi wetu.
"too critical" kwa mujibu wa kanuni gani za JF?
And I hereby declare the contest closed...lol ... labda nimuongeze na Husninyo.
Asha Dii you know i love you too!lolTerribly missing you.... Regards with Love to Jmushi1...:eyebrows:
Asha Dii you know i love you too!lol