Online competition searching for miss JF 2011!

Online competition searching for miss JF 2011!

Take note the only difference with me saying it hapa na wewe kutoiona kua mwingine kasema is because most members wakugwaya hivo anaona it is beta aku ignore all together or ajipendekeze kwako (acha wale ambao they are your friends already);

Really? Watu wanamgwaya Gaijin? Huu ni ukweli au ni maoni yako?

Hawa wa kujipendekeza wapo more out of ushabiki hasa pale unapokua wamchachafya member mwingine via your criticism.

AshaDii, unapenda sana kutoa hizi sweeping generalizations. In the process unazidi kumpa mtu ammunition ya kukubana. Sasa hapo Gaijin akikuomba majina ya hao wanaojipendekeza kwake utathubutu kumpa? Au utazunguka mbuyu huku ukicheza tokomile? Kama hutajali mi ningependa unitajie hao wanaojipendekeza kwa Gaijin nami niwajue madhali wewe umesema hilo hadharani.
 
Ninaposema wana mgwaya - kumbuka kua it is out of her intelligence more than anything.... And Ngabu we have had this discussion before ya mimi kupenda toa sweeping genralisations.... Kila member ana sweeping generalizations, tofauti ni kua watu hua zaishia pm... au labda rohoni. Napenda saana kusema what I think about a member to a member (regardless if I am right or wrong) ila sio kwa kupitia member mwingine....


Kingine... I think it is better kua hili tutamalizana na Gaijini. So please Ngabu if you don't mind stay out of it.

Kila la kheri.

Ila yaliyo kwenye hadhara kila mtu ana haki ya kuyachangia......sijui unalijua hilo?
 
Kila la kheri.

Ila yaliyo kwenye hadhara kila mtu ana haki ya kuyachangia......sijui unalijua hilo?



Ngabu I know.... Ila I am so preoccupied hapa na I don't have energy wala will ya kujibishana na quotes nyingi hapa... hasa ukizingatia I have to log off in a few minutes.
 
Ngabu I know.... Ila I am so preoccupied hapa na I don't have energy wala will ya kujibishana na quotes nyingi hapa... hasa ukizingatia I have to log off in a few minutes.

Sasa akija mwingine na kunukuu bandiko lako naye utamwambia "stay out of it" kwa sababu wewe na Gaijin mtamalizana? Kama hutaki wengine tuchangie kwa nini usimalizane naye faragha?
 
Sasa akija mwingine na kunukuu bandiko lako naye utamwambia "stay out of it" kwa sababu wewe na Gaijin mtamalizana? Kama hutaki wengine tuchangie kwa nini usimalizane naye faragha?



Umetoa wazo zuri..... Na delete posts na kuzipeleka faragha.... Thank you.
 
AshaDii:
Take note the only difference with me saying it hapa na wewe kutoiona kua mwingine kasema is because most members wakugwaya hivo anaona it is beta aku ignore all together or ajipendekeze kwako (acha wale ambao they are your friends already); Hawa wa kujipendekeza wapo more out of ushabiki hasa pale unapokua wamchachafya member mwingine via your criticism.

Most members wanamgwaya Gaijin
, una ushahidi gani na ni kina nani? Hao wanaoni ignore umewajuaje wewe? Na hao wananojipendekeza umejuaje na ni akina nani? Kati ya member elfu 10 kadhaa, most ni idadi gani?

AshaDii
NDIO ni kwa mujibu wa wa maoni yangu... Lakini ndio ukweli tokana na thefollowing vigezo; (ambavo I have drawn from my first hand experience with you)

Sikusema huwezi kufikia hitimisho hilo kuwa Gaijin is too critical, nilichotaka useme peupeni ni kuwa hiyo ni opinioni yako tu na sio ukweli usio shaka, ili watu wachambue wenyewe kuwa ni opinion wanayoweza kuikubali au ni kumwaga sumu tu. Ulifanya vyema sana kama kwenye post # 16 kwa kueleza wazi kuwa ni opinion yako.
AshaDii
You have never quoted me to support me, it is always to critisize or question me in an eventual blif kua nimechemka.

Kwani lazima niku support? Kuna kifungu chochote cha kanuni za JF kuwa nimekikiuka au kukivunja?


AshaDii:
In discussions ambazo zinahusu wanawake daima wewe wawachukulia wanawake woote wapo priviledged kama ambavo wewe upo priviledged. i.e Kujitambua, kujikomboa, kujielewa na kujikamilisha in each sphere of there life.

Sasa unataka kusema unanijua mimi nilivyo na priviledges zangu nilizokuwa nazo? Na pia unamaanisha unafuatilia kila Gaijin anachokiandika kiasi cha kujua kwa uhakika na kutumia neno "daima"?

AshaDii
Sijawahi ona (hasa MMU) ukamsapport member
kwa lile alopost zaidi ya kuuliza maswali ambayo in the end humfanya the member in question apoteze kabisa confidence.

Siwezi kukulazimisha cha kuona. Na hiyo ni opinion yako. Lakini inaturudisha kule kule, kuwa inatia shaka kuwa unafuatilia sana anachikiandika Gaijin kiasi cha kujua anachofanya hata kwa posts za member wengine!

AshaDii
You are an intellegent woman, BUT ni nadra saana kutoa maoni yako in matters of discussions (at least nilizoona) ila tu waishia kuuliza maswali with so much enthusiasm... Maswali ambayo huwa mlolongo mkuubwa na mara nyingi yaweza hadi mkimbiza mhusika; for you are good at nailing them.

Hapa tunarudia pale pale. Hakuna lazima yoyote ya kuwa l nitoe maoni kwenye discussions kwa unavyotaka wewe, wala hakuna kosa la kuuliza masuala with enthusiasm. Watu wanajifunza kwa kuuliza masuala na ni njia moja muhimu katika learning process iliyotumiwa toka enzi na enzi na wanafalsafa maarufu kama kina Socrates.

AshaDii
I am sorry Gaijin if by any way I will offend you... Unfortunately I do stand my point kua you are too critical.

Don't flatter yourself, you can't even if you try
 
Sasa akija mwingine na kunukuu bandiko lako naye utamwambia "stay out of it" kwa sababu wewe na Gaijin mtamalizana? Kama hutaki wengine tuchangie kwa nini usimalizane naye faragha?

Ningekuwa mtu wa kurusha madongo blindly, ningeomba ule msemo wako unahusisha "nywele za kwapa" hapa ....hahaah

Mimi nilikwisha nukuu, na nishaibandika hapa hapa, asiniongezee shughuli, sifanyi maongezi kwa PM
 
Don't flatter yourself, you can't even if you try



Gaijin it seems umegoma kuenda via PM.... I have noted that every word you have written in the post is the "TRUTH" On that basis have realized kua What i wrote before was just out of my flattering myself.... I hope you receive my "SORRY" thou you have the right to decline. In the future I will be more careful not to repeat the mistake. Again SORRY..


Gaijin wishing you a Happy New year.... May it be one of your BEST ever.....


Pamoja Saana

AshaDii.
 
Ningekuwa mtu wa kurusha madongo blindly, ningeomba ule msemo wako unahusisha "nywele za kwapa" hapa ....hahaah

Mimi nilikwisha nukuu, na nishaibandika hapa hapa, asiniongezee shughuli, sifanyi maongezi kwa PM

Unatisha wewe lol.
 
Itakuwa, mpaka most ya members 57,712 wa JF wananigwaya kisha wanapelekeana PM kuelezana hayo! hahaha

Kama wewe hujatuma PM kueleza hilo, tukuweke kwenye kundi la kujipendekeza?

Eeeh...staki jini mapembe lintishe...lol

Kwa hiyo kujipendekeza ndo mpango mzima!

Mwakani vekesheni wapi? Istanbul au Ankara?
 
Eeeh...staki jini mapembe lintishe...lol

Kwa hiyo kujipendekeza ndo mpango mzima!

Mwakani vekesheni wapi? Istanbul au Ankara?

Istanbul nishaenda kuosha uso, sasa hivi napanga kwenda Vienna au Prague ......nipo napigia debe wa kufuatana nae. Twende zetu
 
Back
Top Bottom