Online competition searching for miss JF 2011!

Online competition searching for miss JF 2011!

Michelle..
Uko wapi tu ? Kila idara umeshika number
Kwa kweli unakubalika hutumii nguvu wala
Kujipendekeza hoja, maoni, ucheshi na mengi
Zaidi umo.. nimekumiss na number moja ,
Mbili na tatu zote zako ... holiday njema ..
 
Hapana Gaijini sio kwa mujibu wa kanuni za JF... Ila ni kwa mujibu wa most of your posts.... (Hata hivo naweza kua wrong, maana hivo ndio nionavo mimi)

Unaposema "too critical" lazima kuwe na frame of reference itakayokuongoza kujua "critical" ni ipi na "too critical" ni ipi.

Kama huna ni kwa mujibu wa maoni yako tu, basi kiungwana na kiubinaadamu, unatakiwa uweke wazi kuwa hayo ni maoni yako (kama ulivyofanya hapa) na sio kuandika sentensi za jumla jumla tu kana kwamba unachokiandika ni ukweli wenye hakika hususan unapokuwa unamhukumu mtu mwengine
 
Unaposema "too critical" lazima kuwe na frame of reference itakayokuongoza kujua "critical" ni ipi na "too critical" ni ipi.

Kama huna ni kwa mujibu wa maoni yako tu, basi kiungwana na kiubinaadamu, unatakiwa uweke wazi kuwa hayo ni maoni yako na sio kuandika sentensi za jumla jumla kana kwamba unachokiandika ni ukweli wenye hakika

Why are you so hard on AshaDii?
 
Michelle..
Uko wapi tu ? Kila idara umeshika number
Kwa kweli unakubalika hutumii nguvu wala
Kujipendekeza hoja, maoni, ucheshi na mengi
Zaidi umo.. nimekumiss na number moja ,
Mbili na tatu zote zako ... holiday njema ..

Muone huyu nae!
Kichwa kama namba 1,2,3. . . .
 
Michelle..
Uko wapi tu ? Kila idara umeshika number
Kwa kweli unakubalika hutumii nguvu wala
Kujipendekeza hoja, maoni, ucheshi na mengi
Zaidi umo.. nimekumiss na number moja ,
Mbili na tatu zote zako ... holiday njema ..

....Rubani vipi mambo yako...unaendeleaje? Ngoja nijaribu kumtafuta Michelle na kutumia nguvu zangu za ushawishi 🙂🙂 ili arudi jamvini, lakini siahidi kama nitafanikiwa.
 
Michelle..
Uko wapi tu ? Kila idara umeshika number
Kwa kweli unakubalika hutumii nguvu wala
Kujipendekeza hoja, maoni, ucheshi na mengi
Zaidi umo.. nimekumiss na number moja ,
Mbili na tatu zote zako ... holiday njema ..

Michelle is well and good na alieleza sababu za kutokuwepo katika my last thread ya Welcom 2012... Ila she said to expect her mwaka huu mpya kwa ukamilifu. It was just a rough year kwake kuweza kuwepo JF.... (Sorry nimeona nikujibu kukutoa wasi).... I do concur... she is one Classic lady.... And I miss her too...
 
Back
Top Bottom