Online competition searching for miss JF 2011!

Steve Dii nakuona. Leo tunafunga mwaka tunataka kujua kila mmoja anasimama upande gani.

PM umetuma ya kugwaya au hujatuma? :tongue:

Nakubali PM nimetuma na nimesimama "upande wa kulia" wa ubavu wa upendo!
 
Dii mamboz niaje!! Nawe umepanga safari ya resolution kwenda 'zizini' au kutoka?!!

Mambo perfectoo Dii..... Mie undecided.. I love the unexpected, na hio ni reliant on last minutes decisions..lol... Pande zako vipi?
 
Nakubali PM nimetuma na nimesimama "upande wa kulia" wa ubavu wa upendo!

Ubavu wa upendo ndio uko wapi tena? Manake tangu ianze wiki ya Xmass watu wanazungumza kwa lugha za madhabahuni kiasi cha kuwa ujumbe unaweza ukakupita huku ukiusikia
 
Mambo perfectoo Dii..... Mie undecided.. I love the unexpected, na hio ni reliant on last minutes decisions..lol... Pande zako vipi?
chunga sana shangazi, saa zingine kama hujajipangia unaskia unapelekwa Ushongo Mabaoni kumtembelea mpwa wako. lol
 
Dear user, your account balance is 0.00, please recharge your account below

Register your Z-connect modem line through the ZANTEL Website, Download the Registration form and fill all required fields.

Recharge
Enter your number:

Recharge voucher number:

(C) 2011 Zantel. All Rights Reserved.
Zantel & the Zantel logo are trademarks of Zanzibar Telecom Limited.
...mapema na asubuhi, miye nimejikita kujibu post ya member lakini nilipotuma tu page ikawa redirected nakuambiwa hayo juu... elfu 10 hiyo imenitoka asubuhi-asubuhi ku-recharge 🙁
 
Ubavu wa upendo ndio uko wapi tena? Manake tangu ianze wiki ya Xmass watu wanazungumza kwa lugha za madhabahuni kiasi cha kuwa ujumbe unaweza ukakupita huku ukiusikia

aahuh, Gaijin, kumbe ulikuwa husomi PM zangu! :A S embarassed::shock:
 
chunga sana shangazi, saa zingine kama hujajipangia unaskia unapelekwa Ushongo Mabaoni kumtembelea mpwa wako. lol

That is what I love auntie... kwamba possibility ya kuenda haywire ni kubwa BUT naweza escape hata ile narrowly....lol... It makes the result so worth while (hasa kama ni to your liking.....)
 
...mapema na asubuhi, miye nimejikita kujibu post ya member lakini nilipotuma tu page ikawa redirected nakuambiwa hayo juu... elfu 10 hiyo imenitoka asubuhi-asubuhi ku-recharge 🙁
hii inaweza kunikatia mood mara moja! bahati hua natembea na spare mood mfukoni, lol
 
That is what I love auntie... kwamba possibility ya kuenda haywire ni kubwa BUT naweza escape hata ile narrowly....lol... It makes the result so worth while (hasa kama ni to your liking.....)
Najua kwa likizo hii hupelekwi nje maana muda wenyewe ni kama umeisha, ila possibility za kutembea ndani kwa ndani bado zipo.
 
hii inaweza kunikatia mood mara moja! bahati hua natembea na spare mood mfukoni, lol

...na nina bahati haikuwa PM kwenda kwa 'ubavu wangu wa kushoto'!! mbona ningekiona leo... :tongue:
 
aahuh, Gaijin, kumbe ulikuwa husomi PM zangu! :A S embarassed::shock:

Aaah zile za "kujipendekeza"...ushajuulikana umelalia upande gani! :tongue::lol:

Lazima upate a bucket of KFC lamb chops for that 😛oa
 
...hope I do get lamb sauce and not wasabi sauce this time around! maana nawe visa vya mezani haviishi ati... :redface:
 
Basi tukubaliane kuwa utashushia kwa Ice tea na sio Soda ......si unajua six packs za kumtishia Ngabu muhimu :lol:
 
Hiyo haina kwere wangu, ya wish is my command! ..... Ngabu hana six pack tena, mikwara tu! Nimekutana naye pale kitongoji cha Ghana, Mwanza kwenye ki-gym fulani hivi barabarani kitambi cha bia za Balimi kimefurumuka, hizo packs anazozitajataja ni zile za miaka 4 iliyopita!!! lol :biggrin:
 
Hahahaha .....kisha naskia keshaanza na kutoka upara kichwani! Sasa kama hata zile six packs alizokuwa anajisifia nazo zamani hana tena, ...duh! Lakini anajua hommies hamuwezi kumtosa akihitaji mshiko wa kufanyiwa lipo...:lol:
 
Back
Top Bottom