Steve Dii
JF-Expert Member
- Jun 25, 2007
- 6,402
- 1,298
Hahahaha .....kisha naskia keshaanza na kutoka upara kichwani! Sasa kama hata zile six packs alizokuwa anajisifia nazo zamani hana tena, ...duh! Lakini anajua hommies hamuwezi kumtosa akihitaji mshiko wa kufanyiwa lipo...:lol:
This hommie of mine these days is kinda in trouble with mother nature you know... unaweza ukachelewesha, but huwezi uka-reverse umri kusonga mbele. Sasa kipara nacho ndo' ivo tena kinamnyemelea tartiiiib!!! Hivi majuzi nimecheck eBay channel yake na Amazon market yake zote naona zimejaa mauzo ya toupee' !!! Kilichonishangaza ni kwamba ads zote zinasema ni x-small size....!!! Ukijiuliza sana hapa unapata jibu kwamba.... "yawezekana kabisa ali-order box kadhaa za toupee kwa ku-underestimate ukubwa wa kipara chake, na hivyo kujikuta haziwezi ku-cover patch yote kichwani. So my hommie has resorted to flogging the lot on eBay!!!" ... of course, this is just my wild guess lol :biggrin::lol: