Ongezeko la wadada wanaohitaji ndoa nini tatizo?

Ongezeko la wadada wanaohitaji ndoa nini tatizo?

Hili ndio hasa tatizo kuu, ndoa zimekuwa kama fasheni sahivi! Wanawake hawana utu kabisa. Atavumilia kinafki ukishampa ndoa basi anarudi katika tabia zake mbaya. Ubinafsi, kiburi na umalaya wao ndo hasa umefanya wanaume wengi tukate tamaa nao.
Jitu linaahidi kuwa aminifu kisha ukiwa nalo mbali hata kwa week tu lishaanza ku cheat!
Mkuu inaonekana haya unayayasema yamekutokea tupe habar ilikiwaje
 
Huwa wanachelewa kujitambua.mfano dada mmoja aliposwa na mwalimu mmoja mstaarabu.akamtosa .mwalimu mimi nimpeleke wapi? Akshoboka na jamaa mmoja wa BoT kumbe yule yeye ni mdunguaji tu.baada ya kumdungua akatupa kule dada na kitoto chake.labda tarehe 9 ya makonda itasaidia
 
Pendekezo lang itengwe siku maalum kwa wanaoitaj mume au mke eneo Fulani kila mmoja aeleze sifa za mke/mme iitasaidia kupunguza tatizo...
Wazo nzuri unaweza litumia kupiga pesa
 
Huwa wanachelewa kujitambua.mfano dada mmoja aliposwa na mwalimu mmoja mstaarabu.akamtosa .mwalimu mimi nimpeleke wapi? Akshoboka na jamaa mmoja wa BoT kumbe yule yeye ni mdunguaji tu.baada ya kumdungua akatupa kule dada na kitoto chake.labda tarehe 9 ya makonda itasaidia
Mwambie aje nmsaidie kumchumbia
 
Tatizo kubwa, wanaume wengi tumekua waongo kwasababu wadada wengi wamekuwa wanapenda uongo.

Ni dhahiri mdada atamkubali kwa haraka kijana atakayekuja kwa swaggs na mbwembwe nyingi (za uongo)

Wadada wamesahau kama maisha yanatafutwa na mume na mke. Wanataka ukienda kwake uwe na uwezo wa kifedha au hata uwe ni mtu mwenye status kubwa. Mwisho wa siku vijana wanachoka kukataliwa na mwili unawaongoza kudanganya.. jambo linalopelekea wakaka wengi kamua kufake maisha ili waweze kuwapata.

Baada ya muda mdada akigundua ukweli wa mkaka wake anaamua kutafuta kwingine penye vigezo anavyotaka, inakuwa ni mzungiko na umri unazidi kwenda na hakuna ndoa.

Ushauri ntatoa badae labda...
 
IMG_20180330_224153_898.JPG
aisee
Kumbee
 
Hawa dada zetu huwa wengi wao hawaoni umuhimu wakutulia na mwanaume asiye na pesa kipindi wako kwenye peak 20-25 wakifika 26 na kuendelea wanajikuta wameshatumika sana halafu hakuna mwenye mpango ,. Na ss tunarudi kule 20-25 maana wao wanakuwa washapitwa na wakati..
 
Back
Top Bottom