Ongezeko la wadada wanaohitaji ndoa nini tatizo?

Ongezeko la wadada wanaohitaji ndoa nini tatizo?

sasa huko Kenya si ndo balaa niliona wanawake wanaandamana na mabango kutafuta waume!!
 
Wakiwa katika peak hua wanaringa sana hawa viumbe.
Age 18_25 bado wana utelezi ule na naniii zao tight hua wanasumbua.
Ni kweli kbsa ngoma ikigonga 16pm ndo vurugu zinaanza mpka na kuamua kuweka tangazo kbsa
 
Ndio babe,mapemaa tu nakuweka ndani,uvumilie hali yangu ya uchumi mpaka jiwe atoke,ulevi wangu n.k[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mlevi mwenzio hunuitafuti ila upo bize na wanafiki. wanawake jamani
 
Tunadanganyana sana. Kuna siku nilimsikia mtu wa takwimu akisema sensa ya mwisho Tz kulikuwa na watu 50m. Kati yao hao 26m ni wanawake na 25m ni wanaume. Kwahio kwa kila mwanaume mmoja kuna wanawake 1.04 yaani basically its 1:1

Hio siku ndio nikaamini NI RAHISI KWA MWANAMKE KUOLEWA KULIKO MWANUME KUPATA MWANAMKE WA KUOA. Kwasababu kati ya hao 1:1 sio wote wana sifa za kuolewa, bado kuna wanaume wana wanawake zaidi ya mmoja. Wife material mmoja unakuta ana options kadhaa za wanaume, huku mwanaume unaweza kuwa na wanawake 6 hamna hata mmoja unaona anafaa kuwa mke.
Hizo ni takwimu za kijumla Ila ukichulia idadi ya wanawake walio kwenye umri wa kuolewa na mwanaume ambao nao wako kwenye umri wa kuowa ratio ni 1:5 hyo yko ni jumla ya me na ke tu. Tusichanganye mambo
 
Unaweza kuweka source kukazia ulichokiandika.
 
Na mnazidi kuongezeka Kuwa singo mother maana mkiingia kwenye ndoa mnakuwa wasumbufu mno.

Tatzo la kutokuolewa ni namna ulivyo huko mtaani kwenu, usitegemee kuvuruga mtaani maana utaolewa mbali na hapo.
Sifa za nyumbani husafiri mpaka mikoani, hakuna mwanaume atakeoa bila kupata background yako.
Kama wanawake hawaolewi basi na wanaume hawaoi so hakuna mshindi hapo kuna single mama na single baba.
 
Kama wanawake hawaolewi basi na wanaume hawaoi so hakuna mshindi hapo kuna single mama na single baba.
Mpenzi

ukwel ni kwamba wanawake ambao wanakuwa kwenye soko la kuolewa ni wengi kuliko wanaume walio kwenye soko la kuoa.

sababu kuu ni kwamba women mature faster than men.
 
Unakubaliana na suala la kibaolojia kwamba mwanamke anawahi kubalehe tofaut na agemate wake wa kiume?
Kwahio hii inaongeza idadi ya wanawake?
Mpenzi

ukwel ni kwamba wanawake ambao wanakuwa kwenye soko la kuolewa ni wengi kuliko wanaume walio kwenye soko la kuoa.

sababu kuu ni kwamba women mature faster than men.
Kwahio unauhakika kwenye hizo takwimu wanaume always wanakuwa wadogo kuliko wanawake?
 
Kwahio hii inaongeza idadi ya wanawake?

Kwahio unauhakika kwenye hizo takwimu wanaume always wanakuwa wadogo kuliko wanawake?
Ukizungumzia kijinsia inawezekana wakalingana kwa uwiano lakini readness ya kutengeneza familia wanaume wanaachwa hatua kadhaa nyuma. Hivyo kufanya idadi ya waoaji kuwa ndogo.
 
Ukizungumzia kijinsia inawezekana wakalingana kwa uwiano lakini readness ya kutengeneza familia wanaume wanaachwa hatua kadhaa nyuma. Hivyo kufanya idadi ya waoaji kuwa ndogo.
Point yako is relevant only if wanazaliwa siku moja. Yaani wanawake na wanaume wana umri sawa.
 
Point yako is relevant only if wanazaliwa siku moja. Yaani wanawake na wanaume wana umri sawa.
Hawazalian siku moja

Lakin kwa tafit yangu isiyo rasmi nmegundua kwamba wanawake wengi wanajifungua zaid watoto wa kike kuliko wa kiume.
 
Back
Top Bottom