Ongezeko la ngono maofisini nini sababu?

Ongezeko la ngono maofisini nini sababu?

fix hizo maofisi siku hizo karibu yote yana cctv camera huo mchezo labda ofisi za serikali! au vioski
 
Inasikitisha sana...

Mazoea yaliyopitiliza... Watu kutokuheshimu maneno yao ya kazi... Uzinzi uliopitiliza...

Ni tabia mbaya sana...


Cc: mahondaw

Mbona uandishi wako hausadifu kilicho moyoni na akilini mwako!?
Maana Mimi ni , forensic scientist yaani nikaangalia uandishi wako naona kabisa "mahondaw" anapigwa changa la macho la makinikia.
 
Wakuu habari za nyinyi jamani,

Natumaini mu wazima kabisa,

Leo nimeona nishushe haka ka uzi ambako nimekafanyia utafiti usio rasmi na nimeona kuna haja ya kukajadili.

Kwa wenzangu na mimi tulio maofisini bila shaka mtakubaliana na mimi kwamba siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana lawafanyakazi kupeana tamu maofisini baada ya saa za kazi.

Wengi hubakia baada ya saa kumi na moja au mbili wakijifanya kuwa bize bado na vimeo mbalimbali kumbe wanazuga watu wengine waondoke ili mechi zipigwe kwenye sakafu, makochi au Meza na viti vya ofisini.

Ukweli ulio mchungu ni kwamba wake zetu ambao tunaona ni watulivu nyumbani na hata weekend hawatoki nyumbani kwenda kokote kumbe mbosi wanawainamisha huko maofisini baada ya saa za kazi aisee.

Hii pia inawakumba sana wahudumu wa maofisi, masekretari na walio katika mafunzo ya vitendo wapo pia wanawake wanaowaita hapo ofisini michepuko yao waje kupiga show ofisini.

Kinachonifanya niulize ni sababu zamani ofisi ziliheshimiwa sana, baada ya saa za kazi watu walikuwa wanarudi nyumbani, ni kwanini sasahivi maofisi yamegeuka magesti ya kuchapia mpaka wake za watu? Karibuni tushee aidia hasa kama kuna wenye konfesheni za kungonoka ofisini.
Daaah kaz ipo
 
Dah! Mungu aninusuru nisije kupiga bao kwenye ofisi yangu na ole nimkute mtu anafanya uchafu wake siku hiyo hiyo anakula termination letter yake.

Ila kwa hali hii ya uchumi watu wanaona bora wajiongeze tu hela ya kwenda lodge zetu zile sasa hivi imekuwa adimu sana.
Na Muda pia,wengi ni wake au waume za watu ambao ndoa zinawabana wanaamua kuutumia Muda na kisingizio cha ofisi
 
Yote hiyo ni kunikomesha tu, sawa naona umeamua kuondoka na hii roho.


Yaani kumbe unarudi nyumbani toka kazini kwa bashasha zote nakupokea na zawadi juu nakupa nakuambia polee my wife wangu. Kumbe huko kwenye maofisi yenu unakuta ushabinuliwa kwenye meza. Asalaleeeee!... Mnatuweza kweli anyway haina makombo ile.
Kwani wanaowabinua na wao si wana wake zao? Akifika nyumbani mpole kumbe kamalizia huko kwenye kochi na meza za ofisi
 
Ukija kutegeshewa kamera ndio utajua nini maana yakujiheshimu.Wewe ni moja ya wanawake ambao ni mfano mbaya kabisa kwa kizazi kichanga,hasa kimaadili.Bilashaka utakua na vichocheo vya kiume vingi kuliko kawaida,na hivi unavyosoma hii komenti yawezekana umelala kwenye sofa wanarekebisha,tena na unavyopenda pesa na mshahara umetoka jana,sijui itakuaje huko ofisini.
relax ndugu relaxx...
 
Back
Top Bottom