jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,886
- 16,584
hahahhahahahahahaha jmn jmnSasa hapo wanakuaga wanansimulia kuwa wakifanyaga inakua tamu
hahahhahahahahahaha jmn jmnSasa hapo wanakuaga wanansimulia kuwa wakifanyaga inakua tamu
Nakumisi lakini ujue , usifikiri una uhuru wa kukaa kimya hivyo bila salamuSasa hapo wanakuaga wanansimulia kuwa wakifanyaga inakua tamu
Reference mkuu, ingawaje wanasema lisemwalo lipo siamini kwamba hii kitu imekuwa chronic kiasi hikiWakuu habari za nyinyi jamani,
Natumaini mu wazima kabisa,
Leo nimeona nishushe haka ka uzi ambako nimekafanyia utafiti usio rasmi na nimeona kuna haja ya kukajadili.
Kwa wenzangu na mimi tulio maofisini bila shaka mtakubaliana na mimi kwamba siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana lawafanyakazi kupeana tamu maofisini baada ya saa za kazi.
Wengi hubakia baada ya saa kumi na moja au mbili wakijifanya kuwa bize bado na vimeo mbalimbali kumbe wanazuga watu wengine waondoke ili mechi zipigwe kwenye sakafu, makochi au Meza na viti vya ofisini.
Ukweli ulio mchungu ni kwamba wake zetu ambao tunaona ni watulivu nyumbani na hata weekend hawatoki nyumbani kwenda kokote kumbe mbosi wanawainamisha huko maofisini baada ya saa za kazi aisee.
Hii pia inawakumba sana wahudumu wa maofisi, masekretari na walio katika mafunzo ya vitendo wapo pia wanawake wanaowaita hapo ofisini michepuko yao waje kupiga show ofisini.
Kinachonifanya niulize ni sababu zamani ofisi ziliheshimiwa sana, baada ya saa za kazi watu walikuwa wanarudi nyumbani, ni kwanini sasahivi maofisi yamegeuka magesti ya kuchapia mpaka wake za watu? Karibuni tushee aidia hasa kama kuna wenye konfesheni za kungonoka ofisini.
Unajua hiyo jinsia watabakia hivyo mpaka mwisho, yaani wakiwa shuleni anaependwa sana na wavulana ndio anajiona queen na hata wenzake wanamheshimu kwa hilo tu, nahisi hata maofsini hii tabia ya hii jinsia inaendelea, anaetongozwa sana ana jiona yeye bora zaidi, mwisho wanaanza kushindana kugongwa tu, yaani we acha tu!Mitego ya akina mama si unaijua
Wakinsimulia tena ntakuitahahahhahahahahahaha jmn jmn
Nakumis pia Nan alikuficha huyoNakumisi lakini ujue , usifikiri una uhuru wa kukaa kimya hivyo bila salamu
hahahahahahaha ok sawa ila utaniita kipindi gani vile? wakati wanafanya au simulizi tuWakinsimulia tena ntakuita
Stun kanificha unajua we have a nice plan soon itakuwa waziNakumis pia Nan alikuficha huyo
Ofcourse hata maandiko yanasema mkate ulioibiwa ni mtamu( mithali), so isiwe sababu ya kujipotosha kinyume na maadili, bakini njia kuu!Daaa ila mapenzi ya kushtukiza matamuuu aseee![]()
![]()
![]()
Ha ha ha ni hatari kwakweliMkuu upo? Nyege ni hatari sana...
kweli kabisa. People dont think twice ujueHii kitu ikifanyika ofisini huwa na matokeo (hasi )na ndio mwanzo wa kushusha ufanisi ,heshima nk.ofisini nyingi zimejiangamiza Kwa mtindo huu bila wao kujua.
mhhhhhhWe unavopata kwani huwa hutii?
Yani swali lako ni sawa na kusema "una njaa kwani huwa hauli" we ulishawahi kushiba?
Huo unga nihatari Mkuu rungu linapata ganzi balaaUnga wa Congo ukiisha fanya kazi mechi ya "dondo cup" sasa wanataka iwe mechi ya "nyasi za bandia cup"

Ha ha ha wewe unataka kiphahahahahahaha ok sawa ila utaniita kipindi gani vile? wakati wanafanya au simulizi tu