Ongezeko la ngono maofisini nini sababu?

Dah! Mungu aninusuru nisije kupiga bao kwenye ofisi yangu na ole nimkute mtu anafanya uchafu wake siku hiyo hiyo anakula termination letter yake.

Ila kwa hali hii ya uchumi watu wanaona bora wajiongeze tu hela ya kwenda lodge zetu zile sasa hivi imekuwa adimu sana.
 
Wakuu habari za nyinyi jamani,

Natumaini mu wazima kabisa,

Leo nimeona nishushe haka ka uzi ambako nimekafanyia utafiti usio rasmi na nimeona kuna haja ya kukajadili.

Kwa wenzangu na mimi tulio maofisini bila shaka mtakubaliana na mimi kwamba siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana lawafanyakazi kupeana tamu maofisini baada ya saa za kazi.

Wengi hubakia baada ya saa kumi na moja au mbili wakijifanya kuwa bize bado na vimeo mbalimbali kumbe wanazuga watu wengine waondoke ili mechi zipigwe kwenye sakafu, makochi au Meza na viti vya ofisini.

Ukweli ulio mchungu ni kwamba wake zetu ambao tunaona ni watulivu nyumbani na hata weekend hawatoki nyumbani kwenda kokote kumbe mbosi wanawainamisha huko maofisini baada ya saa za kazi aisee.

Hii pia inawakumba sana wahudumu wa maofisi, masekretari na walio katika mafunzo ya vitendo wapo pia wanawake wanaowaita hapo ofisini michepuko yao waje kupiga show ofisini.

Kinachonifanya niulize ni sababu zamani ofisi ziliheshimiwa sana, baada ya saa za kazi watu walikuwa wanarudi nyumbani, ni kwanini sasahivi maofisi yamegeuka magesti ya kuchapia mpaka wake za watu? Karibuni tushee aidia hasa kama kuna wenye konfesheni za kungonoka ofisini.
Guest au Hotel ni gharama ndugu yangu
 
Dah! Mungu aninusuru nisije kupiga bao kwenye ofisi yangu na ole nimkute mtu anafanya uchafu wake siku hiyo hiyo anakula termination letter yake.

Ila kwa hali hii ya uchumi watu wanaona bora wajiongeze tu hela ya kwenda lodge zetu zile sasa hivi imekuwa adimu sana.
safi sana umejiuliza afu ukajijibu mwenyewe
 
Ndiyo maana napiga kelele cku nyingi kuwa badala ya kutafuta dawa ya ukimwi...tutafute dawa ya kufubaza nyege...ndiyo maana tunaomba msamaha kwa Mungu kwa dhambi zetu...manake ni vigumu kupita katika tundu la sindano..yaani nyege ziwepo halafu uzinifu usiwepo...
Nadhani wachina walishawaza hivyo kitambo tu
 
Duh! hii kitu ipo sana aisee, mimi pia ni muhanga wa hii habari, kuna mrembo mmoja najaribu kila siku kumuepuka ni tatizo aisee, bad thing about all this ni mke wa mtu aisee!
sababu kubwa ni kuepuka mafumanizi, kwenda na mke wa mtu lodge/guest ni very suspicious tofauti na kumalizana ofisini, wanandoa wajitathimini kuna tatizo pahala!
 
Mleta uzi unapaswa ujue kwamba mke/mume wa mtu kula UTAMU ofisini kwake ni safe zaidi kuliko kwenda hotelini/guest house. Hii tabia ya watu kula TAMU maofisini ni ya muda mrefu tu wala haikuanza hivi karibuni
 
Wakuu habari za nyinyi jamani,

Natumaini mu wazima kabisa,

Leo nimeona nishushe haka ka uzi ambako nimekafanyia utafiti usio rasmi na nimeona kuna haja ya kukajadili.

Kwa wenzangu na mimi tulio maofisini bila shaka mtakubaliana na mimi kwamba siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana lawafanyakazi kupeana tamu maofisini baada ya saa za kazi.

Wengi hubakia baada ya saa kumi na moja au mbili wakijifanya kuwa bize bado na vimeo mbalimbali kumbe wanazuga watu wengine waondoke ili mechi zipigwe kwenye sakafu, makochi au Meza na viti vya ofisini.

Ukweli ulio mchungu ni kwamba wake zetu ambao tunaona ni watulivu nyumbani na hata weekend hawatoki nyumbani kwenda kokote kumbe mbosi wanawainamisha huko maofisini baada ya saa za kazi aisee.

Hii pia inawakumba sana wahudumu wa maofisi, masekretari na walio katika mafunzo ya vitendo wapo pia wanawake wanaowaita hapo ofisini michepuko yao waje kupiga show ofisini.

Kinachonifanya niulize ni sababu zamani ofisi ziliheshimiwa sana, baada ya saa za kazi watu walikuwa wanarudi nyumbani, ni kwanini sasahivi maofisi yamegeuka magesti ya kuchapia mpaka wake za watu? Karibuni tushee aidia hasa kama kuna wenye konfesheni za kungonoka ofisini.
NA KWENYE MAGARI(PARKING) WANABANJUANA SANA.
 
Back
Top Bottom