google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,667
- 13,868
yaaani habari kama inaukweli lakini ingepata tu picha walau tuwili na kwambia ingesadikika hakikaaaa
Kuoa muhimu ila ndio hivyo mkeo akiwa mfanyakazi wa watu, mabosi wanamaliza juu kwa juu, unaletewa kiporo tu usiku!Duh, kuna haja ya kuoa kweli kwa spidi hii??

Duh!Kuoa muhimu ila ndio hivyo mkeo akiwa mfanyakazi wa watu, mabosi wanamaliza juu kwa juu, unaletewa kiporo tu usiku!
Nacheka kama mazuri!
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
We hiyo zamani ulikuwepo?.Zaman Kwan hazikuwepo nyege?
Utanifaa maana shoti zinasumbua sana.Fundi umeme
HAO WA maofisini si mshahara ndio huohuo?
Aseee!Wakuu habari za nyinyi jamani,
Natumaini mu wazima kabisa,
Leo nimeona nishushe haka ka uzi ambako nimekafanyia utafiti usio rasmi na nimeona kuna haja ya kukajadili.
Kwa wenzangu na mimi tulio maofisini bila shaka mtakubaliana na mimi kwamba siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana lawafanyakazi kupeana tamu maofisini baada ya saa za kazi.
Wengi hubakia baada ya saa kumi na moja au mbili wakijifanya kuwa bize bado na vimeo mbalimbali kumbe wanazuga watu wengine waondoke ili mechi zipigwe kwenye sakafu, makochi au Meza na viti vya ofisini.
Ukweli ulio mchungu ni kwamba wake zetu ambao tunaona ni watulivu nyumbani na hata weekend hawatoki nyumbani kwenda kokote kumbe mbosi wanawainamisha huko maofisini baada ya saa za kazi aisee.
Hii pia inawakumba sana wahudumu wa maofisi, masekretari na walio katika mafunzo ya vitendo wapo pia wanawake wanaowaita hapo ofisini michepuko yao waje kupiga show ofisini.
Kinachonifanya niulize ni sababu zamani ofisi ziliheshimiwa sana, baada ya saa za kazi watu walikuwa wanarudi nyumbani, ni kwanini sasahivi maofisi yamegeuka magesti ya kuchapia mpaka wake za watu? Karibuni tushee aidia hasa kama kuna wenye konfesheni za kungonoka ofisini.
watu mna vimichango eeeh, kashesheInawezekana watu wanaisoma namba mpaka wanashindwa ku-afford kulipia telly, inabidi wamalizane ofisini tu.
Bony nakuona nakuonaHa ha ha ile haraka na woga makes it more excited