Ongezeko la ngono maofisini nini sababu?

Ongezeko la ngono maofisini nini sababu?

Ni kushuka kwa maadili tu kwa wanadamu,ndiyo maana kuna wanaume hawapendi kuona wake zao wanaajiliwa,anakomaa mwenyewe.wanawake nao wakiwa na waume waajiliwa huishi kwa hofu kubwa na kudhani waume zao wana wanawake wengine mitaani na ofisini pia.na jibu ni NDIYO kwa sababu imekua kama ndo tabia,watu hawana hofu,hawajali,hawana upendo wa kweli kwa wenza wao wa nyumbani,na zaidi ya yote huendeshwa na tamaa iliyoota mizizi na imekomaa.dunia inayumba juu ya hilo,kuiweka sawa sijui kama itawezekana tena.
Yaani ni shidaaa ofisini michepuko bado mtaani bado club nako ee Mungu nyumbani wakirudi wamechoka na kazi kulala kwenye sofa kumbe kazi za ziada, yawezekana magu kaliona hilo ndiyo maana kafuta posho za ziada watu walikuwa wanatega muda wa kazi ili wapate kisingizio cha kugegedana maofisini aluuu, nawaza kwa sauti
 
Kipindi nafanya uharamia niliwai kuwa napeleka mke wa mtu , akawa analiwa ofisini kila jumatano na ijumaa coz mme wake ndio siku alizokuwa akichelewa kurudi home.... daah ,why mm kuja kuoa sio leo
 
Ukimwi upo sana mtu akiupata ndiyo akili inamsogea tena wanaume wengi wengi wakipima wanawaficha wake zao na kunywa dawa kimya kimya
Sometimes in this world love does not exist. Sasa y umfiche afe mapema wkt wewe meaning ME unatumia dawa? Shame on us kabisa
 
Back
Top Bottom