Ongezeko la ngono maofisini nini sababu?

Ongezeko la ngono maofisini nini sababu?

Mkuu acha tu.... Miez ka mi4 iv ilopita secretary wa boss kajifungua n boss ndo anakula mzgo mpk kesho yan....

Cha kushangaza juz mke wa boss alikuja pale job akaingia mpk ofcn kwa mme wake n kuketi then secretary akapeleka docs kwa boss n ile anatoka boss akamuuliza "Tina... how is nathan today? " demu akajibu "yupo salama leo na anakumic kweli... "

nkamchek mke wa boss ndo kwanza hana ata hbr anang'ang'aa macho tu n kukenua....

Kumbe mzee tyar ana kajifamilia kengine lohh
Mungu atusaidie, ukiangalia vinavyoendelea kwenye familia waweza gairi kuolewa kabisa.
 
Back
Top Bottom