One Struggle, Many Fronts. Forward ever, Backward Never... Tumeamua kuangalia mbele!

One Struggle, Many Fronts. Forward ever, Backward Never... Tumeamua kuangalia mbele!

Mkandara kishaonjeshwa peremende ya USALITI
Siku Zote nilikuwa najua mkandara ni kati ya Zitto au Kitilla Mkumbo.Lines Zao na Assumptions wanazojiotea na kuzisema zikiwa na misamiati fulani ya kutia uzito ,halafu conclusions wanazofikia ni za aian moja.Na wakibanwa wanaanza jiliza kuchukiwa,kuonewa wivi,kuwaita wengine hawajui, na baadae kudai ,udini,ukanda etc..ikiwa ngumu kabisa wanasusa.Then wanaibukia sehemu nyingine na kuendelea na style hiyo hiyo.
 
Last edited by a moderator:
Siku Zote nilikuwa najua mkandara ni kati ya Zitto au Kitilla Mkumbo.Lines Zao na Assumptions wanazojiotea na kuzisema zikiwa na misamiati fulani ya kutia uzito ,halafu conclusions wanazofikia ni za aian moja.Na wakibanwa wanaanza jiliza kuchukiwa,kuonewa wivi,kuwaita wengine hawajui, na baadae kudai ,udini,ukanda etc..ikiwa ngumu kabisa wanasusa.Then wanaibukia sehemu nyingine na kuendelea na style hiyo hiyo.

Mkandara kishaonjeshwa peremende ya USALITI

Kwani kuna ulazima wa watu wote kufikiri kama wewe unavyofikiri?
hata ndani ya chama ni lazma pawe nabfikira huru ili muweze kujenga chama kwa misingi thabiti.
mkiwaza sawa hamtaweza kutatua changamoto mpya zinapofika!
Naunga mkono fikira huru za watu bila kujali wanatoka katika mlengo upi..kinachotakiwa ni hoja zenye mantiki tu za kujenga tanzania tunayoitaka!


Sitoshangaa hilo likiwa kweli.
 
Unaona sasa kigeugeu nani? ya Kaizali mpelekee Kaizali, wewe unajadiliana na mimi sio Zitto wala sipo hapa kama sauti yake wala wewe sauti ya Mbowe. Hata Hivyo maana ya mimi kusema haya ilikuwa kwamba tofauti zao Nyerere na Mtei zilitupa picha halisi ya kuwepo njia nyingineyo. na hivo Tofauti baina ya Zitto na Chadema au Mbowe inatupa picha halisi ya kuwepo tofauti za kiitikadi baina ya wanachama wa Chadema. A good thing to realise..

Hivyo kuna kheri yake maana sasa tunajua Chadema ni chama cha Mrengo wa kati Kulia, na wanachama wake lazima wakubaliane na mrengo huo na Zitto na ACT yake ni Wajamaa na watu wenye kukubaliana na mrengo huo wajikate toka vyama vyote na sio CDM pekee. Binafsi nadhani huu ni mwanzo mzuri sana katika siasa za Tanzania na simtazami Zitto kama Msaliti kama nilivyomtazama Mzee Mtei miaka ile. Sikukubaliana naye lakini hakuwa mkosa ila alituonenyesha njia nyingine ya kuondokana na umaskini.
Hivyo ukinisoma kwa makini simlaumu Mtu kati yao na nawapongeza kwa tofauti zao maana kutofautiana kiitikadi ndio hasa maana ya SIASA.

Zitto hakufukuzwa chadema kwa sababu ya tofauti za kiitikadi,kwamba yeye anaamini katika ujamaa na wengine katika ubepali.

Alifukuzwa kwa sababu ya kuanzisha chama ndani ya chama na ukosefu Wa nidhamu kwa viongozi wenzake kwa kuwaporomeshea matusi.
 
Zitto hakufukuzwa chadema kwa sababu ya tofauti za kiitikadi,kwamba yeye anaamini katika ujamaa na wengine katika ubepali. Alifukuzwa kwa sababu ya kuanzisha chama ndani ya chama na ukosefu Wa nidhamu kwa viongozi wenzake kwa kuwaporomeshea matusi.
Kwanini usingemalizia tuu kuwa kajifukuzisha....SASA KM KACHAGUA UJAMAA AMBAO NYERERE ALIKIRI KUWA UMESHINDWA..SASA ANADAI NINI?Bahati mbaya sana dogo ni rahisi mprogram achague sehemu mbaya ya historia..as long as mtampa sifa ya uthubutu na kuwa mjuaji..Sasa mtangoja sana aamke hadi mwisho wa dunia....mkisema anapanga cha kufanya, anawatega, sijui ana fanya nini..sasa hivi anasubiri kuchukua misukule km wawili hivi aanze tangaza kuwa keshaibomoa chadema.
 
Sitoshangaa hilo likiwa kweli.
Kitila Mkumbo na Zitto wana ugonjwa wa kujitengenezea ndoto ili waote mchana.wana characters kibao ,Id kibao ambazo zilijaribu sana jijengea heshima hapa JF ktk ktk media.Wakiamini this time around watawatumia kujitengenezea ukuu,na kujipa back up kupitis hizo theories na character ambao watakuwa wanaitwa wachambuzi wa mambo kisiasa.Bahati mbaya Mkandala amekuwa na tabia kamili ya Zitto na encounter zangu na yeye...ziliishia kuwapa kilio kimoja,kususa,na vitabia vingine vya watoto wa mama.
 
Zzk mbona hakujibu udini anaoeneza hasa kgm.dogo mwehu tu .
CCM sijui kwanini walimruhusu atumie huo ujinga km karata yake.Sasa kilichotokea ni kwamba vijana wanazidi kuwa radicalized kizembe na baadae Zitto hana control ya kureverse effects wala hatojali unless aambiwe kuwa Dr.Slaa au Mbowe ndio wanapopatia sifa kuwatoa watu chuki za kidini ndipo nae ataamia huko.
 
CCM sijui kwanini walimruhusu atumie huo ujinga km karata yake.Sasa kilichotokea ni kwamba vijana wanazidi kuwa radicalized kizembe na baadae Zitto hana control ya kureverse effects wala hatojali unless aambiwe kuwa Dr.Slaa au Mbowe ndio wanapopatia sifa kuwatoa watu chuki za kidini ndipo nae ataamia huko.

Chadema ndo chama cha kidini na ukabila,ufipani wamejazana wachaga watupu mpaka salam imekuwa shimboni.
 
Chadema ndo chama cha kidini na ukabila,ufipani wamejazana wachaga watupu mpaka salam imekuwa shimboni.
ufipani kujaa wachaga kunahusiana nini na CDM?Pengine hujui unachosema kwa vile unadhani watu wanasikia maneno literally.Ni kwamba unasema kuwa Wachaga wapo ready kushika nafasi yoyote kabla ya wengine.Huko ufipani walifika kabal ya NCCR n CDM kuzaliwa ...kwa uwezekano huo huo wa kuingia kwa wingi ufipani ndio umewafikisha CDM na chama kingine.Ni ngumu sana kuwakosa wachaga ktk chama chochote cha kisiasa nchini.Ila kuna makabila mengi sana hayapo ktk vyama vyote.Pengine unashindwa tofautisha manafikinio n ajhudi za wachaga na udhaifu wako.
 
Mathias Lyamunda and Zitto

kuna kitu hakipo sawa unaukanaje usaliti huku kwenye hotmix alithitisha kuwa alianzisha chama na akawatanguliza wenzake
na Leo yupo nao, huku nyuma alikuwa akisisitiza kuwa atakuwa was mwisho kuondoka CDM.
Kibanga Ampiga Mkoloni hujasoma comment yangu hadi mwisho. Isome tena, am not pro Zitto and I believe with my soul he is a traitor.
 
Last edited by a moderator:
Fomu ya mali ya Zitto inaonesha ana gari moja tu!

Hivyo lawama zako zote zina hang kwenye ku-prove kuwa anamiliki hayo magari, baada ya hapo ndio uje kwenye hoja yako. Kama unashindwa kuprove beyond reasonable doubt kuwa Zitto anamiliki hayo magari mengi, ambayo kupitia kiapo cha chama chake amesema anamiliki gari moja tu!implying kuwa hamiliki haya magari unayosema, unaonaje chini ya hizi tuhuma ukaambatanisha na kadi za gari za umiliki wa hayo magari?au hata kum-tie Zitto na umiliki?

Kama unashindwa kufanya hivyo, kweli unategemea watu tukuchukulie serious?binafsi napenda kama tuhuma zinawekwa na mtu mwenye uelewa anaziweka na evidence, sio kuleta hadithi za nimesikia sehemu au kuleta picha Zitto amepanda gari flani, wangapi humu mnapanda na kuendesha magari sio ya kwenu?

nawasihi Bavicha muachane na hizi Siasa Uchwara, they are old, tiring and useless,mfike wakati mjitazame wapi mmekosea, mjirekebishe, mrudi kwa wananchi, mjenge nao hoja, huyu Zitto anawaambia amepigia mstari yote ya nyuma anaanza upya nyie bado mnamrudisha kule kule, hamuoni kuwa, ukiondoa tuhuma za usaliti this usaliti that, mmekosa hoja za kupambana nae?

Humu nimemuona Ben Saanane tu ameuliza swali la msingi na lenye kumchalenge Zitto kwenye hoja ya msingi.Katazame debate ya UK leadership, uone kama kuna mtu alikuwa napoteza muda kuongelea watu kule, watu walikuwa wanachallenge issues tu. Ifike wakati mjikite huko. By the time mnastuka hao ACT watakuwa wameimaria kwa kuwa wanawaambia wananchi kile wanataka kusikia, halafu mtawalaumu bure tu.

Kwahiyo unaamini hako ka form alikojaza Zitto? Lazima unashida kichwani.
 
Kwahiyo unaamini hako ka form alikojaza Zitto? Lazima unashida kichwani.

Hapana, naamini mtu anayebishia legal document with another legal document. Huo utakuwa mwanzo mzuri, au unasemaje?

Zitto can face criminal charges if you produce a document showing he lied on oath. Can you really pass such a fantastic chance to show what a fraud Zitto is by lying to everyone under oath?

C'mon, ndugu usiye na matatizo kichwani, lazima utakuwa na akili za kutosha kupambanua hili. Nasubiri.
 
ZZK anatishaaaaaa jaman update ya kufungua kanda ya kusin mnyika kaharbu uko kwa wamakonde. team wazalendo
 
ZZK anatishaaaaaa jaman update ya kufungua kanda ya kusin mnyika kaharbu uko kwa wamakonde. team wazalendo

Mkuu yani ni shiiiiiida ACT wazalendo wanatangaza sera,saccos ya wachaga wanatangaza maandamano utafikiri enzi za mkwawa
 
Ndugu Zitto Kabwe:

Kama kweli wewe ni mpambanaji na mpinzani wa kweli naomba unijibu maswali yafuatayo:
1. Wakati ukijua kuwa NCCR-Mageuzi ina wabunge takribani watatu mkoani Kigoma, kwanini umetoa tamko kupitia Mwananchi kuwa kama kuna mtua anataka kuwa mbunge wa Kigoma lazima ahamie ACT?
2. Kwanini Mwigamba alisema mnakwenda kuifuta CUF pwani?
3. Kwanini wanachama wa chama chako wanakalia kupambana na upinzani uliopo na hasa CHADEMA?
 
Hapana cheza kabisa na jamiiforums, humu kila mtu ana first class, ndio maana wakina Makamba wanahangaika usiku na mchana kuifungia, humu ni hoja juu ya hoja hakuna kuangalia mtu usoni ni nondo tu.
Kamanda umepingwa Ban...hii ni kazi ya vibaraka wa Zitto wanotumika sijui kwanini rafiki yangu maxence anakubali kutumika kiasi hiki....
 
Back
Top Bottom