One Struggle, Many Fronts. Forward ever, Backward Never... Tumeamua kuangalia mbele!

One Struggle, Many Fronts. Forward ever, Backward Never... Tumeamua kuangalia mbele!

Shukrani,nitasupport chama chenye ilani ya kumuondolea mzigo mwananchi na kukipigia kampeni sehemu yeyote endapo kitaondoa kodi kero zisizokuwa na kichwa wala miguu kama kitashika madaraka.

Kodi Kero hizo ni:-

1.Service Charges za Umeme za kila mwezi,Kulipa EWURA na REA.

2.Kulipia Road License(TLB) kila mwaka na hapo hapo unakatwa fedha ya kuchangia barabara ukinunua mafuta,hapo hapo serikali imeshapata kodi kwenye hayo mafuta.

3.Kulipia Fire Extinguisher kuanzia Sh 10,00/= na kuendelea inategemea na cc ya gari bila kupewa mtungi huo uliolipia.

4.Bima ya Gari ipunguzwe hii Third Party ni Kubwa Mno.

5.Kuwe na Limit ya Kuchangia Kodi kwa mtu kama ilivyo USA,Ukilipa kodi ikazidi kiwango unarudishiwa ile iliyozidi,Huku kwetu Unakatwa PAYE,Unakatwa VAT(indirect) hapo hapo ukiagiza kitu nje hakuna unafuhu hata kidogo yaani mmachinga asiyelipa kodi na mfanyakazi anayekatwa PAYE kila mwezi wakiagiza magari wote wanakatwa kodi sawa wakati mfanyakazi ameshachangiaa PAYE nyingi na hana msamaha wowote.

N.B Serikali ina vyanzo vingi vya mapato kutoka kwenye mali asili(Misitu,Bahari,Madini,Gesi),Sisemi kwamba serikali isikusanye kodi kwa mwananchi la hasha bali iondoe kodi kero.

Hili jambo muhimu sana hili, tunaomba majibu Zitto.
 
Zitto my insperational personality ever since. I wish I could believe you. Shida yangu nilikuamini sana, na unachosema sasa ni tofauti kabisa na watekelezaji wa chama chako wanavyofanya. Angalia kuanzia asubuhi hadi jioni wanapost nini mitandaoni na wanasema nini ni kutukana viongozi wa Chadema na Kuishambulia Chadema, angalia wanachama ambao wanajiunga na ACT 99% wanatoka Chadema. Hiki Chama chako umekianzisha kuwa confuse watanzania kipindi hiki muhimu cha uchaguzi? Na kwa maslahi ya nani? Ni kwa maslahi ya mabadiliko kweli?

Mathias Lyamunda and Zitto

kuna kitu hakipo sawa unaukanaje usaliti huku kwenye hotmix alithitisha kuwa alianzisha chama na akawatanguliza wenzake
na Leo yupo nao, huku nyuma alikuwa akisisitiza kuwa atakuwa was mwisho kuondoka CDM.
 
Last edited by a moderator:
Zitto my insperational personality ever since. I wish I could believe you. Shida yangu nilikuamini sana, na unachosema sasa ni tofauti kabisa na watekelezaji wa chama chako wanavyofanya. Angalia kuanzia asubuhi hadi jioni wanapost nini mitandaoni na wanasema nini ni kutukana viongozi wa Chadema na Kuishambulia Chadema, angalia wanachama ambao wanajiunga na ACT 99% wanatoka Chadema. Hiki Chama chako umekianzisha kuwa confuse watanzania kipindi hiki muhimu cha uchaguzi? Na kwa maslahi ya nani? Ni kwa maslahi ya mabadiliko kweli?

Hao "watekelezaji" una uhakika gani kama wametumwa na ACT?
Leo hii Chademakwanza utasema ametumwa na CHADEMA?
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli hatupati ruzuku. Kama ilivyo vyama vingine vyote vilipokuwa vinaanza havikuwa na ruzuku lakini vilikuwa vinaendeshwa mpaka kukomaa na kuanza kupata ruzuku. Tunapita njia hizo hizo ambazo wenzetu walipita. Tunapita kuomba kuomba na tuna mikakati ya dhati ya wanachama wetu kuchangia. Tunaendeshwa na thumni thumni za wanachama. ACT Wazalendo ni moto wa pumba, ina wanachama na wapenzi wengi sana nchi nzima. Ndio maana Mkutano Mkuu wetu ulijaa kutoka kila kona ya nchi. Vyama vingi sana vilitumia miaka mingi sana kufikia hali hii ambayo ACT Wazalendo ilifikia. Imani ya wananchi ni kubwa sana na hivyo wanachangia sana kwa wanyonge wenzao.

Tumeweka utaratibu wa kuweka vyanzo vyetu vya mapato wazi na kukaguliwa na CAG. Tutaweka kwenye tovuti ya chama

Naomba unijibu hili Zitto ACT kabla hujahamia wewe ilikwisha kuanzisha maofisi makubwa makubwa mikoa mingi ikiwamo Arusha mjini ofisi ambazo kwa hesabu ya kawaida kwa mfano ya pale Arusha mjini siyo chini ya Milioni moja kwa mwezi. Chama hiki kichanga chenye wanachama wachache kimetoa wapi fedha za kukodisha maofisi makubwa hivyo? Pia kabla hujahamia Chadema kule Kigoma ulitoa magari yako yakaanze kutumika kufanya kazi za ACT unataka kuniambia wewe ulikuwa moja ya wafadhili na waanzilishi wa ACT ukiwa bado ndani ya Chadema?
 
Last edited by a moderator:
MwanajamiiOne, unatambua kuwa Zitto alisimamishwa Chadema na alikuwa afukuzwe uanachama takriban mwaka mmoja uliopita.Sasa kwa akili zako kubwa Mwanajamiione unataka kusema ulitegemea kuwa Zitto mwaka wote huo alikuwa amekaa tu anasubiri majaliwa ya mahakama ambayo mwisho wake ungekuwa June mwaka huu?please tusijidharirishe hivi.

Ni mtoto mdogo tu ndio atakayedhania kuwa Zitto mwaka mzima aliokuwa hatakiwi Chadema basi alikuwa amekaa, hana option na hana wazo mbadala, angekuwa ni mtu mjinga sana kama angefanya hivyo.

Sawa muheshimiwa nimekuelewa so kwa mantiki hii ni kweli kuwa alikuwa anakubali kuwa amekosea Chadema na alikuwa ameshakubaliana na maamuzi yoyote ambayo Chadema ilimtuhumu. Hapa umenielewesha vizuri sana mkuu.

Na kumbuka kuuliza sio ujinga ni kutaka kuelimishwa na wewe umefanya kunielimisha. Shukrani.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Mh ZZK,, bila shaka dhamira yako ipo moyoni mwako na Mungu ndiye ajuaye siwezi kukuhukumu kwa lolote...

Kama kweli una nia ya dhati kuwakomboa watanzania masikini waliopoteza matumaini basi pambana kwa namna yoyote maana kuna siku huko baadaye historia nayo itakuimba kwa Mema uliyoitendea jamii yako... WATANZANIA BADO HAWAKO TAYARI KUKOMBOLEWA , HILI LINAWEZA KUKUKATISHA TAMAA, LAKINI USIFIKILI KUKATA TAMAA HUKU MTAANI TUNASEMA KAZA (najua unamjua CHE -GUEVARA).

MIMI NAAMINI KWENYE SIASA ZA UDIKTETA KAMA WAKINA HITTLER,MAO,LENIN, SADAM NK.. ILI TANZANIA ITOKE HAPA BASI WAPUMBAVU WENGI SANA WANAHITAJIKA KUFA, ( ulipata shida sana kwenye PAC wakati unasoma taarifa kuna mahala niliona una uchungu sana, bila udikteta wakuua wapumbavu yale hayawezi kwisha kwenye taifa hili masikini) JARIBU KUWA NA KAROHO KAUDIKTETA PIA!!
 
Naomba unijibu hili Zitto ACT kabla hujahamia wewe ilikwisha kuanzisha maofisi makubwa makubwa mikoa mingi ikiwamo Arusha mjini ofisi ambazo kwa hesabu ya kawaida kwa mfano ya pale Arusha mjini siyo chini ya Milioni moja kwa mwaka. Chama hiki kichanga chenye wanachama wachache kimetoa wapi fedha za kukodisha maofisi makubwa hivyo? Pia kabla hujahamia Chadema kule Kigoma ulitoa magari yako yakaanze kutumika kufanya kazi za ACT unataka kuniambia wewe ulikuwa moja ya wafadhili na waanzilishi wa ACT ukiwa bado ndani ya Chadema?

mkuu hili LA kuanzisha chama akiwa bado CDM alilijibu Jana kwenye hotmix na video IPO hawezi kubisha na alijisifia kabisa kwahilo.
 
Last edited by a moderator:
Mh zito nakupongeza kwa mikakati yoko ya kukomboa nchi yako lakini kutokana na tamaa za kiutawala ulionao hutafika popote shetani alitafuta umaarufu mbinguni matokeo yake hakupata na kushushwa duniani anazunguka zunguka duniani mpaka leo.
 
  • Thanks
Reactions: 999
Huyu mtu anamaneno matamu sana lakini ki ukweli si mtu wa kuaminika hata kidogo, na hii ni tabia ya watu wa Kigoma walio wengi bali si wote. Leo atakwambia hivi kesho atasema vile.

Tambwe Hiza aliwahi sema kuliko kurudi ccm ni heri akamlale mama yake, leo yako wapi. Dr Kabouru alikuwa chadema na akasababisha ccm kupata shida sana Kigoma but hatimaye amerejea ccm.

Zitto tangu uchaguzi mkuu wa 2010 uuishe kwa kweli alikuwa adimu sana katika mikutano ya chama, sijui hili atasemaje tangu m4c inaanza kwa kweli hakushiriki vya kutosha tena alipaswa kufanya kazi kubwa sana ya kukinadi chama kuliko hata Dr. Slaa, chama kilienda ;Lindi na Mtwara mapaka mauti yanamkuta mzee wa chadema yule wa shinyanga/mwanza zitto hakuwahi onekanaa huko kwa zaidi ya wiki 3, chama kikaenda morogoro mpaka muuza magazeti anauwa na polisi, zitto hayupo, chama kikaenda iringa mpaka mwangosi anauwa zitto hayupo, chama kikaenda arusha mpaka bomu linalipuka zitto hayupo hizo harakati zoote?? sasa utasema hizi zote ni coincidence kweli???

Lakini pia zikaja shutuma za yeye kuonekana kutumika na ccm na hata zikahususanishwa na kauli za wassira kuwa cdm itakuwa 2012, na kwa kweli tangu chama kimsimamishe zitto uanaachama 2013 mwishoni wassira hajasikika tena akisema ile kauli je hii nayo ni coincidence ya namana gani, zipo taarifa za kutumika 2010 kutoa siri za chama kwa ccm mpaka mwanaharisi likaanika na ushahidi wa mawasiliano ,kabla yake ilikuwa kila safari ya nje jk lazima mbebe zitto waende naye, asi if upinzania koote zito ndio kichwa, sasa sijui hata darasani alikuwa anapataga single digit au vipi...

Kwa kweli waha wengi wanatabia nyingi sana zinashabihiana na zitto huwa si wakweli, Wiki iliyopita kabla ya uchaguyzi wa chama chake alitweet akisema hatagombea uongozi wowote gafla asubuhi tayari kawa mkuu wa chama, aliyegombeana naye hayupo, yaani jina lilipita tu, kabla ya hapo aliisema tuhuma za kuwa yeye alianzisha chama ndani ya chama si kweli, lakini jana tu amekili hayo. Leo kwenye mazungumzo yake anaonyesha kuwa alikosa platform ya kupambana na ccm akiwa chadema, sasa kapata platform ya kupambana na ccm je alipokuwa CDM hakupewa platform kama naibu katibu mkuu?? mbona leo tunamuona mnyika, mdee, salimu mwalimu every where.

Mimi huwa nampimaga mtu uaminifu wake kwa kumpa chance mara mbili tu. Nikiona anafanya yaleyale aliyosema hatofanya basi huwa napiga tick kuwa huyu hatuwezi kuwa wamoja. Na ndio nilivyokwisha fanya kwa huyu zitto vijana tulimwamini sana na watu wakapenda siasa kwa ajili yake lakini zitto wa 2006 si zitto huyu wa 2015.
 
Hao "watekelezaji" una uhakika gani kama wametumwa na ACT?
Leo hii Chademakwanza utasema ametumwa na CHADEMA?

Yaan kuna watu mpaka unajiuliza anafikiri kweli?as if hawajui kuwa humu tupo watu wa aina tofauti wa akili tofauti, sasa mtu kuanza kuamini kuwa eti fulani, asiyemjua, mwenye jina bandia, eti anachoongea ni kwa niaba ya chama au watu fulani, ni utoto tu uliojaa humu.
 
Last edited by a moderator:
Ninachokiona hapa ni kuwa,tuna tatizo kubwa sana la kukosekana "flexibilty" miongoni mwa viongozi wa vyama vya upinzani kwa upande mmoja na sisi mashabiki wa vyama vya siasa kwa upande mwingine.Kukosekana huku kwa flexibility miongoni mwa wanasiasa wetu ndio kuliko changia umoja kama huu wa UKAWA tulionao leo hii kuchelewa kupatikana.

Hata hivyo,nawapongeza viongozi wa vyama vya upinzani waliogundua tatizo hili la flexibility na kuli-overcome kwa kukaa pamoja na kuanzisha UKAWA.

Hivyo basi,na sisi mashabiki na wapenzi wa vyama vya siasa tunapaswa ku-exercise flexibiliy,lakini kwa tahadhari kubwa,ili tuifikie ile nchi ya ahadi tunayoililia kila kukicha.

Japo wanasiasa hawaaminiki,flexibility katika kufikia maridhiano/makubaliano ni jambo la muhimu sana kwa mafanikio yoyote ya kisiasa ila tu maridhiano/makubaliano hayo yasiwe ya kukurupuka na yafanywe kwa tahadhari.

Tutoe nafasi kuwapima ACT kwani muda pekee ndio msemakweli then flexibility "inaweza" kuchukua nafasi yake.

Note:Kipimo cha muda pekee bila flexibilty ya pande zote ni bure.
 
Zitto,

Kiongozi naomba ufafanuzi wa maneno yako haya Sasa tunanze na kifungu kimoja kimoja, maana naposoma Azimio la Arusha linasema hivi:-

SIASA YA UJAMAA

(a) Hakuna Unyonyaji:
Nchi yenye Ujamaa kamili ni nchi ya wafanyakazi: hainaubepari wala ukabaila. Haina tabaka mbili za watu: tabaka ya chini ya watu wanaoishi kwa kufanya kazi, na tabaka ya juu ya watu wanaoishi kwa kufanyiwa kazi. Katika nchi ya Ujamaa kamili mtu hamnyonyi mtu, bali kila awezaye kufanya kazihufanya kazi, na kila mfanyakazi hupata pato la haki kwa kazi aifanyayo na wala mapato ya wafanyakazi mbali mbali hayapitani mno.

Katika nchi ya Ujamaa kamili watu peke yao ambao huishikwa jasho la wenzao, na ni haki yao kuishi kwa jasho la wenzao ni watoto wadogo, wazee wasiojiweza, vilema na wale ambao kwa muda, Jumuiya imeshindwa kuwapatia kazi yoyote yakujipatia riziki kwa nguvu zao wenyewe. Nchi yetu ni nchi ya Wakulima na Wafanyakazi, lakini sii nchi ya Ujamaa kamili. Ina misingi ya ubepari na ukabaila na vishawishi vyake. Misingi hii ya ubepari na ukabaila yawezaikapanuka na kuenea.

Hadi kufikia hapo ACT inakubaliana kwa kiasi gani na dhana hiyo kwamba hakuna UBEPARI wala UKABAILA. Kwa maana hiyo misingi ya UBepari ni ipi na UKabaila ni ipi katika Tanzania ya leo.

Swali zuri sana Mkuu , sio Tanzania ya leo pekee, ni ulimwengu mzima hakuna anayeubiri ujamaa sasa hivi. Na NWO ishatangazwa kitambo tuu sasa ni ujamaa upi ambao anaongelea. Dunia ipo katika Capitalism si socialism.

Ngoja nisubri atavyokujibu kwanza
 
Hapana cheza kabisa na jamiiforums, humu kila mtu ana first class, ndio maana wakina Makamba wanahangaika usiku na mchana kuifungia, humu ni hoja juu ya hoja hakuna kuangalia mtu usoni ni nondo tu.

Halafu leo ni great thinkers tu sijaona maswali ya akina Ritz type kwanza hawezi kuigusa hii mada
 
Last edited by a moderator:
fikirikwanza

Siasa ni mapambano. Siwezi kuacha mapambano. Sijawahi fanya usaliti wowote. kuitana majina hayo hakusaidii lolote zaidi ya kufurahisha ego zetu tu. ACT Wazalendo ina shabaha moja tu nayo ni kupambana na mfumo wa uchumi unaonyonya watanzania. Ku surrender mapambano hayo ndio usaliti. Tutaendelea kupambana


Zitto,
Hebu jibu haya maswali,
1.Nini ilikuwa lengo la katibu wako kusema kuwa," Act itaisambaratisha CUF katika mikoa ya Lindi,Pwani,Mtwara,na Tabora?

2. Kama hujaanzisha chama ndani ya chama,uliwezaje kuaminiwa na Act kwa kupewa uongozi wa juu hivyo kuliko hata ndani ya chadema na ccm?

3. Unadhitisha vipi viongozi waliohamia Act toka chadema,walikuwa hawajapata chama kinachosawiri sera, falsafa na imani yao?, kama sio madaraka?


4.kama unalengo moja,kwa nini viongozi wengi na wanachama wako,ni wale wanaohama toka chadema na si ccm?

5. Kama ni kupambana na ccm,huoni Act inakila aina ya mazingira kura?

6.Ilikuwaje 2010 ndani ya kampeni,huku ukijua kuwa hadi 2015 umri usingetosha kugombea urais,lakini ukasema utagombea ?, huoni ulikuwa unagawa kura zenu na kuwaaminisha watu kuwa Dr,Slaa hatoshi?
 
Last edited by a moderator:
Ninachokiona hapa ni kuwa,tuna tatizo kubwa sana la kukosekana "flexibilty" miongoni mwa viongozi wa vyama vya upinzani kwa upande mmoja na sisi mashabiki wa vyama vya siasa kwa upande mwingine.Kukosekana huku kwa flexibility miongoni mwa wanasiasa wetu ndio kuliko changia umoja kama huu wa UKAWA tulionao leo hii kuchelewa kupatikana.

Hata hivyo,nawapongeza viongozi wa vyama vya upinzani waliogundua tatizo hili la flexibility na kuli-overcome kwa kukaa pamoja na kuanzisha UKAWA.

Hivyo basi,na sisi mashabiki na wapenzi wa vyama vya siasa tunapaswa ku-exercise flexibiliy,lakini kwa tahadhari kubwa,ili tuifikie ile nchi ya ahadi tunayoililia kila kukicha.

Japo wanasiasa hawaaminiki,flexibility katika kufikia maridhiano/makubaliano ni jambo la muhimu sana kwa mafanikio yoyote ya kisiasa ila tu maridhiano/makubaliano hayo yasiwe ya kukurupuka na yafanywe kwa tahadhari.

Tutoe nafasi kuwapima ACT kwani muda pekee ndio msemakweli then flexibility "inaweza" kuchukua nafasi yake.

Note:Kipimo cha muda pekee bila flexibilty ya pande zote ni bure.

Mkuu Salary Slip are you serious? kweli kabisa

Unaongelea flexibility upi huo? Zitto hapa kaulizwa maswali ya msingi na kakimbia bila kuyajibu.

Hatuwezi kumpa mnafiki na msaliti muda wala fursa kwa sababu yeye Zitto na chama chake ACT wana nia ovu ya kudhoofisha upinzani

KATIBA ya ACT inasema mwanachama mpya atakaa miezi 6 bila uongozi lakini zitto ndani ya siku moja tayari ndie kiongozi mkuu wa chama
 
Last edited by a moderator:
Well, Zitto ni NPD person -- yaani ana narcissistic personality disorder. Watu wa design hii wanaamini ulimwengu unapaswa kuzunguka juu yao. Ni wagumu kufanya nao kazi balaa.

Kitu kimoja ni cha uhakika. Kwa vile NPD ni watu wanaopenda tamaa sana ya kusifiwa, kuonekana bora, kushine kuliko wengine, kutopenda criticisms, kujenga cult of personality inayowatenga watu kati ya makundi mawili either ukikubaliana na Zitto u rafiki yake(inner circle) but ukimcriticize u adui yake -- taasisi ya ACT haifiki popote. Wataparanganyika tu na Zitto ndie atakaekuwa chanzo cha mparanganyiko huo.

And oh, NPDs talk lies. Wanaahidi mengi wanatekeleza machache. Wanafanikiwa kidogo, wanakuza sana mafanikio yao kuliko uhalisia. Wanajenga taswira feki ya maisha yao, kwamba wana uwezo wa ajabu, wana maono ya ukweli, na ni masihi wa ukombozi. Wanajaminisha kwanza kuiamini taswira yao feki, na kisha, kwa kutumia uwezo waliojaliwa wa ushawishi wanawaaminisha wengine kuiamini taswira yao.

Na NPDs huwatumia watu kama ile mipira yetu. Ikishatumika hutupwa na haitakumbukwa tena!

Kila la kheri Zitto, kila la kheri ACT! (As if Zitto na ACT ni vitu viwili tofauti)
 
Zitto

Maneno na matendo yako ni tofauti kabisa. Unayoyazungumzia kuwa ndizo sababu za wewe kuunda chama cha ACT ni tofauti na tuhuma kubwa ulizokamatwa nazo ulipokuwa CHADEMA na kupelekea kufukuzwa kutoka chama hicho.

Katika andishi lako ukiwa na team yako ie. Kitila na Mwigamba kuhusu mapinduzi ndani ya CHADEMA kinyume cha katiba ya chama hakuna jambo hata moja kati ya hayo uliyoyaorodhesha hapo juu lilikuwa kwenye andiko lile. Je, huoni kuwa wewe ni mwongo? Je, kama kila leo unakuja na jipya ukiamini Watanzania ni wasahaulifu, huoni kuwa ACT na CCM ni sawa na mwanaume mrafi wa ufisadi wa mapenzi (CCM) na nyumba ndogo yake (ACT)? au gari na spare taili?

Kama unania ya ukombozi na hayo mayagoyombwe ya kuongeza mashambulizi ya utitili wa vyama vya siasa ukitetea hoja dhaifu ya kuwa wengi kushambulia chama kimoja ukijificha kwenye mwanvuli huo ambao bado unakutanaibaisha ulivyo na mawazo kuwa una akili kuliko wengine jambo ambalo sio kweli hata kidogo, unaweza kueleza hapa Watanzania tukuaminije kuwa ulikosa nafasi ya kuishambulia CCM ulipokuwa CHADEMA ilihali wakati chama kilikuwa kikipanga mashambulizi dhidi ya CCM wewe ulikuwa unakwepa unafanya yako Kigoma, CHADEMA ilipokuwa Ruvuma wewe ulikuwa Arusha n.k Na ilitokea mara nyingi hadi tuliokuwa wapenzi wa CHADEMA tukaumizwa na tabia yako hiyo ya kukwepa harakati za ukombozi. Je, huoni kuwa unadanganya kuwa ulikosa fursa ndani ya CHADEMA bali kuna ubinafsi ulio nao baada ya kujiswahibisha maadui wa Watanzania CCM? Ukawa unashindwa kuwashambulia kwenye mikutano ya hadhara.

Baada ya matukio ya mauaji ya Watanzania wenzetu huko Soweto kwenye mkutano wa CHADEMA na maeneo mengine ya Arusha haukushiriki kabisa majonzi na Wana-Arusha ulikula kona ukauenda Dar sawa na wana-CCM waliokuwa walioendelea kufanya kazi za kibunge huku Watanzania wakiangamizwa na mabomu yaliyoratibiwa na wapinzani wa CHADEMA. Je, na katika hilo CHADEMA walikuzuia kushiriki matanga ya kinyama. Hapo ni kwa ufupi sana.

Kwa kutumia sylogism ya kawaida tu, hata mtu mwenye akili ya kawaida atagundua kuwa kamwe wewe sio mkweli bali unaenda na media publicity kupotosha wasio na taarifa za ukweli kuhusu wewe kuwa wewe ndiye umefanyia kazi ya kuweka hadharani ufisadi wa CCM ilihali hakuna hoja hata moja uliyoianzisha ukaikamirisha.

Kama kuna eneo lisilo na ukweli kati ya hayo machache sana, tupe ukweli unaoujua wewe kuhusu hayo.
 
Back
Top Bottom