One Shot, One Kill: Russia Creates World’s 1st Para-Drop Air Defense System

One Shot, One Kill: Russia Creates World’s 1st Para-Drop Air Defense System

tatizo unakunjw san gongo ndo maan mgumu kuelew,maan ya nchi tajiri ni nchi ambayo inajiendesh yenyew na maish ya wananchi yanakuw mazuri na maitaji yote muhimu yanapatikan

pale nilipokuwa nawakuta mnakunywa mie nilikuwa nakuja tu kumsalimia mjomba, mie huwa situmii aisee.
unazungumzia utajiri?! hata mzee bakhresa ni tajiri sana lakin ebu angalia kwenye list ya matajiri duniani!! ndo maana unaambiwa russia ni regional super power hata kwenye utajiri russia ni regional tajiri na dangote ni regional tajiri
 
Hivi kuwa na wanaheshi wengi ndio kuwa super power? Au kuwa na vifaru ama ndege nyingi ndio usuper power?

Tanzania inaweza kuwa na ndege nyingi kuliko Burundi lakini je zimetengenezwa lini?

Tunaweza kuwa na makombora mengi masafa marefu kati na mafupi lakini capability yake?

Je superpower tunaangalia kupiga tu au hata uwezo wa kujilinda? Kwa maana radar systems, misiles etc

Kiwango cha makombora ya nyuklia, WMD je?

Tupeni balanced stories lakini kwa kuangalia uwezo wa kupiga na kujilinda

Hebu pro Russia na pro USA tupeni comparison

usuper power sio masuala ya jeshi tu
 
walipiga kelele we crimea irudi lakin hadi leo kimy mpak wamenyamaz.putin kashasema Poland wajiandae maan wao ndo wanachong san
Dogo umewahi kutumia bangi nini?
Maana unaandika mwenyewe unajijibu mwenyewe, umejaza uzi huu kwa kujiuliza maswali na kujijibu mwenyewe

Halaf Ukraine hakua mwanachama wa NATO

Poland ni mwanachama na ni moja ya nchi mwenyeji wa mazoezi ya NATO, Russia hawezi kuivamia Poland

Russia analia kila siku kuwa marekani kupitia NATO wanamzunguka wanamsogelea mpakani kwake halaf ww unaongea kitu gani

Bangi hizi sio nzuri vijana
 
Pastor una akili sana, nimeukubali uchambuzi wako

Nimeelewa itachukua miaka mingi kwa Russia kuwa super power kama america,
Nimeelewa pia sio masuala ya kijeshi tu yanayofanya nchi kuwa mfalme wa dunia

Kuwa super power pia unapaswa uwe na ushawishi na nchi nyingi duniani kama ilivyo America, America ina ushawishi juu ya serikali nyingi duniani

Russia hata Africa mashariki tu hana ushawishi achilia mbali kwingineko

Katika mgogoro wa Syria Russia amebaki yeye, Iran na Syria, Nchi nyingine zote ziko na marekani, Saudi Arabia, Qatar, Jordan, Kuwait, Bahrain, Turkey, Egypt na kadhalika
Ni ajabu sana

Majirani zake karibu wote Russia ana uadui nao, Russia hana uhusiano mzuri na nchi nyingi zinazomzunguka zikiwemo Estonia, Latvia, montenegro, Slovenia Macedonia, Georgia, Poland, Sweden, Finland, wote hawa ni maadui wa Russia na ni majirani zake, just imagine hata vi nchi vidogo vinamgomea, halaf anataka kuwa super power

Pastor usichoke kuwasaidia hawa vijana, Mungu akubariki
Hata akiwa na uhusiano wake na Estonia au Latvia ni wa lose lose relationship.
Angalia uhusiano wake na Iran, China, India, Brazil... Huu unalipa. Anatengeneza billions of money kupitia military & energy contracts..
 
tatizo unaongea vitu usivyovijua kabisa na wala huna uelewa navyo, ebu angalia biashara na thamani yake baina ya US na china, US na Brazil, US na India afu linganisha na biashara baina ya urusi na china, urusi na brazil, urusi na india afu uje hapa useme mwenyewe
 
mkuu Rassia ana haki ya kuwa silaha kali kwa sababu ana maadui wengi, na lazima tukirl hao Nato hata wasaidiwe na USA ,Israel hio vita itaiacha Ulaya nzima kama Jangwa
 
Hata akiwa na uhusiano wake na Estonia au Latvia ni wa lose lose relationship.
Angalia uhusiano wake na Iran, China, India, Brazil... Huu unalipa. Anatengeneza billions of money kupitia military & energy contracts..
Ni wazi kwa maelezo haya viroba vinahusika

Nakushauri ukatafute taarifa sahihi kuhusu biashara na uchumi uweze kuona biashara kati ya marekani na nchi za dunia ya pili yaani india, Brazil, Indonesia, Japan, Bangladesh halaf usome pia biashara ikoje kati ya Russia na hizo nchi

Kumbe hata habari za uchumi huzijui, nili suspect siku nyingi huwa mnatumia viroba kumbe kweli

Yaani unabishana bila data za kiuchumi ili uonekane unajua kumbe la
 
Dogo umewahi kutumia bangi nini?
Maana unaandika mwenyewe unajijibu mwenyewe, umejaza uzi huu kwa kujiuliza maswali na kujijibu mwenyewe

Halaf Ukraine hakua mwanachama wa NATO

Poland ni mwanachama na ni moja ya nchi mwenyeji wa mazoezi ya NATO, Russia hawezi kuivamia Poland

Russia analia kila siku kuwa marekani kupitia NATO wanamzunguka wanamsogelea mpakani kwake halaf ww unaongea kitu gani

Bangi hizi sio nzuri vijana
inaonekan macho yako ayaoni vizur wew
 
3ca1f239d3143effae058af45d979885.jpg

aya angalia vizuri inazungukw vipi?
 
we unafikiri kule eastern europe NATO inatafuta kupigana na russia?watu wanamzunguka ili kuweka economic barriers mkuu,USA now days wamewekeza sana kwe economic welfare mkuu...hata USSR haikuangushwa kwa missiles mkuu.
Kujijenga kiuchumi Na kuwalinda wajingawajinga europe
 
Hata akiwa na uhusiano wake na Estonia au Latvia ni wa lose lose relationship.
Angalia uhusiano wake na Iran, China, India, Brazil... Huu unalipa. Anatengeneza billions of money kupitia military & energy contracts..
Kwanza amepunguza imports lkn bado ana export oil prdcts kwa hao hao walioweka vikwazo
 
Kujijenga kiuchumi Na kuwalinda wajingawajinga europe
uwezo wa kuwalinda euorpe from russia kwa kweli ni mdogo ukizingatia how great russia millitary strength is,sema europe patakua battle ground ikiwa mjinga mmoja akinukisha hasa kule kwa kina poland
 
tatizo unaongea vitu usivyovijua kabisa na wala huna uelewa navyo, ebu angalia biashara na thamani yake baina ya US na china, US na Brazil, US na India afu linganisha na biashara baina ya urusi na china, urusi na brazil, urusi na india afu uje hapa useme mwenyewe
daah mkuu huyo hawez kurudi
 
List of the largest trading partners of India:

Rank Country Exports Imports Total Trade Trade Balance
- All countries 310,338.47 447,964.38 758,301.08 -137,625.92
1 China 11,934.25 60,413.17 72,347.42 -48,478.91
2 United States 42,448.66 21,814.60 64,263.26 20,634.05
3 United Arab Emirates 33,028.08 26,139.91 59,167.99 6,888.17
4 Saudi Arabia 11,161.43 28,107.56 39,268.98 -16,946.13
5 Switzerland 1,068.58 22,133.16 23,201.74 -21,064.58
6 Germany 7,537.34 12,787.86 20,325.20 -5,250.52
7 Hong Kong 13,599.88 5,571.99 19,171.87 8,027.89
8 Indonesia 4,043.32 15,004.64 19,047.96 -10,961.32
9 South Korea 4,602.95 13,529.11 18,132.06 -8,926.16
10 Malaysia 5,816.55 11,117.74 16,934.29 -5,301.19
11 Singapore 9,809.36 7,124.47 16,933.83 2,684.89
12 Nigeria 2,681.37 13,682.97 16,364.34 -11,001.60
13 Belgium 5,519.47 10,805.92 16,325.39 -5,286.46
14 Qatar 1,054.98 14,604.71 15,659.69 -13,549.74
15 Japan 5,385.57 10,131.36 15,516.93 -4,745.79
16 Iraq 829.32 14,247.66 15,076.98 -13,418.34
17 Kuwait 1,198.89 13,381.97 14,580.85 -12,183.08
18 United Kingdom 9,319.73 5,018.28 14,338.01 4,301.46
19 Iran 4,175.06 8,955.02 13,130.08 -4,779.96
20 Australia 2,782.13 10,247.24 13,029.38 -7,465.11
21 Venezuela 258.07 11,729.89 11,987.96 -11,471.82
22 South Africa 4,161.29 7,562.83 11,724.12 -3,401.54

cc SamTu160
 
List of the largest trading partners of China

Rank Trading Partner Total trade
1 United States 521
2 Hong Kong 401
3 Japan 312.55
4 South Korea 274.24
5 Taiwan 197.28
6 Germany 161.56
7 Australia 136.37
8 Malaysia 106.07
9 Brazil 90.27
10 Russia 89.21

cc SamTu160
 
largest Trading Partners of Brazil

China – 34,2%
USA – 32,4%
Argentina – 16,4%
Germany – 14,2%
South Korea – 9,1%
Nigeria – 1,2%
Japan – 1,1%
Italy – 1,1%
France – 1%
India – 1%
cc SamTu160
 
Elimu sio lazima uende lecture room au theatre za vyuoni...
Kuna mwehu hapa anasema F22 & F35 Lightning II hii technology anayo USA tu dah. Hizi ni stealth Fight Jets, modern technology ambayo inatumika pia kwenye sub Marines & ICBMs kukwepa radar detection. Kwa taarifa yako China, Russia, USA wote Wana best stealth fighter Jets.
China ana J20 & J30, Russia pia ana PAK FA au Tu 50, Su 35. Japan pia miezi ya nyuma Mistubish wame manufacture stealthy fighter Jet ATD - X.

Hizo zote za wachina, warusi, wajapan n.k hazipo operational. Zipo on different design/prototype/experimental/testing stages. Kwa hiyo, si kweli kwamba Russia na China wana best stealth fighter jets. Kwa lugha rahisi, bado wanazitengeneza na hawajamaliza bado.
 
Sifa za Urusi. 1. Uchumi mbovu, 2. Nchi ina ubaguzi, ukitaka upewe uongozi basi utoke either Moscow au Santa Petersburg, kwingine no.3.Wao wanawaza kutengeneza na kuonyesha siraha kama North Korea sio kuonyesha maisha bora.4.Wana ubabe wa kibwege.5.Uchumi dhaifu inazidiwa ata na Brazil kiuchimi.6.Wanahadithia vita tu kila siku lakini hawapigani.
Uchumi upi huo mbovu wangewezaje kutengeneza hizo silaha???
 
ukisoma post namba 96, 97 na 98 utagundua US ni deal kubwa kwa china, india na brazil ila utashangaa waswahili wa jamii forums wanazinasibisha nchi hizi na russia lakin ukweli sio hivyo. mfano biashara baina ya china na US ni kubwa mno zaidi ya biashara baina ya bara zima la afrika+urusi
 
Ni mwehu tu ndio anaweza kubisha
 
Back
Top Bottom