Lakini kumbuka hawezi kufanya kitu pasipo ushirikiano na ufaransa gemany uingereza china japani na kadhalika hapo ndipo anapomweza russia tu zaid ya hapo hawezi kitu kwa russia nduguUfalme upi huo akipoteza?
Mfalme wa dunia kwa sasa ni marekani,
Dunia nzima tunatumia pesa ya marekani kuuza na kununua
Marekani inaweza kuziamuru chochote nchi nyingi duniani na zikafuata, zikiwemo nchi kubwa za dunia ya pili, Brazil, India, Pakistan, Nchi za ulaya mashariki, hizi za Africa ndio usiongee
Marekani ndio nchi pekee inaweza kumuwekea vikwazo mtu au taifa lolote, hata tunavyozungumza hapa Russia iko Chini ya vikwazo vya marekani na anabembeleza viondolewe
Kwa taarifa zilizopo, kulingana na maelezo ya wachunguzi na wafuatiliaji wa mambo ya kijeshi bado Kuna gap la kitechnologia kati ya marekani na Russia Ingawa gap hilo linapungua siku hadi siku, kwa maneno mengine America bado iko mbali ya Russia kijeshi, warusi hawajakataa ila wanafanya jitihada kuifikia marekani, unless kama unasoma taarifa za upande mmoja zinazokupotosha
Mgogoro mmoja tu wa Syria hauwezi kulifanya taifa likaitwa supper power, na bado mgogoro wenyewe ni mbichi na haujapata mshindi kwa maana ya ufumbuzi wa kisiasa, na bado marekani ina plan nyingi
Marekani ataendelea kuwa Mfalme wa dunia kwa Muda mrefu akitawala sekta ya fedha na mifumo yote ya kifedha duniani, ndio maana Iran hata sasa analalamika kuwa wamarekani hawajamuingiza kwenye financial system ya dunia hivyo anapata taabu kuuza na kununua
Russia na China ni global powers lakini sio supper powers, hawajakidhi vigezo vya kuitwa hivyo, in fact Hali ya uchumi wa Russia ni mbaya, hili ni jambo ambalo wengi hatulijui, ndio maana anaingizwa mwishoni kama G8, wenzie wote wale saba G7 wanamzidi utajiri
Silaha
Silaha anayotengeneza mrusi ni kawaida kabisa kwa mataifa makubwa, haina maana wenzio hawatengenezi, Defense magazine kila siku inaeleza air defenses mbali mbali ikiwemo hizo portable za ku ku drop sehemu flan, hakuna ambacho mrusi anatengeneza marekani hatengenezi
Hata media yenye propaganda kuliko zote Russia inakubali kupitia makala zake mbali mbali kuwa America iko mbele ya Russia isipokua Russia inafanya kazi kubwa kuliziba hilo gap
Bahati mbaya Sana wengi mnauchukulia mgogoro wa Syria pekee kama kigezo, mgogoro ambao unabadilika sura kila kukicha and is far from over, mnasahau marekani ambae katika hii miaka kumi iliyopita amewaondoa madarakani kwa nguvu wababe wa dunia waliiogopwa kote saddam hussein, muamar Gaddafi, utawala wa taliban, na kununua Osama bin laden, na anaweza kumuondoa yoyote anaeleta ujeuri
Russia hajafika huko,
Kwa mujibu wa takwimu za kijeshi America ana ndege za kivita 13,400 Russia ana 3,000 na China 2,000
Hapo hatujaenda kwenye ubora
Itachukua miaka mingi au mwisho wa dunia kwa urusi kuwa Mfalme wa dunia hii
Siraha= silahasiraha hazifanyi kaz gazetini, wala vita havipiganwi kwenye papers, afu haya magazeti si ndo tunasemaga ni ya propaganda za magharibi?! au kwa kuwa yameandika unachopenda kusikia hivyo umeamua kuyaamini kwa dharura!!
Na siku zote russia na marekani hawapigani hata siku 1 wanazinguana tu kwa kua wanajuana vizuri na siku zote russia kijeshi yuko juu ya nchi zote duniani huu ni ukweli unaofichwa na marekani na washirika wakeHumu kunawatu wanachekesha sana ila mkae mkijua hakuna kiumbe au binadamu anaweza kuivamia Rassia kijeshi. hat Dunia nzima iunganishe majeshi yote na. Mrusi asimame pekeake
Hahaaa hii ni nchi yenye eneo kubwa barani ulaya iko juu kwa kila kituTena wametengeneza RS-28 SARMAT na kwa jina lingine ni SATAN2. Ni shetani kweli kama NATO walivyoiita ni Stealth Nuke ambayo hata radar haishiki na ina uwezo wa wakuisambaza nchi kama France au ukubwa wa Texas kwa sekunde kadhaa,
Ni tishio kubwa kwa magharibi huyu Russian
![]()
mh! kuna watu wanachekesh san nchi kam hii unawezaje kuizunguk maan mi naon kidog wangekuw na base kazakhstan ndo tungesema kazungukw
Fafanua kwa kutumia vigezo kisayansi kumbuka hili ni swala la kivita, sio swala la kishabiki, siasa wala mapenzi-tueleze kuhusu ,mipango yao ,uwezo wa vifaa vyao magari, ndege aina,uwezo na idadi yake ,mabomu uwezo na masafa yake , meli za kivita teknologia zao vitu kama uwezo wa kuonekana na kutoonekana kwenye radar utayari wa vifaa hivi endapo vinahitajika na mifumo ya kivita inapotumika kwa ujumla wake ,tofauti ya uwezo wa kimfumo kwa mifumo hii.Vinginevyo unajifurahisha kutoa statements ka unazotoa it is a very complicated business .Kijeshi russia kwa sasa iko juu kuliko marekani russia inazidiwa na marekan kiuchumi tu lakini kijeshi kwa sasa russia yuko juu ya marekani
Watanzania wengi huongelea na kuchangia mada mbalimbali kwa ushabiki na bila kuwa na taarifa muhimu kuhusu wanachozungumzia,utasikia ooh russia yuko vizuri kivita kuliko Mmarekani, Russia an aircraft carrier moja ngogo na ambayo lazma iambatane na tug boats isije ikakwama wakati mwenzie anazo kumi full functional zenye teknolojia ya kisasa....itaendeleaUfalme upi huo akipoteza?
Mfalme wa dunia kwa sasa ni marekani,
Dunia nzima tunatumia pesa ya marekani kuuza na kununua
Marekani inaweza kuziamuru chochote nchi nyingi duniani na zikafuata, zikiwemo nchi kubwa za dunia ya pili, Brazil, India, Pakistan, Nchi za ulaya mashariki, hizi za Africa ndio usiongee
Marekani ndio nchi pekee inaweza kumuwekea vikwazo mtu au taifa lolote, hata tunavyozungumza hapa Russia iko Chini ya vikwazo vya marekani na anabembeleza viondolewe
Kwa taarifa zilizopo, kulingana na maelezo ya wachunguzi na wafuatiliaji wa mambo ya kijeshi bado Kuna gap la kitechnologia kati ya marekani na Russia Ingawa gap hilo linapungua siku hadi siku, kwa maneno mengine America bado iko mbali ya Russia kijeshi, warusi hawajakataa ila wanafanya jitihada kuifikia marekani, unless kama unasoma taarifa za upande mmoja zinazokupotosha
Mgogoro mmoja tu wa Syria hauwezi kulifanya taifa likaitwa supper power, na bado mgogoro wenyewe ni mbichi na haujapata mshindi kwa maana ya ufumbuzi wa kisiasa, na bado marekani ina plan nyingi
Marekani ataendelea kuwa Mfalme wa dunia kwa Muda mrefu akitawala sekta ya fedha na mifumo yote ya kifedha duniani, ndio maana Iran hata sasa analalamika kuwa wamarekani hawajamuingiza kwenye financial system ya dunia hivyo anapata taabu kuuza na kununua
Russia na China ni global powers lakini sio supper powers, hawajakidhi vigezo vya kuitwa hivyo, in fact Hali ya uchumi wa Russia ni mbaya, hili ni jambo ambalo wengi hatulijui, ndio maana anaingizwa mwishoni kama G8, wenzie wote wale saba G7 wanamzidi utajiri
Silaha
Silaha anayotengeneza mrusi ni kawaida kabisa kwa mataifa makubwa, haina maana wenzio hawatengenezi, Defense magazine kila siku inaeleza air defenses mbali mbali ikiwemo hizo portable za ku ku drop sehemu flan, hakuna ambacho mrusi anatengeneza marekani hatengenezi
Hata media yenye propaganda kuliko zote Russia inakubali kupitia makala zake mbali mbali kuwa America iko mbele ya Russia isipokua Russia inafanya kazi kubwa kuliziba hilo gap
Bahati mbaya Sana wengi mnauchukulia mgogoro wa Syria pekee kama kigezo, mgogoro ambao unabadilika sura kila kukicha and is far from over, mnasahau marekani ambae katika hii miaka kumi iliyopita amewaondoa madarakani kwa nguvu wababe wa dunia waliiogopwa kote saddam hussein, muamar Gaddafi, utawala wa taliban, na kununua Osama bin laden, na anaweza kumuondoa yoyote anaeleta ujeuri
Russia hajafika huko,
Kwa mujibu wa takwimu za kijeshi America ana ndege za kivita 13,400 Russia ana 3,000 na China 2,000
Hapo hatujaenda kwenye ubora
Itachukua miaka mingi au mwisho wa dunia kwa urusi kuwa Mfalme wa dunia hii
we kweli hamn kitu izo aircraft carrier kw urusi ziwe nying za nin,kombora linakata mabara sasa kun aja gani ya kupotez tu pesaWatanzania wengi huongelea na kuchangia mada mbalimbali kwa ushabiki na bila kuwa na taarifa muhimu kuhusu wanachozungumzia,utasikia ooh russia yuko vizuri kivita kuliko Mmarekani, Russia an aircraft carrier moja ngogo na ambayo lazma iambatane na tug boats isije ikakwama wakati mwenzie anazo kumi full functional zenye teknolojia ya kisasa....itaendelea

Mkuu suala la air craft carriers lilishajibiwa humu.Kwanza naomba ufahamu kua Air craft carrier sio silaha bali ni chombo cha kubeba ndege ndani ya maji. Mimi naweza kuiita air craft carrier kama PANTONI YA KLUBEBA NDEGE. Urusi hashindwi kutengenza hizo carrier labada kwa vile ndege zake zinzweza kwenda umbali mrefu zaidi kuliko za Marekani.Halafu huenda Urusi anaona ni rahisi sana hizo carriers kupigwa na kusababaisha hasara kubwa.Watanzania wengi huongelea na kuchangia mada mbalimbali kwa ushabiki na bila kuwa na taarifa muhimu kuhusu wanachozungumzia,utasikia ooh russia yuko vizuri kivita kuliko Mmarekani, Russia an aircraft carrier moja ngogo na ambayo lazma iambatane na tug boats isije ikakwama wakati mwenzie anazo kumi full functional zenye teknolojia ya kisasa....itaendelea
hawa jamaa kila siku wanatengenez siraha mpya,yani ni ngum kuwazuiy awa jamaa kweny vita
wewe dogo una akili kuliko umri wako. TU 160 Inaweza kufika mahali popote duniani na kuwa juu ambapo hakuna ant aircraft missile yeyote ya marekani na maswahiba zake inaweza kufika. hiyo aircraft carrier moja ya Urusi ni kutaka kuonesha kua anaweza kutengeneza kitu kama hiyo.we kweli hamn kitu izo aircraft carrier kw urusi ziwe nying za nin,kombora linakata mabara sasa kun aja gani ya kupotez tu pesa
Unajiabisha sana na kuwaabisha wanawake wenzio,watu wanajadili issues wewe unajadili herufi. hii sasa ndo inafanya watu waamini kuwa wanawake wanawaza vitu vidogovidogo sana wakati watu wanjadili mambo makubwa na ya msingi.Hii ndio inasababisha 50% kwa 50% ichelewe kwa sababu ya michango kama yako unawaponza wanawake wenye michango ya maana waonekane kama wewe.Itachukua miaka mingi sana kwa wanawake kuaminiwa kupewa majukumu makubwa kwa sababu ya aina ya michango yako ingawa najua kuna wengi tu wanachangia hoja kwa hoja zenye mashiko kuliko hivi viyuko vyako.unawakwaza wwenzio.Kukosea kila mtu anakosea hata Trump juzi kakosea kutamka Tanzania. Nakushauri uwe unajadili hoja hapa hatuko darasa la lugha.= silaha
Urusi aliwekewa vikwazo na nchi za Ulaya kwa shinikizo la US,na yeye akawawekea vikwazo vya kutonunua bidhaa zao asa vyakula,lakini US yeye kawazunguka wenzake yeye ananunua injini za maroketi kutoka kwa Urusi.Wa Ulaya wamemuona US mnafiki, baada ya wao kuwekewa vikwazo na Urusi.mimi tangia nizaliwe hii ndo mara yangu ya kwanza kuona nchi inawekewa vikwazo na yenyewe inaweka vikwazo,halafu vyake vinakua vikali. Huyo huyo Marekani ametishiwa kufukuzwa na Urusi kwenye ISS.Mkuu kwa hiyo unabisha kuwa mrusi hajawekewa vikwazo?,au ukiona ukubwa wa urusi kwe ramani basi unadhani wapo juuuuuuuu
mkuu huyu jamaa anajuaRussia iko vizur kijesh suala la Syria mbona marekani Na washirika wake wako miaka miwil lkn hamna hatua yoyote waliopiga khs vifaa Russia wame mordernise.